peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Let’s uthibitisho! Hizo unazoleta zote ni stori ambazo hata mimi naweza kuzitunga
Sasa acheni kutunga stori zenu mkiongozwa na uzandiki na chuki zenu!Njia sahihi zipi mkuu au unataka nikatupwe kwenye kiroba ununio? Ndio utaskia furaha😅
Kampuni ya simu ya Halotel ni ya January Makamba na JK . Kampuni hii hailipi kodi na imewekeza minara yao kwenye maeneo ya taasisi za serikalu mfano shule za serikali, bure na hawalipi kodi ya pango popote waliopoweka minara. Wizi mkubwa huu
Kijamaa kinamutafutia sababu ya kumtoa ili kaweke mpigaji mwenzake.James kwa uzalendo wake na kwa u mimi na upigaji wa January kamwe hawezi kudumu pale.
Mr February is a jack of all trades but master of noneJames kwa uzalendo wake na kwa u mimi na upigaji wa January kamwe hawezi kudumu pale.
Hawakujifunza kwa Kikwete,alipoingia alimtoa JPM kwenye barabara akaweka washikaji zake,walichokifanya akina Chenge,Shukuru Kawambwa anakijua......alikuja kumurudisha JPM kwa shinjo upande.Mr February is a jack of all trades but master of none
Mataragio namfahamu n mtu makini lakn nasikitika hata dumu pale January atamshaur SSH aweke mpigaj mwenzake
Ndipo.tulipofika hapa tunaishi awamu ya 4 lakn tupo awamu ya 6
Inanihusu nini mimi hii?
Umemaliza kaziIla lazma atoke tu
Hilo wanalijua ila wamedhamilia kutekeleza matakwa yao ya upigaji.Miaka ya 70 na 80 wakati shirika la TPDC likihodhi uagizaji mafuta nchini uhaba wa mafuta ulikuwa mkubwa sana nchini baada ya serikali ya awamu ya 3 kufanya hii biashara kuwa huria mafuta yalipatikana kwa wingi na bei nafuu. Makampuni kanda ya ziwa yaliagiza mafuta kupitia Kenya kwa bei nzuri sana.
Waziri Makamba kwa kipindi kifupi toka awe Waziri wa Nishati anajaribu kuleta mabadiliko ambayo yanaweza kuleta athari mbaya kwenye sekta ya mafuta kwani serikali ilishajitoa kwenye masuala ya biashara ni muhimu kuachia makampuni makubwa kama Total, Shell etc yaagize mafuta na serikali ikusanye kodi. Serikali ya Kenya ilijaribu lakini walishindwa. Mbali na hayo hii biashara ya mafuta serikali ikifanya tutegemee ufisadi mkubwa huko mbele katika kuthibiti utuzaji na ukusanyaji wa kodi kwenye mafuta.
Serikali ichukue tahadhari.
Kwahiyo mmezoea kudanganywa kama issue ya mafuta ya kula?Ki ujumla hata kama ni kweli panaweza pakawa na up upungufu wa mafuta, mkurugenzi hakupaswa kutamka maneno hayo mbele ya umma. Hii ni kuleta taharuki isiyo kuwa na sababu. Upo uwezekano shida ikajitokeza muda sio mrefu, watu watapanick na kuanza kujilimbikizia hata wasivyo hitaji.
Gosheni, yawezekana hapa ndipo penye tatizo.Ki ujumla hata kama ni kweli panaweza pakawa na up upungufu wa mafuta, mkurugenzi hakupaswa kutamka maneno hayo mbele ya umma. Hii ni kuleta taharuki isiyo kuwa na sababu. Upo uwezekano shida ikajitokeza muda sio mrefu, watu watapanick na kuanza kujilimbikizia hata wasivyo hitaji.
Nasikia Popatlai alifanya yake ya kina BashiteMakamba na elimu yake ya kuunga unga anathubutu vipi kumpinga Daktari mtaalam na mbobezi wa petrol?? Alipaswa kukubaliana na ukweli na kusema hatua zinazochukuliwa ili kuondoa hofu lakini si kupinga
Pamoja sanaJames ni mkweli
Wameshazoea kuwafanyia watu wanao wakosoa hao ni masheitwaanNjia sahihi zipi mkuu au unataka nikatupwe kwenye kiroba ununio? Ndio utaskia furaha[emoji28]
Wataenda kujimilikisha koki kule kurasini yani hii nchi bana mi ningekuwa na uwezo ningekusanya wazee kila mkoa waandae skadi tu tuwasafishe washenzi wote mmoja baada ya mwengine!Hilo wanalijua ila wamedhamilia kutekeleza matakwa yao ya upigaji.
Wanatia kinyaaa sana maana huyo Makamba kaingia wizarani wakati ipo hali ya mafuta ipo stable.Wataenda kujimilikisha koki kule kurasini yani hii nchi bana mi ningekuwa na uwezo ningekusanya wazee kila mkoa waandae skadi tu tuwasafishe washenzi wote mmoja baada ya mwengine!
Ni ajali tu na mbinu zote za kimila kuwamaliza wote iwe angani au ardhini! Mwisho tuweke utaratibu mpya sasa. Yani kiongozi yeyote anayejifanya mwehu ni kumnyoosha tu kimila!