Waziri Makamba: Msitegemee wala kutarajia bwawa la mto Rufiji kujazwa maji mwezi Machi

Mkuu ata kama mkandarasi hana lakini sio kwakusema Tanzania nzima hatuna hiyo crane ni uongo wa mchana kweupe! Yale berms pale kwenye daraja za SGR toka Station mpaka shaurimoyo yale maberms yalikuwa na uzito wa tani 90 lakini kule juu yalienda inashindika vipi kwa kitu cha uzito wa tani 26?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama alisemea Bungeni! walishindwa kumuuliza hili swali la maana Sana.
Mkuu pale bungeni hatuna wabunge bali tuna kundi la wala pesa za wananchi! Kichwa Ndungayi kimejaa masizi hawezi kuuliza maswali ya msingi!
 
Kifupi nzige wameanza kuota mabawa baada ya msimu mgumu wa 2015/2021😅😅
 
Mm ninalo winchi la tani 60 niwakodishe
 
Kila anayehusika kuihujumu nchi yetu hatabaki salama,

Narudia Tena, hatabaki salama
 
Kambale ameanza kutoka sharubu, yaan Samia katupiga pakubwa kwahuyu jamaa!
 
Niliweka wazi kuwa Mr.Marope ni kilaza na kiazi kama vingine watu wakapinga! Ukisha pata zero kwenye masomo 7 na kuendelea tambua ni kiazi tu, ndugu yake ni Mr. Slowslow,

Hivi Mr. Marope anadhania kuwa kampuni ya ujenzi hawakufanya feasibility study na kuonesha mahitaji yote?
Hili tatizo naliona lipo Whitehouse na kwavile ndiyo limeleta hiki Kilaza na Mwizi wa awamu ya NNE kutwambia uongo!

Yaani, ukiona ikulu inaokoteza watu walioachwa kwa madhaifu waliyoyaoneaha hapo awali kisha wanakuja tena kwa kupewa sekta nyeti kama Nishati tambua hadi system yetu inakuwa ya kuhojiwa kama kweli wapo makini au nao ni whitehouse ndiyo inaamua mambo yote!

kukatikakatika kwa umeme nayo ni kilio kona zote za nchi hii nayo inahitaji maji kutoka nje ya nchi!?

Poleni Tanzania kupona kwenu huko Tanzania ni kutoa vilaza wote pasina kuangalia ngazi walizopo
 
Je hiyo crane imehitajika ghafla baada ya uteuzi wa Makamba?
Kwa mujibu wa mkataba, je jukumu la kuleta zana ni la nani?
Muda si mrefu tutaambiwa Tz hakuna bolt na nut za kipenyo cha 100mm, zitatoka nje.
Nina wasiwasi kunaweza kuwa na 'wizi' mkubwa wa vifaa ili kudumaza mradi?
Pia isije kuwa appointment ya Makamba ni ya kimkakati ili kuua mradi. Matatizo ya ya nishati kwa ujumla ni mengi, Ila kambi imewekwa Tanesco
 
Ana ujinga sana makamba kakalia majungu tu
 
Kuna watu wamezoea kuambiwa uongo
Hakuna active Operation kwa siku 420 bado mtu anataka bwana likamilike siku ioio nazani mnataka January na mama Samia wakafungue bwawa hewa kama jamaa yenu wa mapicha picha
 
Nikuulize we tangu ukue kila kitu huwa unasema ndio tuu
KAPINGA Kabla sababu alternative ya Gesi ilikuwepo sasa kama Mwendazake walilazimishwa lijengwe na fedha zimetumika unataka aendelee kukataa au aendeleze kuokoa fedha za walipa kodi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…