Waziri Makamba avunja Kitengo cha Habari na Mawasiliano TANESCO kwa tuhuma za kushindwa kulisemea Shirika

Waziri Makamba avunja Kitengo cha Habari na Mawasiliano TANESCO kwa tuhuma za kushindwa kulisemea Shirika

Makamba anavyodai kitengo kimeshindwa kuitetea Tanesco ana maana gani? anataka kitengo kiwe kinazalisha propaganda au kifanyeje?

Navyojua hao watu wa idara ya habari wanatakiwa kupewa taarifa za majibu ya kero za wateja kutoka kwa wahusika (waziri, naibu wake, katibu mkuu nk) then wao ndio watangaze taarifa hizo kwa umma.

Sasa mfano wananchi wakiulizia ujio wa ile winchi ya tani 26 toka huko ilipoagizwa mbona mpaka leo kimya? Makamba anataka hao jamaa wa kitengo cha habari wajibu kitu gani kama hajawapa majibu?
Si unawajua watu wanoendesha nchi kwa propganda? Hiyo ndiyo anayotaka
 
Nadhani hii haipishani saana na ile ya duka la dawa lisikae mita chache kutoka sehemu ya kuhudumia wagonjwa.
====
Hivi ni makusudi ama wanaamini wameishavunja vipande vya ngazi hakuna wa kutengeneza ngazi nyingine?
Hawa jamaa wana akili ya ajabu sana, hivi duka la dawa likiwa km 5 nashindwaje peleka hizo dawa, yanalejea yaleyale ya mwaka 47 mwanafunzi mmoja akiiba mtihani darasa la 7 shule nzima inafungiwa miaka 5 kutofaulisha mwanafunzi hata mmoja.
 
Sio kweli, umeme unakatika mara kwa amara, hawatoi taarifa tatizo ni nini,,
Uchakavu wa miundombinu,
Gharama za uendeshaji ziko juu,
Awamu ya 5 walishindwa kufanya matengenezo,
 
The whole thing is like an episode of Tom and Jerry; but the outcome fatal for generations in Tanzania.

Ingelikuwa kupeleka mabadiliko kwenye taasisi ni kazi rahisi kama Makamba na Chande wanavyodhani kusingekuwa na science ya ‘change management’ and ‘motivational theories at work” ili kufahamu right method to implement change.

Ujinga ulianza kwa waziri na mkurugenzi wake kuingia na ujuaji kwa kuwafokea wataalamu kakita sector ambayo wao wenyewe awajui even how a house electric circuit operates, halafu unafokea wataalamu.

I knew it from the beginning it would fail for several reasons to mention a few. For starters change management approach mkurugenzi alitakiwa kuanza kushawishi wataalam kuwa upande wake kama kweli yeye ni mtaalamu wa biashara.

Vitu vingine wala sio vya kubishana; wakati mwanzo tu unajua vitaishia vipi.

Kwa kina zaidi kwenye mambo serious ya national security waziri adhibitiwe kwenye mikataba ya Gas hana anachojua trust me.
 
Waziri wa Nishati Mh Makamba amevunja kitengo cha habari na mawasiliano Tanesco akikituhumu kimeshindwa kulisemea shirika na kulitetea shirika kwenye nyakati ambazo kitengo na watu wake kimetakiwa kufanya hivyo!

Ikumbukwe kitengo cha habari na mawasiliano kinaongozwa na mwana dada Badra Masoud kwa misingi hiyo amekali kuti kavu ...

Maswali ya kujiuliza...
Ni kweli kitengo hichi ndicho tatizo kwenye shirika?
Ni kweli wameshindwa kuitetea tanesco?
View attachment 2095460
Kuna mtu anatafutiwa shavu... Kutoka mahali fulani tena mdada... End
 
The whole thing is like an episode of Tom and Jerry; but the outcome fatal for generations in Tanzania.

Ingelikuwa kupeleka mabadiliko kwenye taasisi ni kazi rahisi kama Makamba na Chande wanavyodhani kusingekuwa na science ya ‘change management’ and ‘motivational theories at work” ili kufahamu right method to implement change.

Ujinga ulianza na wa waziri na mkurugenzi kuingia na ujuaji kuwafokea wataalamu kakita sector ambayo wao wenyewe awajui even how a house electric circuit operates, halafu unafokea wataalamu.

I knew it from the beginning it would fail for several reasons to mention a few. For starters change management approach mkurugenzi alitakiwa kuanza na hilo kama kweli ni mtaalamu wa biashara.

Vitu vingine wala sio vya kubishana; wakati mwanzo tu unajua vitaishia vipi.

Kwa kina zaidi kwenye mambo serious ya national security waziri adhibitiwe kwenye mikataba ya Gas hana anachojua trust me.
Hehehe maji mtaita mma....
 
Hehehe maji mtaita mma....
Uwe unasoma post za watu kwa umakini kabla ya kupayuka na inabidi ukubali Magufuli is gone.

Kwa mwenyekiti wa CCM kama ni kupambana nae njia sahihi ni kumuonyesha alternative aone anakosea wapi au kumpa mawazo mbadala; elewa mwisho wa siku hakuna mtu mwenye uwezo wa kumtisha akiamua; labda walinzi halisi wa CCM kwenye idara.

Bi Tozo anazingua lakini kumbuka kwa sasa yeye ndio ‘alpha na omega’ Tanzania.

Tuna mpa tu vipande vyake na hizi teuzi zake za kipuuzi lakini dah jamaa wakija inabidi uwe na black belt kama mimi.
 
Kila mkoa ,au wilaya n.k Wana kituo Chao Cha umeme Sasa wao watajuaje kuwa sehemu Fulani umeme umekatika?
wanaojua ni wale wanaokata umeme.
Hapana ni kweli kwa nini umeme unakatika hovyo hakuna taarifa na hawasemi kuwaambia wananchi kuna nini umeme unakatika?

Lakini mkurugenzi mkuu anatakiwa kupewa onyo ,hawasimamii mameneja wa Mikoa.
 
Ni kweli.
Hao hawahusiki na kukatwa kwa umeme.wale walioko kigamboni ndo anatakiwa awatumbue.
Anataka waitetee vipi tanesco wakati umeme umekatika?
wao watasema nini?
Mimi naona kati ya watu walitakiwa kupewa pongezi ni wa hiki kitengo maana wanazunguka kuitetea tanesco ambayo ni aibu kuitetea hasa huyu Badra Masoud
 
Waziri wa Nishati Mh Makamba amevunja kitengo cha habari na mawasiliano Tanesco akikituhumu kimeshindwa kulisemea shirika na kulitetea shirika kwenye nyakati ambazo kitengo na watu wake kimetakiwa kufanya hivyo!

Ikumbukwe kitengo cha habari na mawasiliano kinaongozwa na mwana dada Badra Masoud kwa misingi hiyo amekali kuti kavu ...

Maswali ya kujiuliza...
Ni kweli kitengo hichi ndicho tatizo kwenye shirika?
Ni kweli wameshindwa kuitetea tanesco?
View attachment 2095460
Unaweje? Kutetea shirika wakati shirika lenyewe linatoa huduma mbovu wakati wote si utachoka
 
The whole thing is like an episode of Tom and Jerry; but the outcome fatal for generations in Tanzania.

Ingelikuwa kupeleka mabadiliko kwenye taasisi ni kazi rahisi kama Makamba na Chande wanavyodhani kusingekuwa na science ya ‘change management’ and ‘motivational theories at work” ili kufahamu right method to implement change.

Ujinga ulianza kwa waziri na mkurugenzi wake kuingia na ujuaji kwa kuwafokea wataalamu kakita sector ambayo wao wenyewe awajui even how a house electric circuit operates, halafu unafokea wataalamu.

I knew it from the beginning it would fail for several reasons to mention a few. For starters change management approach mkurugenzi alitakiwa kuanza kushawishi wataalam kuwa upande wake kama kweli yeye ni mtaalamu wa biashara.

Vitu vingine wala sio vya kubishana; wakati mwanzo tu unajua vitaishia vipi.

Kwa kina zaidi kwenye mambo serious ya national security waziri adhibitiwe kwenye mikataba ya Gas hana anachojua trust me.
Katika matatizo yanayoikabili TANESCO,Makamba has shown no leadership at all.
Kuwatupia lawama kitengo cha habari kwa kutoeleza matatizo, it is a very poor intervention.
One, it shows the new management is inept, and two, they have no technical management solutions.
And three, worst of all, they are spineless and not man enough to admit mistakes and make good.

Sisi huku mitaani umeme unaendelea kukatika ovyo na kuua vifaa.
 
Kama ofisi za tanesco nao wameweka majenereta standby inamaana hawajui umeme utakatika saa ngapi na kwa sababu zipi ije kuwa kitengo cha habari ndo wajuwe pasipo kuambiwa.
 
Huo ni uonevu tu waziri kashindwa kusimamia umeme anakimbilia kumtumbua afisa habari.Makamba hamna kitu hapo tumepigwa watanzania.
Nafkiri tusitoe lawama kwa jambo lenye uhalisia,sasa maana ya hicho.kitengo.ninini.si ni kutuhabarisha wananchi na kutoa ufafanuzi wa kila tatizo linapotokea, kwa mfano umeme unakatwa ghafla tena siku nzima unajua kuna shughuli ngapi za kiuchumi zinaathirika na wao bila hata kutoa taarifa ya mapema kuwa kutakuwa na tatizo hivyo watu wajipange.kwa hili kwakweli nipo na Mh.Waziri, lazima watumishi wawajibike ipasavyo kwenye vitengo vyao.Mtu anapewa nyenzo zote za kufanyia kazi afu huoni performance, mpaka aje kiongozi mkubwa kama waziri ndio aone tatizo, si sawa.
 
Hivi huyu waziri ndiyo anajenga au anabomoa maana matatizo tanesco ndiyo yanazidi
 
Dada Pili wa Tanesco Arusha Yupo Poa.
Wateja wa Tanesco wanatakiwa wawe wavumilivu.

Tanesco HQ watolewe ndo wanachelewesha taarifa za kitaifa za kukatika Umeme.

Kwa hapa Arusha nikiwa Supervisor wa Kiwanda Kikubwa napata Updates za. kukatika Umeme Kwa matatizo ya ndani ya mkoa mapema sana. Ila ya kitaifa ndo hayaeleweki na hapaa siwezi Ilaumu Tanesco Arusha.
 
Spot on.

Kwa kweli namkumbuka JPM, kwenye swala la umeme na kufanya kazi bila kupepesa macho nilimvulia kofia. Umeme ulikuwa sio tatizo, zile habari za ma-generator kila kona ya duka ziliisha. Hivi hawa viwavi hawashibi tu!
Wanakula kwa urfu wa kamba yao
 
Dada Pili wa Tanesco Arusha Yupo Poa.
Wateja wa Tanesco wanatakiwa wawe wavumilivu.

Tanesco HQ watolewe ndo wanachelewesha taarifa za kitaifa za kukatika Umeme.

Kwa hapa Arusha nikiwa Supervisor wa Kiwanda Kikubwa napata Updates za. kukatika Umeme Kwa matatizo ya ndani ya mkoa mapema sana. Ila ya kitaifa ndo hayaeleweki na hapaa siwezi Ilaumu Tanesco Arusha.
 
Waziri wa Nishati Mh Makamba amevunja kitengo cha habari na mawasiliano Tanesco akikituhumu kimeshindwa kulisemea shirika na kulitetea shirika kwenye nyakati ambazo kitengo na watu wake kimetakiwa kufanya hivyo!

Ikumbukwe kitengo cha habari na mawasiliano kinaongozwa na mwana dada Badra Masoud kwa misingi hiyo amekali kuti kavu ...

Maswali ya kujiuliza...
Ni kweli kitengo hichi ndicho tatizo kwenye shirika?
Ni kweli wameshindwa kuitetea tanesco?
View attachment 2095460
Kwanza ni kweli Kitengo cha Habari hakifanyi kazi ipasavyo.
Na naona Waziri Januari Makamba amevunja ahadi yake ya kutoingilia Utendaji wa Tanesco siku aliyomtambulisha Mkurugenzi Mkuu mpya.
Katika hili, nafurahi kwamba Mhe. Makamba ameona mwanga kuwa Serikali Kuu lazima iishikie kiboko Tanesco, maana Umeme ndiyo Injini ya Maendeleo na Ustaarabu wa Nchi.
Lakini ukitafakari, jinsi umeme unavyokatika ovyo ovyo, sehemu kadhaa katika Mji mmoja, au Mkoa mmoja, au Wilaya moja, sijui hicho Kitengo kitafanyaje kazi kukidhi mahitaji?
Unakuta sehemu ya Mji wa Morogoro haina umeme, sehemu nyingine upo.
Kijiji fulani hakina umeme, kingine upo!
Utoaji taarifa kutoka Dar es Salaam utakuwa mtihani mgumu.
Kwa hali ilivyo, Tanesco wanatakiwa kuwa na Namba za Simu zinazojulikana na kutangazwa muda wote ili kutoa taarifa za Umeme kukatika au Nguzo kuanguka au Waya kukatika na majibu yapatikane. Ikibidi Tanesco iweke utaratibu wa Namba kama za Jeshi la Zimamoto, yaani 'toll free number' maana tatizo ni kubwa kupita kiasi.
Ningetamani hizo Bilioni 70 zilizolipwa Kampuni ya India kwa ajili ya maboresho zisaidie pia katika hili la kuimarisha Miundombinu ya Tehama ya Kitengo cha Habari.
 
Back
Top Bottom