Ofisi za mashtaka pale dar zipo kwenye jengo la ghorofa ambalo zamani ilikuwa ofisi ya makamu wa rais, pale posta ya zamani ukipita jengo la NBC, ofisi zipo ghorofa ya Tano,, uyo mwizi kuiba hadi ashuke nazo chini simchezo umbali wake,,
Ila mazingira ya lile jengo kwasasa hapastaili kabisa Kabisa ofisi ya mashtaka kuwa pale,, pako ovyooooo mnooo, kwa mazingira ya pale wala sio hujuma ya serikali, bali nikweli wahalifu wameiba kwa 100%√,, pako ovyo, jengo limechoka ndani, na pale chini wala hakuna ulinzi wa polis zaidi mara nyingi kuna dada wa mapokezi na mlinzi wa kirungu,,
Ofis kuu ya mashtaka ilihamia Dodoma nilisikia,