Waziri Makamba: Bwawa la Mwalimu Nyerere sasa kazi ni usiku na mchana

Waziri Makamba: Bwawa la Mwalimu Nyerere sasa kazi ni usiku na mchana

Raisi pekee akigombea ntampigia kura ni makamba .
makamba wakati wa wewe kumpigia kura ukifika atakua mgombea urais. Tunakuuliza tena rais gani anayeitwa makamba utampigia kura uchaguzi ukifika. Kajifunze lugha vizuri na si kwenda english medium kila siku kunoa ngeli yako tu
 
Kadiri siku zinavyozidi kwenda, ndivyo uzee mbaya kabisa kuwahi kutokea unamvagaa bwana January, kiasi kwamba watu tunataka kuhoji utimamu wake wa akili na ilikuwaje akaingia no ile kipindi kile cha wenye akili zao kuwapo kwenye no hiyo..
 
makamba wakati wa wewe kumpigia kura ukifika atakua mgombea urais. Tunakuuliza tena rais gani anayeitwa makamba utampigia kura uchaguzi ukifika. Kajifunze lugha vizuri na si kwenda english medium kila siku kunoa ngeli yako tu
Sikuelewi !!!we tako unaongea nn?
 
Waziri wa Nishati, January Makamba ametembelea mradi wa Bwawa la kufua Umeme la Mwalimu Nyerere Agosti 08 2022 ili kukagua na kuangalia hatua mbalimbali zilizofikiwa na mradi huo.

"kwa sasa tumefika asilimia 67, Katika Miaka Miwili na nusu ya Mwanzo (Kuanzia Disemba 2018 - June 2021) tulifikia asilimia 37. Leo tuko asilimia 67 ni kasi kubwa katika kipindi hiki kifupi, Sasa hivi hapa kazi inafanyika saa 24 hakuna mapumziko kwa hiyo kasi imeongezeka" Makamba"

Katika kipindi hiki cha serikali awamu ya sita, tumeshuhudia kasi zaidi katika utekelezaji wa miradi mikubwa ya kimkakati. Na hili limekuwa ni kielelezo cha mhe rais Samia Suluhu Hassan katika kuhakikisha miradi yote mikubwa ya kimkakati inakamilika kwa uharaka.

Hakika Mama anaupiga Mwingi Sana.
Anakosea sana anaposema eti awamu ya 6 ndiyo imeongeza kasi, huo ni uongo. Kama kazi tu za vibarua ni rushwa nje nje je huo ujenzi wenyewe??? Yaani walivuruga mfumo ili
kutengeneza mianya ya rushwa, tuombe Mungu lisijejengwa kwa kiwango duni likaua watu.
 
Huo usiku na mchana ni kwa nchi ipi??
 
Tatizo ni Katiba yetu hii hairuhusu mgombea huru inalazimisha uwe kwenye Chama cha siasa.
Eleza vizuri. Si katiba inayokataza mgombea huru wa urais, ni sheria inayosema hivyo. Unajua tena, kama sheria inapingana na katiba, sheria hiyo inakufa tunafuata katiba.
Kama ambavyo mtu halazimiki kuwa na chama ili kupiga kura, vilevile mtu halazimiki kuwa na chama kupigiwa kura.
 
Kwa hiyo sheria inapingana na Katiba? Vurugu mechi😂
 
Eleza vizuri. Si katiba inayokataza mgombea huru wa urais, ni sheria inayosema hivyo. Unajua tena, kama sheria inapingana na katiba, sheria hiyo inakufa tunafuata katiba.
Kama ambavyo mtu halazimiki kuwa na chama ili kupiga kura, vilevile mtu halazimiki kuwa na chama kupigiwa kura.
imeanza lini hii au ipo kwenye makaratasi nyumbani kwako?
 
Back
Top Bottom