Waziri Makamba: Msitegemee wala kutarajia bwawa la mto Rufiji kujazwa maji mwezi Machi

Kamarada karibu JF......

Naona mada zako zimeshushupalia sana pale bwawa la mwalimu Nyerere ambapo tutalipa jumla ya Trilioni 6.5 na malengo ya mradi kukamilishwa na arab contractors mwezi Juni 2022 tukipata MEGAWATI 2115.

Vipi una wasiwasi mradi huo kutoendelezwa?!!

Kwa sababu zipi?
 
Hapa washajua kwa mabadiliko ya tabia ya nchi yanavoendelea dawa ni kuchelewesha tu kulijaza maji bwawa ili hata iyo March mwakani iwe sio rahisi kulijaza kwani kiwango cha maji kinaweza kisiruhusu kutokana Na ukosefu wa mvua za kutosha hivyo hii ni ku buy time tu kulihujumu bwawa,
Kongole wapigaji,kongole Maropes
 
Hata ungekuwa wewe pengine ungefanya hivyo hivyo kama kuanzisha miradi mipya na kufanya yale yote ambayo yatakutangaza wewe yenye kufanya uonekana kuwa wewe ndio umefanya. Kama ambavyo hata Samia sasa anajaribu kufanya yale ambayo yatamtangaza hiyo 2025.
 
We nawe huna akili, hiyo winchi anayeileta ni makamba? Kwanza unaelewa maana ya contractor kweli?
 
We kituko achana na mimi tafadhari tena Komaaa mwana usiye na haya!

Jana ume zima hovyo!

Nimekwambia wenye vyeti fake hawarejeshwi ofisini endelea kupambana na hali yako simbilizi!
Achana na J February huyo....Mmemshutia anajitapatapa tuu
 
Binafsi Sina Tatizo na Maropes ila mtu anaemuamini Maropes nae ni sehemu ya tatizo...ni aina ya wanasiasa wajanja wajanja and they act smart and play innocent!

Kama Kuna Tatizo Tz basi anaemuamini Maropes nae ni sehemu ya tatizo
 
Willing hakuna ya mradi huo kutekelezwa from his side. Hata kama mtu ni mzuri, mamlaka za uteuzi zingekua zinafanya upembuzi yakinifu sana wangeweza kumpatia wizara nyingine, inayukumnisha sana waziri ambaye alipinga ujenzi wa bwawa wakati akiwa mazingira na aka block block upembuzi yakinifu kuwa bwawa lingeharibu mazingira na bora kutumia vyanzo vingine vya umeme leo hii hii unampatia wizara hiyo hiyo ya kufua umeme kupitia uwekezaji mkubwa wa bwawa hilo hilo alilolipinga.

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
January hili bwawa alilipinga toka kitambo,tangu alipokua waziri wa muungano na mazingira kwa hoja eti linaharibu mazingira ya uhifadhi wa asili.Lakini yote haya mwenye majibu ni mungu pekee aliemtwaa mja wake mh.magufuli akiwa bado madarakani.
 
Cha ajabu watu Kama hao ndio wanaoishi maisha marefu.
 
hydroelectric power ni technic ya kizamani sana ya kuzalisha umeme, mwendazake alituingiza chaka, sasa mradi unatudodea. Makamba upo sahihi.
 
Umene wa gas Ni gharama kubwa kuzalisha na gharama kubwa kwa mtumiaji kuliko umeme wa Maji

Kwa hiyo mlitaka muanze na miradi gharama kubwa ya kuzalisha na kuumiza mteja ?

Kwa hiyo mnataka kuwakomesha wananchi muutelekeze mradi wa Bei nafuu na ukikamilika kunakuwa nafuu kwa mwananchi mtumiaji mumupeke kwenye gas expensive?

Wewe utetezi wako ndio hauna maana sababu hujali gharama za mradi Wala kujali gharama atakazolipia mwananchi

Umeme wa Maji bei ndogo.Kwa hiyo mnataka kuufrustrate ili mkomoe wananchi mwende kwenye gharama kubwa kwa Vita zenu za kibwege za madaraka za kutaka kujionyesha Nani zaidi kuliko mwingine kuwa Sasa zamu yenu wananchi watawakoma vya Magufuli vilivyokuwa cheap tupa kule lete expensive?
 
hydroelectric power ni technic ya kizamani sana ya kuzalisha umeme, mwendazake alituingiza chaka, sasa mradi unatudodea. Makamba upo sahihi.

Mkuu fanya basi Mchakato Sisi Tulioaomea Oil&Gas pia Tunaokaa Huku Kusini Tufaidike na Gas Yetu Kaka?
Si Unajua Gas ni 6%Tuu ya bomba ndio imetumika,Pigia Pigia Debe basi Umeme wa Gas Mwamba[emoji30][emoji12]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…