Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna umuhimu wa kurudisha Rent Restriction Act ili isimamie viwango vya Kodi za upangaji wa nyumba. Madalali wanatabia ya kupandisha Bei ya nyumba ili wavune wasipopanda.Wanaopanga hawana shida kulipa maana si kazi rahisi kupata nyumba.
Sasa kama ni hivo dalali si anaweza kuongea na mwenye nyumba bei iwe juu ,kitu kile kile
Serkali inakaba hata penati? Haifahamu kuwa udalali ni ajira na anayehitaji huduma ndiye mlipaji?Waziri wa Ardhi, William Lukuvi amepiga marufuku Madalali kuwadai Wapangaji Fedha ya Mwezi Mmoja, akiita kitendo hicho kuwa ni ujambazi.
Amesema, "Kuna baadhi ya Madalali wanapangisha nyumba halafu wanachukua kwa Wapangaji Kodi ya mwezi. Hawa wanaochukua pesa za wapangaji waache mchezo huo kwasababu ni wizi wa mchana kabisa. Wewe umeajiriwa na mwenye nyumba, yeye lazima akulipe wewe"
View attachment 2011900
Kwani waziri kazuia madalali? Kazuia huo mzigo kutwishwa mpangaji.Utapataje nyumba nzuri bila madalali? shida zako ndiyo zitakupeleka kwa dalali
Dalali hakupeleki sasa sijui utafanyaje?Kwani waziri kazuia madalali? Kazuia huo mzigo kutwishwa mpangaji.
Mbinu itapatikana tu na sio huo ujambazi.Dalali hakupeleki sasa sijui utafanyaje?
... kwa utaratibu huo badala ya dalali kuchukua kodi ya mwezi maana yake itakuwa formalized na TRA watachukua 18%! Hii nchi haijawahi kuwa na huruma kwa mnyonge! Hadi Waziri ameongea hivyo kuna something "fishy" below the carpet; hajaongea kwa bahati mbaya au eti anawahurumia sana wapangaji! Most likely kuna ka-mswada kanaandaliwa chanzo kingine cha mapato! CCM?Sikujua Kumbe bado nchi iko gizani halafu bado wanasema Jiwe alikusanya kodi hivi kodi kiasi gani imepotea kwa hawa watu wanaofanya udalali??
Kuna haja ya kuwa na website za rental houses mtu akitaka anaingia na kulipa akiridhika hij ni rahisi na salama na kila kitu kiko traced!
Happ kodi itaonekana na kukatwa kodi na hizo commision za udalali zitakatwa kodi pia
Safi sana.Nafikiri sababu alilileta kwa adabu
Acha tu mkuu.Tena nyumba hajajenga yeye. Kiasi cha kukutembeza kilomita tatu tu basi anakula 70k.
Hakuna pesa inaniuma kama hii ya udalali aisee.
Noma70k?? Me nilitoa laki tisa kwa dalali iliniuma mpk nikaamua kujenga
Baadhi ya wenye nyumba uwaambia madalali wawatafutie wapangaji and sometimes dalali mwenyewe anatafuta nyumba ambazo zinahitaji mpangaji...Kwahiyo wakilipwa na mwenye nyumba unakuwa ni wizi wa usiku au anamaanisha nini!
Sasa Mkuu ukiambiwa si unakataa tu kwani huwa unalazimishwa?Hakuna mapatano ni aina fulano ua ulanguzi. Ambapo mwenye shida hulazimika kufata mfumo huo wa kitapeli.
Kweli kabisaTujarb ku dili na changamoto
hahahahahaaunakuwa ni wizi wa usiku au anamaanisha nini!
Then uende wapi wakati ni systemic robery?Sasa Mkuu ukiambiwa si unakataa tu kwani huwa unalazimishwa?