Waziri Makamba: Msitegemee wala kutarajia bwawa la mto Rufiji kujazwa maji mwezi Machi

Sababu sio hiyo peke yake, tukubaliane kujenga bwawa la ukubwa ule lenye umadhubuti inachukua muda, fanya utafiti kwa Misri na Ethiopia

Tusilazimishe mambo kufurahisha wananchi Halafu linajazwa maji linapasuka
Hoja ni kwanini January kalidanganya Bunge?!
 
AWE MWANGALIFU WAZIRI WETU. Nilifanya kazi mradi fulani wa kuvuta maji ziwani kwa kilimo cha umwagiliaji. Wakati wa kufunga mapampu wale wataalamu wa nje walsema wanataka winchi yenye mkono wa mita 40 (boom) na wakaondoka. Tulipata mhandisi mzalendo tukazifunga bila hiyo crane.
 
Mbona unaweweseka sana mkuu ndio weye makatani? Angalia mantiki ya maada siyo kumjadili mtu aliyeleta maada mfyuuu! Makatani ni jipuu lililoivaga tangu enzi na enzi!
 
26tons weight ni ndogo sana.....nafahamu Tanzania zipo crane mpaka za 300tons kama hajui aje inbox nimuelekeze ziliko....
nafikiri inawezekana issue sio Tonnage labda kuna kitu kingine ameshindwa kukitolea maelezo maana ni technical issue hiyo, LAKINI KAMA UZITO WA 26TON ni uongo....AJE INBOX NIMUELEKEZE ZILIPO DAR HAPO.....nitampa na discount ya udalali...
 
Kuna mawinch daily yananyanyua vitu vya tani mia na usher[emoji28]
 
Bakharessa anayo ya kunyanyua hadi meli zake baharini huko sembuse mlango!

Sent from my TECNO P704a using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…