Waziri Mahiga: Serikali ya Uturuki imetuambia wamiliki wa shule za Feza ni magaidi

Waziri Mahiga: Serikali ya Uturuki imetuambia wamiliki wa shule za Feza ni magaidi

Watoto Wa wakubwa na matajiri na watu wenye uwezo wao ndio wanasoma shule hizo hawawezi kuzifungia zaidi watawambia wapinzani Wa erdogan popote duniani wake kuwwkeza Tanzania watawalinda... Hizo shule zikifungwa zitakatisha ndoto za watoto Wa vigogo... Hilo haliwezekani ndio maana Ada elekezi ilishindikana
Nadhani mtoto mmoja wa Rais Mstaafu, Dr. J. M. Kikwete alisoma hapo miaka michache iliyopita na alishinda tuzo ya ubunifu kwenye medani ya teknolojia. Mwenye kumbukumbu atujuze tafadhali.

Kaka ...
 
Kama serikali yao imesema ni magaidi basi watakuwa ni magaidi tu. Hata mbinu zao za kufundishia ni za kigaidi tu
Nikiingalia Feza inavyofaulisha Wanafunzi Kwa Kutumia Mbinu Za Kigaidi, na Government Zinavyotoa Div IV na 0 kwa Kutumia Mbinu Za Kibongobongo, Kwanini Serikali Nayo isitumie Mbinu Za Kigaidi Kama Za Feza ili ipate Kufaulisha Wanafunzi ili ikome hile Tabia Ya Kuitwa Vil.aza?
 
Nadhani mtoto mmoja wa Rais Mstaafu, Dr. J. M. Kikwete alisoma hapo miaka michache iliyopita na alishinda tuzo ya ubunifu kwenye medani ya teknolojia. Mwenye kumbukumbu atujuze tafadhali.

Kaka ...

Kutokana Na Maoni ya Wagalatia Wengi Kuwa Feza inafundisha Ugaidi! Huyo Nahisi Sasa Ni Bonge La Gaidi! May Be ni Senior Leader wa Terrorism in the World.
 
Sijui ni makusudi au tumejisahau? Hapa tunatetea nini, upinzani wa Uturuki ni kama upinzani wa Tanzania. Kama tunaona wapinzani wa TZ hawahitajiki, wachochezi, magaidi, chanzo cha vurugu iweje ushabikie wapinzani wa Uturuki na kuona kuwa wanahaki,sio magaidi wakati hata ABC huna?. What could happen kama wapinzani wa TZ wangeanzisha vitegauchumi nchi jirani kama Uganda? Ujenzi wa boma la mfuta ungekuwepo?. Hebu tutoe kwanza boriti kwenye macho yetu ndipo tuangalie kibanzi.......
 
Serikali ya Tanzania yasema haina ushahidi wa kutosha kuzitia hatiani shule za Feza zinazodaiwa kumilikiwa na raia wa Uturuki anayetuhumiwa kujihusisha na jaribio la kupindua Serikali ya Uturuki.

Serikali ya Uturuki inadai wamiliki wa shule hizo na baadhi ya wafanyabiashara wanafadhili ugaidi kwa kushirikiana na Imamu Fethullah Gulen anayeishi nchini Marekani ambaye ndio inadaiwa yuko nyuma ya jaribio la Mapinduzi.

= > Serikali ya Uturuki yatakiwa kuwasilisha taarifa zenye ushahidi wa kutosha juu ya hili.

= > Aidha, Ubalozi wa Uturuki Tanzania umedai kuwa baadhi ya walimu wa shule za FEZA ambao ni raia wa Uturuki wamekuwa wakitumia mbinu za kigaidi kufundisha wanafunzi.



Feza wakanusha kuhusika


hiyo ni failure ya waitu wa usalama na Huyo waziri tulidhani ni mwanausalama mbobezi kumbe hewa tu. inawezekanake MTU aje kuwekeza bila profile Yale kujulikana?? mi ningekuwa raisi natimua boss wa kitengo
 
Waturuki wenyewe wanasema FEZA ni magaidi alafu nyie wabongo mnaleta ubishi..... Povu jingi..... Subirini muone
Na mimi nashangaa, wenzetu huenda wana ABC badala ya kukaa nao na kupata info zaidi then tunatoa mapovu.
 
mi nimesomea fedha na mimi
Kuna ukweli. Pia fedha is a source of all evil. Huwa kwenye debate tunajadili haya mara nyingi
 
Kama njia za kigaidi ndo zinafanya wafaulu nafikiri njia hizi ni nzuri sana

Kwa kweli Mkuu, tena njia hizo za kigaidi ziwe applied katika Shule zote Tz ili ufaulu uongezeke. [emoji28][emoji23][emoji28][emoji23][emoji2][emoji1][emoji28]
 
mi nimesomea fedha na mimi
Kuna ukweli. Pia fedha is a source of all evil. Huwa kwenye debate tunajadili haya mara nyingi

Umesoma Feza?????????

Kutokana Na wewe Kuto Kuwa Na Akili itabidi uwe wewe ndiye Wa Mwanzo Kukamatwa! Na Sababu Za Kukamatwa Ni Hizi:-

1) Wewe Ni Gaidi Uliyefunzwa Mbinu Za Kigaidi Na Walimu Wa Feza! Kwahiyo Muda Wowote Unaweza Kuhatarisha Usalama Wa Hii Nchi.

2) Kushirikiana Na Uongozi Wa Feza Kuuficha Ugaidi Unaofunzwa Watanzania Hapo Shuleni! Kwanini Usiripoti Katika Vyombo Vya Usalama Kuwa Feza inafundisha Ugaidi?? Yaani Unasoma Shule Ya Kigaidi Mapaka Unamaliza Ukiwa Gaidi!!!

Hitimisho! Kama Kuna Contest Ya Wajinga nahisi wewe Utakuwa Champion...
 
Feza is Feza, hate Feza schools at your own risk. Nimefuatilia comments zote na nimegundua robo yenu WIVU NA HUSDA TU vinawasumbua
 
Kutokana Na Maoni ya Wagalatia Wengi Kuwa Feza inafundisha Ugaidi! Huyo Nahisi Sasa Ni Bonge La Gaidi! May Be ni Senior Leader wa Terrorism in the World.
Inaelekea hata neno wagalatia hujui linamhusu nani? Waturuki ndio wagalatia wenyewe uliza ufahamishwe... Wamiliki Wa shule za feza ni wagalatia original from uturuki walio Waislam pure
 
Inaelekea hata neno wagalatia hujui linamhusu nani? Waturuki ndio wagalatia wenyewe uliza ufahamishwe... Wamiliki Wa shule za feza ni wagalatia original from uturuki walio Waislam pure

Stori Za Stone Edge..
 
Erdogan bana,yaani mapinduzi atengeneze yeye halafu lawama awape wengine!
Jamaa anatafuta justification na huruma ya wananchi ili kuendelea kutawala wakati wananchi walishamchoka.
 
Sio ukweli inayosema Serikali ya Uturuki kuwa Mzee Imamu Fethullah Gulen na shule zake anazo miliki Duniani Gaidi. Ni Chuki tu za Rais wa Uturuki juu ya huyo Mzee Imamu Fethullah Gulen. Ingelikuwa huyo Mzee Imamu Fethullah Gulen ni Gaidi asingeweza kuishi Marekani tangu mwaka 1999. Si angesha fungwa huko huko Amerika ? Tangu laini Gaidi awe nchini Amerika? Serikali ya Uturuki ina chuki zake za kisiasa dhidi ya Mzee Imamu Fethullah Gulen. Wa-Tanzania mukifuata maneno ya Propraganda ya Rais wa Uturuki Bwana Erdoğan mutakuwa hamna akili yoyote ile. Wamarekani wamemuuliza Rais Wa U-Turuki Bwana Erdoğan awape ushahidi kuwa Mzee Imamu Fethullah Gulen ni gaidi? mpaka leo hajatoa ushahidi wowote ule kuwa Mzee Imamu Fethullah Gulen ni gaidi. Kwani Rais Erdoğan aliwaambia Wa-Marekani wampeleke Mze Imamu Fethullah Gulen Uturuki atoke uhamishoni nchini Amerika ndipo Wamarekani wakamuuliza hilo swali je unaweza kutupa ushahidi kuwa Mzee Imamu Fethullah Gulen ni gaidi? ndipo Rais Erdoğan wa Uturuki alipo shindwa kutoa ushahidi.
 
Erdogan bana,yaani mapinduzi atengeneze yeye halafu lawama awape wengine!
Jamaa anatafuta justification na huruma ya wananchi ili kuendelea kutawala wakati wananchi walishamchoka.
Rais Erdoğan alitengeneza picha ya kihindi ili apate kuwatoa baadhi ya wakubwa wa jeshi ambao wanamchukia kukaa kwake madarakani na anataka kuanzisha Sheria ya hukumu ya kifo .Serikali za jumia ya ulaya zimemuonya kuwa akirudisha hukumu ya kifo nchini Uturuki ulaya hatoweza kujiunga nayo maisha,hajarudisha hiyo hukumu ya kifo. Rais Erdogan alikuwa ni Mwananfunzi wa Mzee Imamu Fethullah Gulen wakati wa enzi zake anasoma chuoni.
 
aliyetuletea dini ametupunguzia mzigo wa kuwa na akili kubwa alafu isiyo na kazi.

akili kubwa wananielewa
 
Back
Top Bottom