chief1
JF-Expert Member
- May 4, 2015
- 1,418
- 1,449
aisee,Hapo kunatengenezwa uzushi kuzichafua hizo shule hakuna lingine,tunajua upande flani hauna haki hapa tanzania basi tuachieni hata hivyo vichache jamani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
aisee,Hapo kunatengenezwa uzushi kuzichafua hizo shule hakuna lingine,tunajua upande flani hauna haki hapa tanzania basi tuachieni hata hivyo vichache jamani.
mimi ni mmoja wa wanafunzi nimesoma apo FEZA o-level na high-level. shule za FEZA hazina mtaala wowote unaofundisha ugaidi.
shule ina walimu mchanganyiko waturuki na watanzania. wanafunzi wengine niliosoma nao sasa hivi ni walimu apo FEZA. kwa mfano mkuu wa shule ya FEZA boys alisoma apo O-level baadae akafanya bachelor Uturuki na masters kafanya UDSM.
miaka yote iyo tumesoma mpaka sasa kila mtu anafanya maisha yake sijawahi kusikia ata siku moja mwanafunzi yeyote wa FEZA ambaye amefanya tukio la kigaidi. wengi wetu tumekua watu wema kutokana na mafunzo mazuri tuliyopata pale shuleni.
nimewahi kua moja wa kiongozi wa wanafunzi ila hakuna ata siku moja ambayo tumeelekezwa tufanye tukio la ovyo. shule ziko serious na elimu pekee. shule za FEZA zinajiendesha kutoakana na ada wanazolipa wazazi wa wanafunzi matajiri pia wanafunzi maskini wanasomeshwa kutokana na michango ya wazazi matajiri na baadhi ya wanafunzi waliosoma apo ambao asilimia kubwa wamefanikiwa kimaisha.
ivyo basi kwa mimi binafsi naweza kusema kuwa shule za FEZA hazina uhusiano wowote ule na ugaidi. Uturuki raisi Erdogan amevurugwa tu kutokana na sera zake za ovyo za kuminya demokrasia na ndio maana mpaka leo umoja wa ulaya (EU) wameshindwa kuiruhusu uturuki kujiunga na umoja huo kutokana na uvunjifu mkubwa wa demokrasia.
Waturuki ni watu wanapenda sana biashara na wamesambaa kila kona ya dunia na wamechangia kukua kwa uchumi kwa nchi mbalimbali duniani kwa kutoa ajira kwa wazawa wa mataifa ambayo wanawekeza. kwa mfano ukienda Poland, Germany na mataifa mengi tu ya ulaya jamaa wametoa ajira kwa mamilioni ya watu.
kwa mfano rafiki zangu wengi tu hapa bongo na ata nje ya nchi wanafanya kazi na waturuki na wako vizuri tu. Fethullah Gullen yeye sio mmiliki wa shule za FEZA ila yeye alitoa idea kwa waturuki kuanzisha mashule nje ya uturuki ili kutoa elimu bora kwa mataifa mbalimbali duniani.
Hachangii na wala hapewi ata senti kutoka kwenye shule. uwekezaji hapa bongo wote umefanywa kutokana na ada na michango ya watanzania wachache ambao wameshawishika kuchangia shule.
rafiki yangu mmoja baba yake mzazi ametoa tiles za shule nzima for free. mimi pamoja na wanafunzi wengine tumeshapiga rangi sana shule za FEZA kwa kujitolea. ivyo basi naweza sema shule za FEZA hazina uhusiano wowote ule ayo mambo yao ya ndani ya uturuki wajaribu kumalizana nayo wenyewe.
huo ubalozi kama unajua kuhusu iyo michango ya kigaidi basi wafungie hizo account ambazo zinapewa iyo misaada. Nigeria wamemgomea Erdogan na serikali yake kuhusu kufunga shule za aina ya FEZA ambazo zipo Uturuki ivyo serikali yetu isiyumbishwe kutokana na uyo Erdogan.
shule hizi zinazalisha wataalamu wakutosha ambao wana mchango mkubwa tu kwa taifa ili. rafiki zangu wengi tu sasa hivi ni madiktar katika hospitali za hapahapa nchini, wengine mainjia wazuri tu na wanasaidia mambo mbalimbali.
kwani sheria mojawapo humu jf ktk kuandika comments lazima uandike kwa kiswahil fasaha?? Mstake kutuzingua si mngekuwa bas maprofesa wa kiswaili au tukiata>>>>>>>>>>>>>>>>>>>hata
apo>>>>>>>>>>>>>>>>>>>hapo
ayo>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>hayo
iyo>>>>>>>>>>>>>>>>>>>hiyo
ili>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>hili
ivyo>>>>>>>>>>>>>>>>>>hivyo
nimwahi kua moja wa.................nimewahi kuwa mmoja wa
Naona kweli hapo FEZA msisitizo ulikuwa ni English zaidi......lakini pamoja na hayo nimelipenda andiko lako...Hata hivyo kumbuka kwa maeneo mengi duniani mafunzo ya kigaidi huwa hayatolewi wazi wazi, ila points zako nyingi katika andiko hili ni za msingi....
Kwahiyo Mh.Mwigulu Nchemba mwanae anasoma katika shule ya Magaidi.
Najua Shule imekupiga chenga lakini basi hata kudodosa huwezi? Tafsiri na tafakuri hili aliosema mkatoliki mwenzako, Mahiga "walimu wa shule za FEZA ambao ni raia wa Uturuki wamekuwa wakitumia mbinu za kigaidi kufundisha wanafunzi".
Mambo yao ya ndani wasiyalete kwetu
Waturuki wenyewe wanasema FEZA ni magaidi alafu nyie wabongo mnaleta ubishi..... Povu jingi..... Subirini muone
Jitahidi kuwa muelewa basi hata kidogo!Swadakta ! Na ukiangalia kisa chake inaweza kuwa waligoma kuchangia kampeni za ccm .
Kijana unaifahamu ccm au unaisikia ?Jitahidi kuwa muelewa basi hata kidogo!
Siifahamu mkuu...but sijapata connection ya comment yako na uzi husika.Kijana unaifahamu ccm au unaisikia ?
Nadhani Ni Wanafunzi Waliosoma FEZA tu pekeyao Ndiyo Wenye Haki Kamili Hapa Ya Kuja Kututhibitishia Hayo Madai Yaliyotolewa Ya Kuwa Walimu Wanatumia Njia Za Kigaidi Kufundishia Je Ni Kweli? Njooni Mutupe Ushuhuda...
Hizi shule sio za mmiliki mmoja ila wamiliki wame be inspired na movement ya huyo Sheikh katika kutoa huduma(hizmet), anaamini katika kutoa huduma for the sake of God na akaanzia kuwaambia wafuasi wake wawekeze kwenye elimu, afya, na huduma nyingine za kijamii.Hizi shule nimesikia ni za mtu mmoja mturuki aishie US. US wamewaambia uturuki kama kuna ushaidi amehusika kwenye jaribio la mapinduzi watamkabidhi uturuki. But naelewa kwa nini shule zake zinakuwa attacked. Watoto ni zana nzuri ya mabadiliko. Watakuwa na woga kuwa ana preach chuki mashuleni
Erdoğan man[emoji27]Ugomvi wa gullen na endorgan ulianza mwaka 2013 hasa baada ya wafuasi wa gullen kuibua scandal ya rushwa dhidi ya baadhi ya mawaziri wa endorgan na pia mtoto wa endorgan,hiyo scandal ikapelekea mawaziri wa endorgan kupigwa chini,endorgan akamshutumu gullen kuwa ndo amechochea hiyo scandal ili kumwangusha yeye endorgan.
Scandal ilihusika na baadhi ya maofisa kuvikiuka vikwazo vya kiuchumi dhidi ya iran,vilivyowekwa na marekani,
iligundulika hao maofisa akiwemo mtoto wa endorgan wakifanya biashara na iran kwa siri,kwa kubadilishana mafuta na gase toka iran kwa dhahabu,inawezekana gulen alipewa siri na wamarekani ili alisanue,toka hapo ndo gullen akaitwa ni gaidi wa kuiba siri nyeti na kuzianika hadharani kwa lengo la kumpindua Endorgan.
Gülen was once an ally of President Recep Tayyip Erdoğan, but the relationship fell apart when the latter accused the cleric of “ trying to topple him” in December 2013. Gülen has lived in the U.S. since 1999, when he fled the then-government on “charges of anti-secular activities.”
Reuters readthe indictment, which states the cleric “is the number one suspect among 69 people accused of running a ‘terrorist group’ behind 2013 corruption investigations.” Authorities targeted Erdoğan’s inner circle and led to their dismissal.
All of the suspects face life imprisonment, but Gülen faces a number of additional charges, since authorities believe him to be the mastermind of the alleged terrorist group. The indictment sayshe formed and led the group and obtained “secret information for the aim of political espionage.”
“We have gone into their lairs, and we will go into them again,” Erdoğan declared last year. “Whoever is beside them and behind them, we will bring down this network and bring it to account.”
Authorities have targeted anyone connected to Gülen, which led to failing businesses and people losing their jobs. One of the largest banks in Turkey lost its prominence. Critics of Erdoğan, not necessarily connected to Gülen, accused him of using the controversy “to reshuffle the judiciary system in his favor and crack down on dissent.” Erdoğan has a history of shutting down anyone, including kids, who dares insultor questionhis motives.
Source pleaseinaonekana kuwa Gullen ni plan B ya obama,baada ya arab spring kushindikana,
ukiangalia uislamu wa huyu Gullen ni ule unahimiza elimu,yaani kujenga mashule,inovation,business na ni pro west,
sasa wamarekani walikuwa wanaanda huyu mtu akamate madaraka uturuki baada yua kuona endorgan ni too radical.
Na kutoka uturuki taratibu ushawishi wa uturuki ungeenda unaenea taratibu syria,iraq,yemen,lebanon etc,ambao ungekuwa friendly to west.
Sasa naona deal limefail vibaya sana
Ndio mwisho wako wa kufikiri hapo?Hapo kunatengenezwa uzushi kuzichafua hizo shule hakuna lingine,tunajua upande flani hauna haki hapa tanzania basi tuachieni hata hivyo vichache jamani.
Huyu uelewa wake ni mdogo, akili yake imemtuma dini fulani inaonewa hapa, ili hali sisi (Tz) ndio tumewataka ushahidi, kwa maana ingine tumenusa uzushi juu ya madai yao, sasa kaibuka huyo wa upande moja kutokuwa na haki, sijui kala maharage ya wapi huyu, tumsamehe, uwezo wake umeishia hapoUnamaanisha Waturuki wazushi
Ugaidi hauna dini; ukitakakutambua hilo tafuta jibu la ugaidi nini?inamaana hao waturuki wanawafundisha ugaidi wanafunzi wa dini gani maana huu ugaidi upo dini fulani