Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
Kahiyo makanisa yameenda kuleta UNAA huko Uturuki ili Shule ya FEZA ifungiweThe bottom line of the entire story ni udini. Shule za FEZA ndio zilionekana kutoa upinzani mkalikwa shule za makanisa na hili lilikuwa halifurahiwi. Kama zilikuwa zinatumia mbinu za kigaidi kufundishia wanafunzi(sijui ndio maana wanafanya vizuri mitihani yao) Serikali ilikuwa wapi wakati wote huo " isiwashughulikie"? Wacheni unafiki wa kidini tena kweupe
Unafiki huu unatokea hapa hapa wala haujavuka mipaka ya nchi; Matatatizo ya Uturuki ni kichaka tu kinachotumika kuficha mikakati potofu na husda!Kahiyo makanisa yameenda kuleta UNAA huko Uturuki ili Shule ya FEZA ifungiwe
CIA ndo walifund hayo mapinduzi,karibu dola bilion 3 zilitumika kufinince mapinduzi na ziliingilia bank moja nchini nigeria na kuanza kusambazwa step by step kwa wahusika.Nimewahi kusikia kiongozi wa kidini wa uturuki anayeishi marekani fetulla Gullen anamiliki shule nyingi sana hapa duniani yawezekana feza ni mojawapo. Na huyu jamaa inasadikika ndo mfadhili wa mpango wa mapinduzi yaloshindwa.
Aliyeibua hizo tuhuma ni balozi wa Uturuki, Mahiga yeye amewaambia wathibitishe madai yao, ukianza kueta masuala ya dini utaonekana hovyo sana na unajiaibisha wewe na wafuasi wa dini yakoThe bottom line of the entire story ni udini. Shule za FEZA ndio zilionekana kutoa upinzani mkalikwa shule za makanisa na hili lilikuwa halifurahiwi. Kama zilikuwa zinatumia mbinu za kigaidi kufundishia wanafunzi(sijui ndio maana wanafanya vizuri mitihani yao) Serikali ilikuwa wapi wakati wote huo " isiwashughulikie"? Wacheni unafiki wa kidini tena kweupe
Endorgan alishaapa kumkomesha huyo rafiki yake wazamani Gullen,huko uturuki kwenyewe vyuo na mashule mengi yamefungwa na anasema atafungwa iwe biashara,shule etc duniani nzima.Nadhani una matatizo . Kwani waliotoa hayo madai ni Watanzania au Waturuki wenyewe?
A Turk-TanzanianKumbe shule ya FEZA ni mali ya Mtanzania? Kumbe watanzania wanaweza wekeza hata ulaya? safi sana.
The bottom line of the entire story ni udini. Shule za FEZA ndio zilionekana kutoa upinzani mkalikwa shule za makanisa na hili lilikuwa halifurahiwi. Kama zilikuwa zinatumia mbinu za kigaidi kufundishia wanafunzi(sijui ndio maana wanafanya vizuri mitihani yao) Serikali ilikuwa wapi wakati wote huo " isiwashughulikie"? Wacheni unafiki wa kidini tena kweupe
Mbona kama sijakuelewa vile ndugu yangu..MAHIGA amemqoute...Balozi...ambae anawakilisha Nchi yake ya Uturuki hebu nifafanulie hapo huenda tuongea Lugha 1 tatizo inaweza kuwa TafsiriUnafiki huu unatokea hapa hapa wala haujavuka mipaka ya nchi; Matatatizo ya Uturuki ni kichaka tu kinachotumika kuficha mikakati potofu na husda!
Ndio maana nimeomba anisaidie kufafanua...sababu mambo yako wazi lkn MTU anataka aongee lile linalomfurahisha tuAliyeibua hizo tuhuma ni balozi wa Uturuki, Mahiga yeye amewaambia wathibitishe madai yao, ukianza kueta masuala ya dini utaonekana hovyo sana na unajiaibisha wewe na wafuasi wa dini yako
CIA ndo walifund hayo mapinduzi,karibu dola bilion 3 zilitumika kufinince mapinduzi na ziliingilia bank moja nchini nigeria na kuanza kusambazwa step by step kwa wahusika.
Inasemwa mkakati ilibidi wa ufast track haraka haraka baada ya endorgan kutonywa na warusi kuhusu mpango wa kumpindua na ilikuwa atoke mapumzikoni alikokuwa ameenda ili kamatakamata ianze,
so jamaa wakaamua kupre empt na kuanzisha mapinduzi haraka kabla hata hawajakamilisha maandalizi.
Ili ni wazi kuwa mtandao wa Gullen ndo umehusika wakisaidiwa na wamarekani.
Sasa marekani wenyewe wako njia panda,either wamtoe gullen kwa uturuki na siri zikajulikane jinsi marekani ilivyohusika,ama wasimtoe gullen na uturuki inahamia kambi ya russia
Wanalipa ada inayotumika kufadhili ugaidi.jiongeze weweKwahiyo wanasomea ugaidi?
Mimi nafikiri Rais wa Uturuki anatafuta mbinu za kuwanaliza Waturuki wote wenye uwezo kifedha ambao anahisi wanaweza kula njama za kumuondoa madarakani, ni hilo tu.
Viongozi wengi Duniani wasio jiamini utumia mbinu hizo kuwadhibiti/kuonea raia wanao wahisi vibaya, hata baadhi ya Viongozi wa Africa Mashariki na Kati wanatumia sana mbinu hizo wangine wanafikia hatua ya kuwauua popote walipo au kuwafunga maisha.
Ahaaa, kumbe ndio maana watoto wa shule hizi wanafaulu sana! [emoji39]Aidha, Ubalozi wa Uturuki Tanzania umedai kuwa baadhi ya walimu wa shule za FEZA ambao ni raia wa Uturuki wamekuwa wakitumia mbinu za kigaidi kufundisha wanafunzi.
Maelezo ya msemaji huyu wa shule yana walakini. Anasema kweli kwamba wamiliki ni watanzania? OK ni watanzania. Ni watanzania wa aina gani? Je, ni wale wenye asili ya ........Serikali ya Tanzania yasema haina ushahidi wa kutosha kuzitia hatiani shule za Feza zinazodaiwa kumilikiwa na raia wa Uturuki anayetuhumiwa kujihusisha na jaribio la kupindua Serikali ya Uturuki.
Serikali ya Uturuki inadai wamiliki wa shule hizo na baadhi ya wafanyabiashara wanafadhili ugaidi kwa kushirikiana na Imamu Fethullah Gulen anayeishi nchini Marekani ambaye ndio inadaiwa yuko nyuma ya jaribio la Mapinduzi.
= > Serikali ya Uturuki yatakiwa kuwasilisha taarifa zenye ushahidi wa kutosha juu ya hili.
= > Aidha, Ubalozi wa Uturuki Tanzania umedai kuwa baadhi ya walimu wa shule za FEZA ambao ni raia wa Uturuki wamekuwa wakitumia mbinu za kigaidi kufundisha wanafunzi.
Feza wakanusha kuhusika
Ni kweli ameongea ki-shallow sana wakati pembeni yake tu kuna Mturuki!Maelezo ya msemaji huyu wa shule yana walakini. Anasema kweli kwamba wamiliki ni watanzania? OK ni watanzania. Ni watanzania wa aina gani? Je, ni wale wenye asili ya ........
FEZA miaka yote wana uhusiano na nchi ya Uturuki. KUna kipindi walikuwa wanaendesha mashindani kwa shule za Dar, wakishindanisha wanafunzi wa shule chache za Dar ikiwemo FEZA na wanafunzi washindi walikuwa wakipelekwa Uturuki. Zaidi ya kukataa kuhusika na hayo ya ugaidi, hebu aeleze uhusiano wa FEZA na uturuki ni upi??