Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Watu wengine kila sehemu mnatamani kujamba tu, hivi wewe mwislamu mvaa kandambili una jeuri ya kumsomesha mtoto wako FEZA School? Au unadhani ile ni Al almain?Hapo kunatengenezwa uzushi kuzichafua hizo shule hakuna lingine,tunajua upande flani hauna haki hapa tanzania basi tuachieni hata hivyo vichache jamani.
Feza malipo ni kwa dola hakuna hata sheikh ubwabwa mmoja mwenye jeuri ya kupeleka mtoto wake pale.