peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Let’s uthibitisho! Hizo unazoleta zote ni stori ambazo hata mimi naweza kuzitunga
January Makamba alishiriki wizi wa Mitihani Galanos na kufutiwa matokeo
Mimi nimesoma na JM pale Galanos sec Tanga mwanzoni wa miaka ya tisini. Huyu bwana matokeo yake ya form four yalifutwa baada ya kugundulika aliiba paper. Baada ya hapo baba yake akamfanyia mpango kwenye shule nyingine nadhani Forest. Wezi wa paper ndio leo wanashika nchi unategemea nini? Kama JM...