Waziri Makamba: Msitegemee wala kutarajia bwawa la mto Rufiji kujazwa maji mwezi Machi

Ccm cjui wanashida gani aisee kweli Makamba mbona majibu mepesi sana hili toto jinga kabisa
 
Mimi sijaelewa tani 26 ama tani 260 maana haimgii hakilini
 
Wenye akili woye walipin ga mradi huu, baadaye nyie wenyewe mka Kiri kuwa ,hata Mkandarqsi hana uwezo!
Nani huyo mwenye akili aliupinga mradi huu? Huwezi kuwa na akili timamu halafu ukaupinga mradi huu. Kabla ya JPM awamu zote nne zilizo mtangulia zilitamani kuutekeleza mradi huu, tatizo likawa ukosefu wa fedha na uwoga.
 
Hehe hehe! Wewe unafikiri Mama kamweka Makamba hapo kwa bahati mbaya au kwa uwezo alio nao? Ni mchoro umechorwa.
 
Watanzania kwa ujumla tumepigwa. SSH, Mulamula, Dorothy gwajima, makamba, ndalichako, doto biteko, majaliwa, mpango, mwenezi wa ccm Taifa, hii orodha majibu yake yataonekana 2025
Aliyetupiga ni nani kati ya hao?
 
Dadeki contractor analipwa trillion sita kujenga bwawa then unaambiwa hakuna crane ya kubeba tani 30 kwa hiyo kazi haiwezi kamilika kwa wakati, ningekuwa mimi Makamba ningekuwa offended vibaya sana na sababu ya kipuuzi kama hiyo na ningehakikisha crane zinanunuliwa within 24 hours na ningewaburuza kuhakikisha hakuna hata siku moja inaongezwa kumaliza kazi tuliyokubaliana , lakini kwa waziri kuongea alichoongea atakuwa very weak na haelewi anachofanya au hataki kazi ifanyike
 
Haya mambo ya kukosa umeme mbadala si yalianza kujadiliwa hata kabla ya white hair kumwaga manyanga? Umeme wa upepo vipi? au umekwama kwenye hansad za bunge.
Huko wanaona hakuna upigaji mwingi
 
Kama kweli alisema hivyo,basi kazi tunayo,jmn hizi Mambo za kupeana shukru ,kwenye Mambo nyet tunafeoishana aise.
 
Tone 26 mbona ndogo Sana, zipo zimejaa tele
 
Akiwa Waziri wa mazingira unajua walisema nini kuhusu Bwawa hili
 
Huyu jamaa kiazi kweli kweli, containers pale bandarini Zina tani 34 na zinashushwa na kupakiwa kwenye semi trailers Kila siku Sasa hiyo ya tani 26 Hadi alete ya kwake ndo ibebe hiyo milango? Ndo maana liliiba mitihani Galanos wakalifutia matokeo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…