Nadhani mtoto mmoja wa Rais Mstaafu, Dr. J. M. Kikwete alisoma hapo miaka michache iliyopita na alishinda tuzo ya ubunifu kwenye medani ya teknolojia. Mwenye kumbukumbu atujuze tafadhali.Watoto Wa wakubwa na matajiri na watu wenye uwezo wao ndio wanasoma shule hizo hawawezi kuzifungia zaidi watawambia wapinzani Wa erdogan popote duniani wake kuwwkeza Tanzania watawalinda... Hizo shule zikifungwa zitakatisha ndoto za watoto Wa vigogo... Hilo haliwezekani ndio maana Ada elekezi ilishindikana
Nikiingalia Feza inavyofaulisha Wanafunzi Kwa Kutumia Mbinu Za Kigaidi, na Government Zinavyotoa Div IV na 0 kwa Kutumia Mbinu Za Kibongobongo, Kwanini Serikali Nayo isitumie Mbinu Za Kigaidi Kama Za Feza ili ipate Kufaulisha Wanafunzi ili ikome hile Tabia Ya Kuitwa Vil.aza?Kama serikali yao imesema ni magaidi basi watakuwa ni magaidi tu. Hata mbinu zao za kufundishia ni za kigaidi tu
Nadhani mtoto mmoja wa Rais Mstaafu, Dr. J. M. Kikwete alisoma hapo miaka michache iliyopita na alishinda tuzo ya ubunifu kwenye medani ya teknolojia. Mwenye kumbukumbu atujuze tafadhali.
Kaka ...
Yule aliyeshika mkia na div ki.laza?Kutokana Na Maoni ya Wagalatia Wengi Kuwa Feza inafundisha Ugaidi! Huyo Nahisi Sasa Ni Bonge La Gaidi! May Be ni Senior Leader wa Terrorism in the World.
Sijui kwasababu sijasikia nyumba ya ibada ikifungisha ndoa za kishogaKw
Mkuu Mombasa din gani kwani?
Mana nasikia Mombasa ndiyo headquartersSijui kwasababu sijasikia nyumba ya ibada ikifungisha ndoa za kishoga
hiyo ni failure ya waitu wa usalama na Huyo waziri tulidhani ni mwanausalama mbobezi kumbe hewa tu. inawezekanake MTU aje kuwekeza bila profile Yale kujulikana?? mi ningekuwa raisi natimua boss wa kitengoSerikali ya Tanzania yasema haina ushahidi wa kutosha kuzitia hatiani shule za Feza zinazodaiwa kumilikiwa na raia wa Uturuki anayetuhumiwa kujihusisha na jaribio la kupindua Serikali ya Uturuki.
Serikali ya Uturuki inadai wamiliki wa shule hizo na baadhi ya wafanyabiashara wanafadhili ugaidi kwa kushirikiana na Imamu Fethullah Gulen anayeishi nchini Marekani ambaye ndio inadaiwa yuko nyuma ya jaribio la Mapinduzi.
= > Serikali ya Uturuki yatakiwa kuwasilisha taarifa zenye ushahidi wa kutosha juu ya hili.
= > Aidha, Ubalozi wa Uturuki Tanzania umedai kuwa baadhi ya walimu wa shule za FEZA ambao ni raia wa Uturuki wamekuwa wakitumia mbinu za kigaidi kufundisha wanafunzi.
Feza wakanusha kuhusika
Na mimi nashangaa, wenzetu huenda wana ABC badala ya kukaa nao na kupata info zaidi then tunatoa mapovu.Waturuki wenyewe wanasema FEZA ni magaidi alafu nyie wabongo mnaleta ubishi..... Povu jingi..... Subirini muone
Kama njia za kigaidi ndo zinafanya wafaulu nafikiri njia hizi ni nzuri sana
mi nimesomea fedha na mimi
Kuna ukweli. Pia fedha is a source of all evil. Huwa kwenye debate tunajadili haya mara nyingi
Inaelekea hata neno wagalatia hujui linamhusu nani? Waturuki ndio wagalatia wenyewe uliza ufahamishwe... Wamiliki Wa shule za feza ni wagalatia original from uturuki walio Waislam pureKutokana Na Maoni ya Wagalatia Wengi Kuwa Feza inafundisha Ugaidi! Huyo Nahisi Sasa Ni Bonge La Gaidi! May Be ni Senior Leader wa Terrorism in the World.
Inaelekea hata neno wagalatia hujui linamhusu nani? Waturuki ndio wagalatia wenyewe uliza ufahamishwe... Wamiliki Wa shule za feza ni wagalatia original from uturuki walio Waislam pure
Rais Erdoğan alitengeneza picha ya kihindi ili apate kuwatoa baadhi ya wakubwa wa jeshi ambao wanamchukia kukaa kwake madarakani na anataka kuanzisha Sheria ya hukumu ya kifo .Serikali za jumia ya ulaya zimemuonya kuwa akirudisha hukumu ya kifo nchini Uturuki ulaya hatoweza kujiunga nayo maisha,hajarudisha hiyo hukumu ya kifo. Rais Erdogan alikuwa ni Mwananfunzi wa Mzee Imamu Fethullah Gulen wakati wa enzi zake anasoma chuoni.Erdogan bana,yaani mapinduzi atengeneze yeye halafu lawama awape wengine!
Jamaa anatafuta justification na huruma ya wananchi ili kuendelea kutawala wakati wananchi walishamchoka.