Si unawajua watu wanoendesha nchi kwa propganda? Hiyo ndiyo anayotakaMakamba anavyodai kitengo kimeshindwa kuitetea Tanesco ana maana gani? anataka kitengo kiwe kinazalisha propaganda au kifanyeje?
Navyojua hao watu wa idara ya habari wanatakiwa kupewa taarifa za majibu ya kero za wateja kutoka kwa wahusika (waziri, naibu wake, katibu mkuu nk) then wao ndio watangaze taarifa hizo kwa umma.
Sasa mfano wananchi wakiulizia ujio wa ile winchi ya tani 26 toka huko ilipoagizwa mbona mpaka leo kimya? Makamba anataka hao jamaa wa kitengo cha habari wajibu kitu gani kama hajawapa majibu?
Hawa jamaa wana akili ya ajabu sana, hivi duka la dawa likiwa km 5 nashindwaje peleka hizo dawa, yanalejea yaleyale ya mwaka 47 mwanafunzi mmoja akiiba mtihani darasa la 7 shule nzima inafungiwa miaka 5 kutofaulisha mwanafunzi hata mmoja.Nadhani hii haipishani saana na ile ya duka la dawa lisikae mita chache kutoka sehemu ya kuhudumia wagonjwa.
====
Hivi ni makusudi ama wanaamini wameishavunja vipande vya ngazi hakuna wa kutengeneza ngazi nyingine?
Uchakavu wa miundombinu,Sio kweli, umeme unakatika mara kwa amara, hawatoi taarifa tatizo ni nini,,
Mbona unamteteaHow?, Yeye ndo anakaa kunako main switch?
Kuna mtu anatafutiwa shavu... Kutoka mahali fulani tena mdada... EndWaziri wa Nishati Mh Makamba amevunja kitengo cha habari na mawasiliano Tanesco akikituhumu kimeshindwa kulisemea shirika na kulitetea shirika kwenye nyakati ambazo kitengo na watu wake kimetakiwa kufanya hivyo!
Ikumbukwe kitengo cha habari na mawasiliano kinaongozwa na mwana dada Badra Masoud kwa misingi hiyo amekali kuti kavu ...
Maswali ya kujiuliza...
Ni kweli kitengo hichi ndicho tatizo kwenye shirika?
Ni kweli wameshindwa kuitetea tanesco?
View attachment 2095460
Hehehe maji mtaita mma....The whole thing is like an episode of Tom and Jerry; but the outcome fatal for generations in Tanzania.
Ingelikuwa kupeleka mabadiliko kwenye taasisi ni kazi rahisi kama Makamba na Chande wanavyodhani kusingekuwa na science ya ‘change management’ and ‘motivational theories at work” ili kufahamu right method to implement change.
Ujinga ulianza na wa waziri na mkurugenzi kuingia na ujuaji kuwafokea wataalamu kakita sector ambayo wao wenyewe awajui even how a house electric circuit operates, halafu unafokea wataalamu.
I knew it from the beginning it would fail for several reasons to mention a few. For starters change management approach mkurugenzi alitakiwa kuanza na hilo kama kweli ni mtaalamu wa biashara.
Vitu vingine wala sio vya kubishana; wakati mwanzo tu unajua vitaishia vipi.
Kwa kina zaidi kwenye mambo serious ya national security waziri adhibitiwe kwenye mikataba ya Gas hana anachojua trust me.
Uwe unasoma post za watu kwa umakini kabla ya kupayuka na inabidi ukubali Magufuli is gone.Hehehe maji mtaita mma....
Sio kweli, umeme unakatika mara kwa amara, hawatoi taarifa tatizo ni nini,,
Hapana ni kweli kwa nini umeme unakatika hovyo hakuna taarifa na hawasemi kuwaambia wananchi kuna nini umeme unakatika?
Lakini mkurugenzi mkuu anatakiwa kupewa onyo ,hawasimamii mameneja wa Mikoa.
Mimi naona kati ya watu walitakiwa kupewa pongezi ni wa hiki kitengo maana wanazunguka kuitetea tanesco ambayo ni aibu kuitetea hasa huyu Badra Masoud
Unaweje? Kutetea shirika wakati shirika lenyewe linatoa huduma mbovu wakati wote si utachokaWaziri wa Nishati Mh Makamba amevunja kitengo cha habari na mawasiliano Tanesco akikituhumu kimeshindwa kulisemea shirika na kulitetea shirika kwenye nyakati ambazo kitengo na watu wake kimetakiwa kufanya hivyo!
Ikumbukwe kitengo cha habari na mawasiliano kinaongozwa na mwana dada Badra Masoud kwa misingi hiyo amekali kuti kavu ...
Maswali ya kujiuliza...
Ni kweli kitengo hichi ndicho tatizo kwenye shirika?
Ni kweli wameshindwa kuitetea tanesco?
View attachment 2095460
Katika matatizo yanayoikabili TANESCO,Makamba has shown no leadership at all.The whole thing is like an episode of Tom and Jerry; but the outcome fatal for generations in Tanzania.
Ingelikuwa kupeleka mabadiliko kwenye taasisi ni kazi rahisi kama Makamba na Chande wanavyodhani kusingekuwa na science ya ‘change management’ and ‘motivational theories at work” ili kufahamu right method to implement change.
Ujinga ulianza kwa waziri na mkurugenzi wake kuingia na ujuaji kwa kuwafokea wataalamu kakita sector ambayo wao wenyewe awajui even how a house electric circuit operates, halafu unafokea wataalamu.
I knew it from the beginning it would fail for several reasons to mention a few. For starters change management approach mkurugenzi alitakiwa kuanza kushawishi wataalam kuwa upande wake kama kweli yeye ni mtaalamu wa biashara.
Vitu vingine wala sio vya kubishana; wakati mwanzo tu unajua vitaishia vipi.
Kwa kina zaidi kwenye mambo serious ya national security waziri adhibitiwe kwenye mikataba ya Gas hana anachojua trust me.
Nafkiri tusitoe lawama kwa jambo lenye uhalisia,sasa maana ya hicho.kitengo.ninini.si ni kutuhabarisha wananchi na kutoa ufafanuzi wa kila tatizo linapotokea, kwa mfano umeme unakatwa ghafla tena siku nzima unajua kuna shughuli ngapi za kiuchumi zinaathirika na wao bila hata kutoa taarifa ya mapema kuwa kutakuwa na tatizo hivyo watu wajipange.kwa hili kwakweli nipo na Mh.Waziri, lazima watumishi wawajibike ipasavyo kwenye vitengo vyao.Mtu anapewa nyenzo zote za kufanyia kazi afu huoni performance, mpaka aje kiongozi mkubwa kama waziri ndio aone tatizo, si sawa.Huo ni uonevu tu waziri kashindwa kusimamia umeme anakimbilia kumtumbua afisa habari.Makamba hamna kitu hapo tumepigwa watanzania.
Wanakula kwa urfu wa kamba yaoSpot on.
Kwa kweli namkumbuka JPM, kwenye swala la umeme na kufanya kazi bila kupepesa macho nilimvulia kofia. Umeme ulikuwa sio tatizo, zile habari za ma-generator kila kona ya duka ziliisha. Hivi hawa viwavi hawashibi tu!
Kwanza ni kweli Kitengo cha Habari hakifanyi kazi ipasavyo.Waziri wa Nishati Mh Makamba amevunja kitengo cha habari na mawasiliano Tanesco akikituhumu kimeshindwa kulisemea shirika na kulitetea shirika kwenye nyakati ambazo kitengo na watu wake kimetakiwa kufanya hivyo!
Ikumbukwe kitengo cha habari na mawasiliano kinaongozwa na mwana dada Badra Masoud kwa misingi hiyo amekali kuti kavu ...
Maswali ya kujiuliza...
Ni kweli kitengo hichi ndicho tatizo kwenye shirika?
Ni kweli wameshindwa kuitetea tanesco?
View attachment 2095460