PostGE2025 Waziri Kombo: Tanzania hatutakufa kwa kukosa fedha za EU

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Serikalin yetu hii haramu haijui hayo yenyewe inajua kiburi tu ndiyo maana hata huyu kombo na kasuku wenzake wanaongea ujinga tu
 
Wapo wasiotaka ila tatizo hii serikali imetawaliwa na wasio na vichogo ambao wao changamoto yeyote wanaona suluhu ni ku eliminate nafsi za wenzao tu.

Yani ni kuteka na mtutu kwa kwenda mbele na wako fearless. Sasa ku deal na mtu wa aina hio the best move ni kuwa calm tu. Sababu Kuna influence ya fedha na tunajua tamaa ya fedha ilivyo kubwa Kwa binadamu wengi hasa wenye Imani haba unaweza ukajikuta ni mwenyewe hufurahishwi na unaumia ila kundi kubwa wanafurahia sababu wanapumbazwa na mahela kwenye acc. Zao.
io
 
Kiongozi alishazungumzia mambo ya kupimana ubavu siku moja. Nadhani anaelewa fika anachofanya na hajali.
Serikali yetu inapaswa kuwa sikivu sana na kujitahidi kuchukua hadhari mapema badala ya kusubiria matokeo na kutumia njia za kushindana. Haipo haja ya kushindana na maazimio yaliyotolewa ila ipo haja ya kujipima kwa hoja zetu binafsi na kujirekebisha
 
Kiongozi alishazungumzia mambo ya kupimana ubavu siku moja. Nadhani anaelewa fika anachofanya na hajali.
Serikalin yetu hii haramu haijui hayo yenyewe inajua kiburi tu ndiyo maana hata huyu kombo na kasuku wenzake wanaongea ujinga tu
Miongoni mwa watu ambao nawachukia toka katika sakafu ya moyo wangu recently ni huyu jamaa.
 

Hizo kauli za waziri au mipasho tu. Jamaa hamnazo
 
Uko sahihi kabisa mazee haya majitu ya kizanzibar na uwezo wao duni wa kufikiri ukiongeza na jinsi yasivyotupenda kukuondoa uhai unapokuwa kinyume na wao ni kitu kidogo sana.

Nilimsifu sana Mabeyo alivyoweka ngumu hili katiba ifuatwe kipindi kile, ila light kama tungejua tutakuwa na serikali ya kipumbavu kiasi hiki, basi wote kwa pamoja tungesema katiba isifuatwe.

Lakini pamoja na hii dominance ya wazanzibari kwenye hii serikali haramu, bado watanganyika waliopo kwenye vyombo vya usalama wana uwezo wa kuifurumusha hata kesho hasubui kama tu wakiamua kuishinda hiyo tamaa ya fedha nyingi wanazovuna na kisha kuvaa ujasiri.

Siri ya mafanikio ya mapinduzi yoyote yale huwa ni namba tu, wanajeshi wa ngazi za chini watanganyika ni wengi sana, hao wazanzibari ni wachache sana na wako kwenye nafasi za juu tu huko kwenye ulaji.

Ni suala la watanganyika kuvua uwoga na kuvaa spirit ya uzalendo na ujasiri kisha kurisk maisha yao kwa maslahi mapana ya Tanganyika, mapema sana wanaiondoa hii serikali na hawa vilaza wote wa kizanzibari wanarudi kwao mbio mbio.

Ila wakiendelea kuogopa na kulinda mishaara yao, basi wataungana na sisi kusikitika huku wakiona wazanzibar wanaliharibu hili taifa mpaka libaki skeleton.
 
Tungekuwa tunaweza kweli kutumia vizuri pesa inayoingia serikalini leo hii tusingekuwa nchi ombaomba...

Nchi ombaomba ikikaziwa msaada kidogo tu lazima itataabika...
 
Watanzania tumekuwa hatuoni hata faida ya hio Mikopo; Watanzania tumekuwa hata hatuna sababu ya kutembeza bakuli iwapo tungekuwa na Uongozi Bora bila Ufujaji after all tungekuwa na viongozi wenye Busara kesho tu hali ya Mtanzania ingekuwa bora Maradufu....

 
Ni kweli na wanaposema Tanzania haitakabiliwa na njaa wanamaanisha familia zao.
Watanzania kibao wanaishi kwa mlo mmoja licha ya misaada wamekuwa wakipokea.
Mwenye shibe hamjui mwenye Njaa kabisa....ukitaka kujua maisha ya kitaa yapoje hata km una nafasi nzuri serikali na una uhakika wa mshahara mwisho wa mwezi...naomba jichanganye kitaa ndo utajua maisha ni magumu kiasi Gani kitaa....Wao mawaziri hawawezi jua ugumu wa maisha kwa sababu ya uhakika wa kesho Yao...
Hali ni ngumu sana kitaa....vijana wamekata tamaa kabisa hasa wale waliokwisha maliza Vyuo
..
 
Watabebwa na China. Sera ya mambo ya nje ya China ni kuwa hawajali kama wewe unauwa au kukandamiza watu watu wako; wanachojali ni kuwa wao watapata nini kutoka kwako. China wakiahidiwa kuchukua madini yote yaliyoko Tanzania, watatoa hela, na serikali ya CCM haitakufa.
 
Ni kweli na wanaposema Tanzania haitakabiliwa na njaa wanamaanisha familia zao.
Watanzania kibao wanaishi kwa mlo mmoja licha ya misaada wamekuwa wakipokea.

Huyu hajawahi hata kuisikia harufu hiyo njaa , hata hajui ni kitu gani , kiasi aseme hivyo
 

Matunda ya uvamizi wa baba yenu kipenzi , Nyerere kwa Zanzibar haya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…