Waziri Makamba ana "traits" za kuwa Rais baada ya Samia. Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni

HUMPREY POLEPOLE NDIO RAISI AJAE ikishindikana atakua WAZIRI MKUU.


2030 HIYO.
 
Bora kumpa Steve Nyerere awe raisi kuliko makamba kipi cha maana alichofanya cha zaidi
 
Ni sifa njema kufananishwa na January,ni dhahiri ana uwezo ambao wewe na unadhani anao mnahofia.

Ndio maana hamna hoja mna vioja vya matusi.
 
Wewe unadhani ni yupi anaeweza kuleta mabadiliko unayoyataka?

Kwa mfano wewe unataka mabadiliko gani hasa?
 
Hatoshi hata kidogo na hatishi kabisaaaaaaaaaaa!

Sent from my SM-A022F using JamiiForums mobile app
 
Kumekucha! Mnaanzaga hivi hivi kama mzaha.Hata Riz kuwa waziri mlianza hivi hivi
 

nenda ukapimwe dodoma mirembe wahi
 
Yuko smart and visionary, sema wakati mwingine mfumo unaweza kumfanya mtu akaonekana bogus.
vice versa is true...ni bogus sema mfumo unamfanya aonekane ni smart and visionary...
 
Yuko smart and visionary, sema wakati mwingine mfumo unaweza kumfanya mtu akaonekana bogus.

katiba ipi inasema waislam halafu wakristo mbona nyinyi wakatolic hamtaki rais kutoka kanisa kkt
 
Waislamu mnatudharau Sana wakristo
 
utapigwa mawe balaa....lakini ukweli ni kwamba dogo kichwa iko vizuri, amelelewa vizuri na inaonekana mamentor wake walikuwa wazuri..huwezi kumfananisha na vijana wengi wa umri wake walio kwenye mfumo au nje ya mfumo..

Mapungufu kila binadamu anayo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…