Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,916
- 43,505
Mbona bado mapema sana hadi kufikia mbuzi kuanza kula kamba zao wenyewe[emoji3]
Hahahahaha mbuzi wameanza kula kamba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona bado mapema sana hadi kufikia mbuzi kuanza kula kamba zao wenyewe[emoji3]
Yuko mbioniBasi na MD afukuzwe
Mpaka huyo Waziri anakuja kuvunja Idara ya shirika huyo MD yuko wapi? Inaelekea Waziri Makamba is micromanaging TANESCO kwa maslahi yake mwenyewe sio ya nchi!!! Sasa alitaka hicho kitengo kiseme uongo kuhusu utendaji mbovu wa shirika?
Waziri wa Nishati Mh Makamba amevunja kitengo cha habari na mawasiliano Tanesco akikituhumu kimeshindwa kulisemea shirika na kulitetea shirika kwenye nyakati ambazo kitengo na watu wake kimetakiwa kufanya hivyo!
Ikumbukwe kitengo cha habari na mawasiliano kinaongozwa na mwana dada Badra Masoud kwa misingi hiyo amekali kuti kavu ...
Maswali ya kujiuliza...
Ni kweli kitengo hichi ndicho tatizo kwenye shirika?
Ni kweli wameshindwa kuitetea tanesco?
View attachment 2095460
Mramba saizi ni boss mkubwa,Naibu Katibu Mkuu wa WizaraTanesco wsmrejeshe Mramba huyu Maharage wampe ubunge wa kuteuliwa akachape usingizi bungeni na covid 19.
Tanesco Ni kampuni kubwa sana sio sehemu ya kufanyia majaribio
Kitengo cha habari hawana lawama yoyote.Kwani akija Waziri mwingine ndio inaenda kufunga nati kwenye karakana za Tanesco?
Waziri yuko sahihi kuwafuta Kazi hao wapuuzi.
Yuko mbioni
Swala si kuacha kukatika,swala ni kutotoa sababu za kukatika kiasi kwamba malalamiko yanakuwa mengi.Kitengi cha habari hawana lawama yoyote.
Mimi nikifikiri January ana akili, kumbe ni wash out.
Haya kafukuza kitengo umeme utaacha kukatika?
Kwa kweli hakutumia busara, umeme si maneno maneno ya utetezi, akafanye kazi, si bla bla!
Nakubaliana kabisa!Tanesco wsmrejeshe Mramba huyu Maharage wampe ubunge wa kuteuliwa akachape usingizi bungeni na covid 19.
Tanesco Ni kampuni kubwa sana sio sehemu ya kufanyia majaribio
Makamba angeweza kuleta kampuni la kigeni litushauri kuhusu ATCL , ujenzi wa bwawa na SGR maana tayari amefanya hivyo Tanesco amewapa wahindi na TPDC amewapa waingereza
Dictatorship all over, anamfuatisha mama yakeWaziri wa Nishati Mh Makamba amevunja kitengo cha habari na mawasiliano Tanesco akikituhumu kimeshindwa kulisemea shirika na kulitetea shirika kwenye nyakati ambazo kitengo na watu wake kimetakiwa kufanya hivyo!
Ikumbukwe kitengo cha habari na mawasiliano kinaongozwa na mwana dada Badra Masoud kwa misingi hiyo amekali kuti kavu ...
Maswali ya kujiuliza...
Ni kweli kitengo hichi ndicho tatizo kwenye shirika?
Ni kweli wameshindwa kuitetea tanesco?
View attachment 2095460
Kwani ni kitengo cha Propaganda ?
Angefanya la maana kama angejitengua mwenyewe..., unadhani kama kuna mazuri ya kusema watu hata hawatahitaji kuambiwa
CEO au Bodi wako likizo kuzitoa hizo sababu.Swala si kuacha kukatika,swala ni kutotoa sababu za kukatika kiasi kwamba malalamiko yanakuwa mengi.
Shida kubwa ya Tanesco ni miundombinu ya usambazaji iliyochoka na hata ukihitaji huduma kuna foleni,huu upuuzi wa Tanesco haujawahi kuisha.
Kazi ndio haionekani sasa,waje na Mpango mkakati wa kuhakikisha umeme haukatiki hovyo hovyo tuu.Watafukuzwa wangapi? Acheni kuingilia utendaji wa Tanesco muacheni MD afanye kazi...MD ndiye alitakiwa kuvunja hicho kitengo kama anaona kuna shida Makamba anaingilia utenda kazi wa MD
Waziri wa Nishati Mh Makamba amevunja kitengo cha habari na mawasiliano Tanesco akikituhumu kimeshindwa kulisemea shirika na kulitetea shirika kwenye nyakati ambazo kitengo na watu wake kimetakiwa kufanya hivyo!
Ikumbukwe kitengo cha habari na mawasiliano kinaongozwa na mwana dada Badra Masoud kwa misingi hiyo amekali kuti kavu ...
Maswali ya kujiuliza...
Ni kweli kitengo hichi ndicho tatizo kwenye shirika?
Ni kweli wameshindwa kuitetea tanesco?
View attachment 2095460
Hii ndio nchi yetu pendwa kwamba tunatumia mabilioni ya kodi za walala hoi kulipa makampuni ya nje yaje yafanye kazi yetu ya kufikiri.Makamba angeweza kuleta kampuni la kigeni litushauri kuhusu ATCL , ujenzi wa bwawa na SGR maana tayari amefanya hivyo Tanesco amewapa wahindi na TPDC amewapa waingereza