Yaani umeongea ukweli ingawa umetumia Lugha nzintoSema wazee wale watanganyika wenzetu waliopo ngazi za juu kwenye vyombo vya usalama ni
Sijui wote wametoka kwenye backgrounds za kimaskini ndio maana wamepumbazwa kirahisi na hizo rushwa za mabilioni?
Hii serikali ya wazanzibari haikutakiwa kutuongoza mpaka dk hii kwa maslahi mapana ya taifa la sasa na lijalo.
Wale siku zao zinahesabika. Ni suala la muda. Hivyo vipande vya fedha walivyokubali na kuacha damu za Watanganyika zimwagike vitawatokea puani.Sema wazee wale watanganyika wenzetu waliopo ngazi za juu kwenye vyombo vya usalama ni
Sijui wote wametoka kwenye backgrounds za kimaskini ndio maana wamepumbazwa kirahisi na hizo rushwa za mabilioni?
Hii serikali ya wazanzibari haikutakiwa kutuongoza mpaka dk hii kwa maslahi mapana ya taifa la sasa na lijalo.
Hawajali kabisa. Wanatoa haya matamko kwa makusudi ili Tanganyika ianguke kabisa na isiweze tena kusimama tena kiuchumi.Hajui kuwamore sanction zinakuja
Lazima waimalize kabisa. Wakifikisha miaka 5 Ikulu Nchi itakuwa nyang'anyang'aWanaibagaza na kuibananga by Polepole voice
Hatuwezi ku afford kuwa next zimbabwe sababu kuna kikundi cha wanasiasa hakitaki kuondoka hapoHawajali kabisa. Wanatoa haya matamko kwa makusudi ili Tanganyika ianguke kabisa na isiweze tena kusimama tena kiuchumi.
Bunge la Umoja wa Ulaya (EU) limepitisha azimio linalopendekeza kusitishwa kwa ufadhili wa fedha za maendeleo kwa Tanzania, likieleza wasiwasi juu ya mazingira ya kisiasa na ukiukaji wa haki za binadamu ulioripotiwa baada ya uchaguzi wa Oktoba 2025.
Uhusiano wa Tanzania na Umoja wa Ulaya umedumu kwa miongo kadhaa, ukijengwa juu ya misaada, mikopo nafuu, ushirikiano wa kibiashara na miradi ya mageuzi ya kiuchumi na kijamii. EU ilikuwa imepanga kutoa zaidi ya Euro milioni 150, sawa na zaidi ya Sh400 bilioni, kwa ajili ya miradi ya maendeleo ya Tanzania mwaka 2026.
Serikali kupitia Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo, imesema inafuatilia kwa karibu suala hilo kupitia kwa Balozi wa Tanzania nchini Ubelgiji lilipo bunge hilo, Jestas Nyamanga. Waziri Kombo amesema serikali itatoa kauli rasmi baada ya kupokea taarifa kamili ya matokeo ya mjadala huo kutoka kwa Balozi Nyamanga.
āTunafuatilia majadiliano hayo na Balozi Jestas Nyamanga yuko huko kama mwalikwa. EU wana haki ya kujadili chochote kwa sababu ni fedha zao, ni haki yao. Balozi wetu atatuleta ripoti kisha Serikali tutatoa taarifa,ā amesema Balozi Kombo katika taarifa iliyochapishwa na gazeti Mwananchi.
Akizungumzia athari za kusitishwa kwa fedha hizo, Waziri Kombo amesema Tanzania haitakabiliwa na njaa wala kusimama kwa shughuli za maendeleo, kwani ina bajeti na vyanzo vyake vingine vya mapato. Amesema ni muhimu wananchi kufuatilia kiasi halisi kinachotarajiwa kukosekana na kukilinganisha na bajeti ya Taifa kwa mwaka 2025/26 ambayo ni Sh56.49 trilioni.
āFuatilia huko mitandaoni ujue ni kiasi gani cha fedha tutakikosaā¦Sisi Watanzania hatutakufa kwa kukosa fedha hizo. Angalia wanatoa kiasi gani, kaangalie na bajeti yetu kwa mwaka, kisha fanya hesabu ni asilimia ngapi ya bajeti yetu,ā amesema Balozi Kombo.
Azimio la EU limeeleza kusikitishwa na matukio ya vifo vilivyotokea kabla, siku ya uchaguzi na baada yake, pamoja na taarifa za ukiukwaji wa haki za binadamu, ikiwemo utekaji, mauaji ya wakosoaji wa serikali na udhibiti dhidi ya vyombo vya habari.
Pia Soma: Rasmi, Bunge la Ulaya lapiga kura zote 539 za NDIYO kuzuia misaada Tanzania, wahusika wa kadhia ya Oktoba 29 kuwekewa vikwazo
CHAIBunge la Umoja wa Ulaya (EU) limepitisha azimio linalopendekeza kusitishwa kwa ufadhili wa fedha za maendeleo kwa Tanzania, likieleza wasiwasi juu ya mazingira ya kisiasa na ukiukaji wa haki za binadamu ulioripotiwa baada ya uchaguzi wa Oktoba 2025.
Uhusiano wa Tanzania na Umoja wa Ulaya umedumu kwa miongo kadhaa, ukijengwa juu ya misaada, mikopo nafuu, ushirikiano wa kibiashara na miradi ya mageuzi ya kiuchumi na kijamii. EU ilikuwa imepanga kutoa zaidi ya Euro milioni 150, sawa na zaidi ya Sh400 bilioni, kwa ajili ya miradi ya maendeleo ya Tanzania mwaka 2026.
Serikali kupitia Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo, imesema inafuatilia kwa karibu suala hilo kupitia kwa Balozi wa Tanzania nchini Ubelgiji lilipo bunge hilo, Jestas Nyamanga. Waziri Kombo amesema serikali itatoa kauli rasmi baada ya kupokea taarifa kamili ya matokeo ya mjadala huo kutoka kwa Balozi Nyamanga.
āTunafuatilia majadiliano hayo na Balozi Jestas Nyamanga yuko huko kama mwalikwa. EU wana haki ya kujadili chochote kwa sababu ni fedha zao, ni haki yao. Balozi wetu atatuleta ripoti kisha Serikali tutatoa taarifa,ā amesema Balozi Kombo katika taarifa iliyochapishwa na gazeti Mwananchi.
Akizungumzia athari za kusitishwa kwa fedha hizo, Waziri Kombo amesema Tanzania haitakabiliwa na njaa wala kusimama kwa shughuli za maendeleo, kwani ina bajeti na vyanzo vyake vingine vya mapato. Amesema ni muhimu wananchi kufuatilia kiasi halisi kinachotarajiwa kukosekana na kukilinganisha na bajeti ya Taifa kwa mwaka 2025/26 ambayo ni Sh56.49 trilioni.
āFuatilia huko mitandaoni ujue ni kiasi gani cha fedha tutakikosaā¦Sisi Watanzania hatutakufa kwa kukosa fedha hizo. Angalia wanatoa kiasi gani, kaangalie na bajeti yetu kwa mwaka, kisha fanya hesabu ni asilimia ngapi ya bajeti yetu,ā amesema Balozi Kombo.
Azimio la EU limeeleza kusikitishwa na matukio ya vifo vilivyotokea kabla, siku ya uchaguzi na baada yake, pamoja na taarifa za ukiukwaji wa haki za binadamu, ikiwemo utekaji, mauaji ya wakosoaji wa serikali na udhibiti dhidi ya vyombo vya habari.
Pia Soma: Rasmi, Bunge la Ulaya lapiga kura zote 539 za NDIYO kuzuia misaada Tanzania, wahusika wa kadhia ya Oktoba 29 kuwekewa vikwazo
Ni ndugu yenu huyo, bladfaken! Wazanzibar takataka!Huyu Kombo ana undugu na Muhammad Al-Sahhaf? š
Bunge la Umoja wa Ulaya (EU) limepitisha azimio linalopendekeza kusitishwa kwa ufadhili wa fedha za maendeleo kwa Tanzania, likieleza wasiwasi juu ya mazingira ya kisiasa na ukiukaji wa haki za binadamu ulioripotiwa baada ya uchaguzi wa Oktoba 2025.
Uhusiano wa Tanzania na Umoja wa Ulaya umedumu kwa miongo kadhaa, ukijengwa juu ya misaada, mikopo nafuu, ushirikiano wa kibiashara na miradi ya mageuzi ya kiuchumi na kijamii. EU ilikuwa imepanga kutoa zaidi ya Euro milioni 150, sawa na zaidi ya Sh400 bilioni, kwa ajili ya miradi ya maendeleo ya Tanzania mwaka 2026.
Serikali kupitia Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo, imesema inafuatilia kwa karibu suala hilo kupitia kwa Balozi wa Tanzania nchini Ubelgiji lilipo bunge hilo, Jestas Nyamanga. Waziri Kombo amesema serikali itatoa kauli rasmi baada ya kupokea taarifa kamili ya matokeo ya mjadala huo kutoka kwa Balozi Nyamanga.
āTunafuatilia majadiliano hayo na Balozi Jestas Nyamanga yuko huko kama mwalikwa. EU wana haki ya kujadili chochote kwa sababu ni fedha zao, ni haki yao. Balozi wetu atatuleta ripoti kisha Serikali tutatoa taarifa,ā amesema Balozi Kombo katika taarifa iliyochapishwa na gazeti Mwananchi.
Akizungumzia athari za kusitishwa kwa fedha hizo, Waziri Kombo amesema Tanzania haitakabiliwa na njaa wala kusimama kwa shughuli za maendeleo, kwani ina bajeti na vyanzo vyake vingine vya mapato. Amesema ni muhimu wananchi kufuatilia kiasi halisi kinachotarajiwa kukosekana na kukilinganisha na bajeti ya Taifa kwa mwaka 2025/26 ambayo ni Sh56.49 trilioni.
āFuatilia huko mitandaoni ujue ni kiasi gani cha fedha tutakikosaā¦Sisi Watanzania hatutakufa kwa kukosa fedha hizo. Angalia wanatoa kiasi gani, kaangalie na bajeti yetu kwa mwaka, kisha fanya hesabu ni asilimia ngapi ya bajeti yetu,ā amesema Balozi Kombo.
Azimio la EU limeeleza kusikitishwa na matukio ya vifo vilivyotokea kabla, siku ya uchaguzi na baada yake, pamoja na taarifa za ukiukwaji wa haki za binadamu, ikiwemo utekaji, mauaji ya wakosoaji wa serikali na udhibiti dhidi ya vyombo vya habari.
Pia Soma: Rasmi, Bunge la Ulaya lapiga kura zote 539 za NDIYO kuzuia misaada Tanzania, wahusika wa kadhia ya Oktoba 29 kuwekewa vikwazo
Hapo na wananchi wanaamua kutoklipa kodi na hakuna wa kumfanya kitu.Hiyo bajeti ya Tanzania ya dola bilioni 22 kwa mwaka huu inajumuisha msaada w EU, misaada na mikopo kutoka mataifa wanachama wa EU. Sasa ukinyimwa msaada wa EU, nchi wanachama wa EU, ukanyimwa na mikopo, bado utasema hakuna athari. Zamia ndani ya miaka 2 amekopazaidiya trilioni 50. Hii ni wastani wa kiasi cha trilioni 25 kwa mwaka. Halafu bajeti yako ni trilioni 57. Ina maana nusu ya bajeti ni mikopo. Sasa ukinyimwa hiyo nusu ya bajeti, mambo yatabakia kawaida?