Waziri Makamba: Ninatukanwa sana lakini nitalipa kisasi kwa matokeo

we hata mume wako humkubali utamkubali naye?
 
Hata kwenye gas ya Mtwara mlijitapa hivi hivi na mkaenda mbali sana mkasema Kukatika umeme Tanzania itakuwa historia.Mnatufanya mazezeta lakini historia hujiandika kwa matendo na maneno yenu.
Kwani ni nani amesababisha tushindwe kutumia bomba la gas ya Mtwara to its fullest potential?
 
Ungeyataja hayo aliyofanya makubwa
senge hilo linatafuta mabwana kinguvu kuleta kashfa hapa. Ukute hata boxer aliyovaa ni mabaki kutoka kwa shemeji yake anaemlala dada yake. Kapata jero ya kifurushi iliyobaki kwenye mkate aliotumwa maneno ya shombo yanamtoka hapa badala kwenda kupiga kiwi viatu vya shemeji yake.
 
Mbona unachanganya mambo? Wangapi itabidi uwahusishe na Mapenzi yao kwa Kalemani ili hali uzi haujamhusisha Kalemani?

Uzuri na umakini kwa Makamba ni upi?

Kuwazunguka watanzania na kuwa adui na kupinga ujenzi wa JKNHP kwamba ni uharifu na uharibifu wa mazingira siyo?

Kwa nini hakuweza kupinga na ama kuiandikia dunia uharibifu wa mazingira ujenzi wa bwawa la Ethiopia?
 
Unataka wamshambulia Waziri wa Afya au Elimu kuhusu kukatika kwa umeme?Hivi mnatumia nini kufikiri?Umeme kukatika katika hovyo bila utaratibu imekuwa ni desturi chini ya wizara yake.
 
Ndiyo maana mahali popote pale watu wakikwambia wewe ni MSWAHILI ujue umetukanwa sana mnaleta uswahili uswahili kwenye mambo ya msingi.
Kwanza kalaumu yule marehemu wenu ndio alitelekeza mradi saizi ungekuwa uko kwenye utekelezaji..
 
Suala la mifuko ya plastiki lilikuwa ni msukumo wa JPM

Lakini nilipomsikiliza jana juu ya kukatika kwa umeme,nilimuelewa.Naamini ni kiongozi mzuri.Tumpe muda.
 
makamba hatakiwi kupewa uwaziri wowote hapa nchini. basi tu sijui kwanini.
 
Matusi yote haya kwa sababu ya mtu kutoa maoni na mtazamo wake?
 
Kama kwa "mdini" unamaanisha Mujslam, jweli kabusa, najivunia Uislam wangu.


Pia najivunia kuwa na Rais mama wa Kiislaam.

Ma shaa Allah.
Acha basi kutia watu hasira sio vizuri kuwa mtu wa stara na kujali hisia za wengine. Mtu akionyeshwa kukerwa na kauli au maneno yako basi fanya kama kupunguza ukali wa maneno ili asiumie zaidi. Mbona haya mafunzo yapo wazi kabisa we mdada aiseeee khaaaaaah?!
 
Future president umeeleweka vyema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…