johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Usiogope!Ana uhakika kiasi gani kama hizo maiti zimetoka Nchi jirani, na siyo nje ya Mkoa wa Tanga?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usiogope!Ana uhakika kiasi gani kama hizo maiti zimetoka Nchi jirani, na siyo nje ya Mkoa wa Tanga?
LabdaHuwa tunaambiwa ni Waethopia,labda tunaanza kuandaliwa.
Nchi hii kuna watu wa kunyonga tu kwa kauli za hovyo.Mjinga sana huyu,yaani maiti zitoke nchi jirani kweli,lengo ni kujitetea kuwa kwenye mkoa wake hakuna mauaji,kuna viongozi ni vilaza na huyu yumo
Kazi kweli kweli...
Ndio umuhimu wa kuwa na database ya DNA unapokuja...
Uko sahihi, Takataka eti naye anaongoza watuMjinga sana huyu,yaani maiti zitoke nchi jirani kweli,lengo ni kujitetea kuwa kwenye mkoa wake hakuna mauaji,kuna viongozi ni vilaza na huyu yumo
Hadi tuone ndugu wa marehemu wakijitambulisha kwa kutumia ID zao wakitokea nje ya nchi ndio naweza kuamini na siyo kwa kudhania tu.Mkuu wa mkoa wa Tanga Mgumba amesema maiti zilizokutwa zimetupwa wilayani Kilindi yawezekana zimetoka nchi Jirani na siyo Tanga
Mgumba amesema maiti hizo zilifungwa kwa ustadi mkubwa kwenye viroba vya kilo 50 hali inayoonyesha wauwaji ni wazoefu wa matukio
hayo
Watu wote wa Kilindi wameshindwa kuzitambua maiti hizo
Naye waziri wa mambo ya Ndani mh Masauni amesema wahalifu hai wanatafutwa na jeshi la Polisi kwa nguvu zote
Source ITV habari
Kweli mkuuHadi tuone ndugu wa marehemu wakijitambulisha kwa kutumia ID zao wakitokea nje ya nchi ndio naweza kuamini na siyo kwa kudhania tu.
Mjinga sana huyu,yaani maiti zitoke nchi jirani kweli,lengo ni kujitetea kuwa kwenye mkoa wake hakuna mauaji,kuna viongozi ni vilaza na huyu yumo
Nchi ipi ya jirani aitaje fala huyo? Lazima ni wasiojulikana masalia ya mwendachato tu! Akitengeneza mashetani kama yeye wengi sana sana! Asante Mungu kwa kutuondolea shetani aliyejivika ngozi ya binadamu! Japo Bahari haijatulia hata kidogo![emoji91]Mkuu wa mkoa wa Tanga Mgumba amesema maiti zilizokutwa zimetupwa wilayani Kilindi yawezekana zimetoka nchi Jirani na siyo Tanga