Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 25,874
- 36,030
[emoji23][emoji23][emoji23]Kweli kumbe humu jf kuna vichaa!Makamba ajitahidi kwani yeye ndiye mmiliki wa Tanesco! Na hayo matatizo ya Tanesco yalianza leo? Siyo Serikali hii ya CCM iliyo tudanganya kipindi kile kulimaliza kabisa hilo tatizo la umeme, baada tu ya kugundua gesi?
Gesi iko wapi? Si mliwauzia nyinyi Mabeberu kwa siri! Sasa iweje leo mtu aliyekaa ofisini kwa miezi 4 tu aonekane ndiyo chanzo cha matatizo yaliyo tokea zaidi ya miaka 20 iliyopita? Ndiyo maana nimesema huyo Makamba Jr, yuko sahihi kujitetea. Huenda ni vita tu ya kugombania ulaji kwenye hiyo Wizara.
Na uzuri ccm wote mnajuana! Ni wapigaji tu.
Basi tumwambie makamba hata bungeni pale asikifike kabisa kujibu maswali ajikalie tu nyumbani maana hilo halimhusu kabisa.
Kumbe tz ni masikini sababu ya upumbavu wetu bhana!
Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app