Waziri Mahiga: Kompyuta zilizoibwa ni za ofisi ya mashtaka mkoa wa Dar na sio ofisi ya DPP

Waziri Mahiga: Kompyuta zilizoibwa ni za ofisi ya mashtaka mkoa wa Dar na sio ofisi ya DPP

Nilikuonya usiniquote mpuuzi kama wewe siwezi kupoteza muda wangu kubishana na wewe..unachokitafuta utakipata tu endelea kujitia mwehu
Nikiamua kukutafuta nakupata mapema sana mana naona umezidi matusi...endelea
 
Nakukumbusha tena Waziri ni boss kwa kamanda kwahiyo taarifa rasmi inayohusu masuala ya mashtaka anatakiwa kuitoa rasmi ni waziri wa sheria...so protocol imezingatiwa
Waziri alitakiwa amuulize DPP kwanini alimuongopea kamanda kuwa kaibiwa au?
 
Kitendo cha kutokea fununu kwamba kuna wizi umetokea kwenye ofisi ya DPP inayoshugulikia urudishwaji wa mabilioni ya mafisadi waliopata msamaha wa Rais ndio sababu Kuu ya JPM kukatisha ziara yake mikoa ya kusini

Mnyetishaji wangu kanihakikishia mzee hakutaka kabisa kusikia kwa njia ya simu taarifa alizokua akipatiwa na wasaidizi wake juu ya kilichokua kikiendelea na kupelekea kusitisha kila kitu na kurudi Dar ambapo tayari alikua amehama ili kujua kinaga na ubaga wa ofisi ya DPP na wizi uliotendeka, baada ya mlolongo wa harakati ndio hatimae leo ufafanuzi umetolewa juu ya scandal hiyo

Mnyetishaji wangu ananiambia baada ya hili kuisha muda wowote kuanzia sasa JPM ataendelea na ziara yake mikoa ya kusini
 
Waziri wa Katiba na Sheria, Balozi Augustine Mahiga amesema kompyuta zilizoibiwa ni za ofisi ya mashtaka mkoa wa Dar na sio ofisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) nchini Tanzania, Biswalo Mganga #MwananchiUpdates

Ukweli unabaki pale pale kuwa wizi umetokea... Na ofisi za DPP (haijalishi wa wapi) ndo zinahusika kuibiwa!!
 
"Vipande viwili vya kompyuta" ndiyo vikoje?
Mhe amefunguka.
Sijui tofauti zilizopo kiutendaji kati ya ofisi za Mwendesha Mashitaka wa mkoa wa Dar es Salaam na ya DPP.
Aidha, "mwizi" huo umetokea kwenye ofisi nyeti inayolindwa na askari wenye silaha.
 
Back
Top Bottom