Waziri Makamba: Msitegemee wala kutarajia bwawa la mto Rufiji kujazwa maji mwezi Machi

Eeh Mungu Baba wa Mbinguni, twakuomba utusamee pale tulipokukosea. Tusamehe eeh Bwana wa majeshi. JPM hakika tulipaswa kukuombea zaid labda Mungu angekupa muda zaidi... roho yngu dah.

Winchi... ndo maana Kalemani aliondolewa. Vunjeni kbs tujue moja...
 
Kuna waziri mmoja kipindi fulani cha ukame na mkato wa umeme alidai bwawa la Mtera haliwezi kujaa maji kwa miaka mitano ijayo, hata inyeshe mvua ya namna gani! Mungu si Athumani, ilinyesha mvua ya siku tatu tu maji yakajaa na hata mamlaka husika zikaogopa yatavunja kingo za bwawa na kupitaliza.

Kujaa na kutojaa maji kwenye bwawa au kukosekana vifaa/ujuzi mara nyingi ni siasa ili kuhalalisha jambo fulani
 

Kwahiyo Unataka Mitambo yetu ya Gas ioze kaka?
Gas angalau tutaiuzia Tanesco sasa hayo maji Si Yatachimbwa na Tanesco wenyewe tutakufa njaa mkuu[emoji3516][emoji41] Kuwa na Huruma Kaka...
Kwanza Hilo Bwawa Litaharibu Mazingira,Ukame utakausha Maji,Mitambo ni ya Kizamani,
Tuendeleze kile tulichokianza cha Gas,mbona Mmekiacha?Ujue Roho Inauma[emoji30][emoji30]Na wewe Tuiache Bwawa uumie kama Tulivyokuwa tunaumia sisi[emoji41]
Alisikika Jamaa mmoja Aliekuwa kachanganyikiwa na Maisha akisema maneno hayo”[emoji2][emoji2][emoji119]
 
Makamba anajitafutia shida tu huko mbeleni.

Anaweza akajikuta kama Membe.
 
Umemsahau baba yake yusuph makamba
 
Kwani wakati wanafanya usanifu wa mradi huu walifikiri hayo mawinchi yangetoka wapi? Kama hamna Tanzania si walitakiwa wawe wameliona na kuliwekea mkakati. Sasa kuja kututangazia sasa maana yake nini?
 
Watanzania kwa ujumla tumepigwa. SSH, Mulamula, Dorothy gwajima, makamba, ndalichako, doto biteko, majaliwa, mpango, mwenezi wa ccm Taifa, hii orodha majibu yake yataonekana 2025
 
26 tones ni ndogo sana hata bandarini makotainer Yana uzito zaidi ya huo. Unless kuna mengine zaidi ya uzito.

Lakini hilo swala la Winchi siyo la serikali ni la contractors. Kama serikali imemlipa contractor sioni kwa nini hii issue iwe serikali kuzitolea maelezo tena Bungeni.
 
Mkuu fanya basi Mchakato Sisi Tulioaomea Oil&Gas pia Tunaokaa Huku Kusini Tufaidike na Gas Yetu Kaka?
Si Unajua Gas ni 6%Tuu ya bomba ndio imetumika,Pigia Pigia Debe basi Umeme wa Gas Mwamba[emoji30][emoji12]
Hivi unafahamu kuwa gas si yetu, na ili tuitumie kuzalisha umeme ni lazima tuinunue? Je wajua gharama yake kuzalishia umeme ikoje?
 
hydroelectric power ni technic ya kizamani sana ya kuzalisha umeme, mwendazake alituingiza chaka, sasa mradi unatudodea. Makamba upo sahihi.
China nchi ya pili kwa uchumi mkubwa duniani sasa hivi anakamilisha kujenga bwawa kubwa la kuzalisha umeme,sasa jiulize china hakuona vyanzo vyengine?
 
Hatujapigwa isipokuwa kausema ukweli kama ulivyo
 
Ebu shirikisha akili yako na wewe sio tu una take it easy nchi nzima Kweli sisi ni wakukosa crane au winch za kunyanyua ton 30!!!!???
 
But Kalemani alitangaza by November 15 maji yataanza kujazwa kwenye bwawa tena na saa alitaja. Hii ina maana waziri au mtu yeyote anaweza kusema uongo ndani ya bunge kadri anavyojisikia? Siyo nziri hii!
 
Hivi unafahamu kuwa gas si yetu, na ili tuitumie kuzalisha umeme ni lazima tuinunue? Je wajua gharama yake kuzalishia umeme ikoje?

Mkuu Magenerata si yapo Kaka?
Si Kina IPTLL wanarudi?Au hivyo wataongeza nguvu? Lakini Si Ni Mradi uliotangulia Kuanza Kaka? LNG pia Itatoa Hela Kaka 70trilioni sio mchezo Kaka...
Kwanza:Hilo Bwawa Kitachafua Mazingira Dunia imepinga,Pili Gharama yake ni Kubwa mnoo wakati tayari kuna Mitambo Kinyerezi na watu binafsi wa Kufufua Umeme,Au Unataka watu/Makampuni binafsi yakose Kazi Kaka?[emoji2369]Yasiuzie Tanescoo Umeme?
Pia Umeme wa Maji Inaharibika sana,Mitambo yake ni ya Kizamani! Haya yakisema na Jamaa mmoja Alikuwa hajielewi[emoji23][emoji41][emoji30]
 
Waziri mwenyewe aliibaga mtihani wa kidato cha nne Galanos Sec School unategeme ana kitu kichwani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…