SYLLOGIST!
JF-Expert Member
- Dec 28, 2007
- 8,189
- 7,853
View attachment 2682723
Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi, Mhandisi Hamad Masauni ametoa onyo kali kwa watu wanaotumia uhuru wa kutoa maoni vibaya kwa lengo la kuhatarisha usalama na kuleta mpasuko kwa taifa.
Kauli hiyo imekuja baada ya kuibuka baadhi ya watu hususani wanasiasa kutumia majukwaa yao kutoa kauli zenye viashiria vya uvunjifu wa amani vyenye kuleta mgawanyiko nchini.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masaun ameyasema hayo wakati akizungumza na Wananchama cha Mapinduzi (CCM) Kata ya Kindondoni Shamba iliyopo Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam katika uzinduzi wa tawi katika kata hiyo lililopo Chuo Kikuu Huria.
"Ninalielekeza jeshi la polisi na vyombo vingine vya usalama kuhakikisha havimfumbii macho mtu yeyote au kikundi chochote kitakachopelekea kwa vitendo au kwa kauli katika kuvunja sheria za nchi yetu na kuhatarisha usalama wa nchi hii"_ Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi, Mhandisi Hamad Masauni
"Katika nchi hii kama kuna chama kinachosifika katika ujenzi na misingi ya umoja na mshikamano na amani ni Chama Cha Mapinduzi (CCM) na ndiyo kina dhamana ya kuiongoza Serikali, na Serikali hii inayo jukumu la kuhakikisha nchi inabaki kuwa salama na kuwa moja kwa kudumisha umoja na mshikamano, vyama vingine havina jukumu hilo"_Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi, Mhandisi Hamad Masauni
JAMBO TV
Ccm msije kukubali Nchi isambaratike Kwa kuchekea watu wachache wanaoeneza chuki ,tulionya mara nyingi tuu..View attachment 2682723
Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi, Mhandisi Hamad Masauni ametoa onyo kali kwa watu wanaotumia uhuru wa kutoa maoni vibaya kwa lengo la kuhatarisha usalama na kuleta mpasuko kwa taifa.
Kauli hiyo imekuja baada ya kuibuka baadhi ya watu hususani wanasiasa kutumia majukwaa yao kutoa kauli zenye viashiria vya uvunjifu wa amani vyenye kuleta mgawanyiko nchini.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masaun ameyasema hayo wakati akizungumza na Wananchama cha Mapinduzi (CCM) Kata ya Kindondoni Shamba iliyopo Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam katika uzinduzi wa tawi katika kata hiyo lililopo Chuo Kikuu Huria.
"Ninalielekeza jeshi la polisi na vyombo vingine vya usalama kuhakikisha havimfumbii macho mtu yeyote au kikundi chochote kitakachopelekea kwa vitendo au kwa kauli katika kuvunja sheria za nchi yetu na kuhatarisha usalama wa nchi hii"_ Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi, Mhandisi Hamad Masauni
"Katika nchi hii kama kuna chama kinachosifika katika ujenzi na misingi ya umoja na mshikamano na amani ni Chama Cha Mapinduzi (CCM) na ndiyo kina dhamana ya kuiongoza Serikali, na Serikali hii inayo jukumu la kuhakikisha nchi inabaki kuwa salama na kuwa moja kwa kudumisha umoja na mshikamano, vyama vingine havina jukumu hilo"_Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi, Mhandisi Hamad Masauni
JAMBO TV
Kwa hali ya kisiasa inavyoendelea sasa hivi mchini, ikihusu hasa suala la uwekezaji bandari za Tanzania bara, kwa mkataba wa IGA wenye vifungu tatanishi, na kulalamikiwa na baadhi ya watu wa kawaida, wasomi na viongozi wa vyama vya siasa, agizo hilo la Waziri linaweza kusababisha uvunjifu wa amani....
"Ninalielekeza jeshi la polisi na vyombo vingine vya usalama kuhakikisha havimfumbii macho mtu yeyote au kikundi chochote kitakachopelekea kwa vitendo au kwa kauli katika kuvunja sheria za nchi yetu na kuhatarisha usalama wa nchi hii"_ Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi, Mhandisi Hamad Masauni ...
View attachment 2682723
Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi, Mhandisi Hamad Masauni ametoa onyo kali kwa watu wanaotumia uhuru wa kutoa maoni vibaya kwa lengo la kuhatarisha usalama na kuleta mpasuko kwa taifa.
Kauli hiyo imekuja baada ya kuibuka baadhi ya watu hususani wanasiasa kutumia majukwaa yao kutoa kauli zenye viashiria vya uvunjifu wa amani vyenye kuleta mgawanyiko nchini.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masaun ameyasema hayo wakati akizungumza na Wananchama cha Mapinduzi (CCM) Kata ya Kindondoni Shamba iliyopo Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam katika uzinduzi wa tawi katika kata hiyo lililopo Chuo Kikuu Huria.
"Ninalielekeza jeshi la polisi na vyombo vingine vya usalama kuhakikisha havimfumbii macho mtu yeyote au kikundi chochote kitakachopelekea kwa vitendo au kwa kauli katika kuvunja sheria za nchi yetu na kuhatarisha usalama wa nchi hii"_ Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi, Mhandisi Hamad Masauni
"Katika nchi hii kama kuna chama kinachosifika katika ujenzi na misingi ya umoja na mshikamano na amani ni Chama Cha Mapinduzi (CCM) na ndiyo kina dhamana ya kuiongoza Serikali, na Serikali hii inayo jukumu la kuhakikisha nchi inabaki kuwa salama na kuwa moja kwa kudumisha umoja na mshikamano, vyama vingine havina jukumu hilo"_Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi, Mhandisi Hamad Masauni
JAMBO TV
Tutalianzisha na utakimbilia kwenu Unguja.View attachment 2682723

Na hapa wanajikuta wanazidi kumwaga petrol kwenye moto.Kutokuelewa majukumu yako ni Utumwa tu.
Hii tishatisha sasa...."Tusije kulaumiana" na sasa "Ninalielekeza jeshi la polisi" ni Utumwa tu.
Wasome mkataba, wasijiondoe ufahamu.
Hivi huyu masauni naye ni mzenji kumbe?Nyie wazanzibar mmeuza bandari zetu then tunawaambia ukweli badala ya kurekebisha mnatutisha haikubaliki
Sent from my Nokia C10 using JamiiForums mobile app
Awanyamazishe Wazanzibari kwanza...View attachment 2682723
Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi, Mhandisi Hamad Masauni ametoa onyo kali kwa watu wanaotumia uhuru wa kutoa maoni vibaya kwa lengo la kuhatarisha usalama na kuleta mpasuko kwa taifa.
Kauli hiyo imekuja baada ya kuibuka baadhi ya watu hususani wanasiasa kutumia majukwaa yao kutoa kauli zenye viashiria vya uvunjifu wa amani vyenye kuleta mgawanyiko nchini.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masaun ameyasema hayo wakati akizungumza na Wananchama cha Mapinduzi (CCM) Kata ya Kindondoni Shamba iliyopo Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam katika uzinduzi wa tawi katika kata hiyo lililopo Chuo Kikuu Huria.
"Ninalielekeza jeshi la polisi na vyombo vingine vya usalama kuhakikisha havimfumbii macho mtu yeyote au kikundi chochote kitakachopelekea kwa vitendo au kwa kauli katika kuvunja sheria za nchi yetu na kuhatarisha usalama wa nchi hii"_ Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi, Mhandisi Hamad Masauni
"Katika nchi hii kama kuna chama kinachosifika katika ujenzi na misingi ya umoja na mshikamano na amani ni Chama Cha Mapinduzi (CCM) na ndiyo kina dhamana ya kuiongoza Serikali, na Serikali hii inayo jukumu la kuhakikisha nchi inabaki kuwa salama na kuwa moja kwa kudumisha umoja na mshikamano, vyama vingine havina jukumu hilo"_Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi, Mhandisi Hamad Masauni
JAMBO TV
Chama kinachopora kwenye kila uchaguzi kinapojisifia kutunza amani!View attachment 2682723

Ccm ikipora chaguzi za nchi hii nchi haisambaratiki, ila watu wakigoma raslimali zao kuuzwa kinyemela ndio nchi itavunjika?! Makondoo wa Tanganyika wamegoma bandari yao kuuzwa.Ccm msije kukubali Nchi isambaratike Kwa kuchekea watu wachache wanaoeneza chuki ,tulionya mara nyingi tuu..
Uhuru uwe wenye mipaka na unaolinda tunu za Taifa,wanaoeneza upuuzi wao familia zao ziko Ulaya hakuna kuwachekea.
VIFUTENI KAMA MNAUBAVUView attachment 2682723
Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi, Mhandisi Hamad Masauni ametoa onyo kali kwa watu wanaotumia uhuru wa kutoa maoni vibaya kwa lengo la kuhatarisha usalama na kuleta mpasuko kwa taifa.
Kauli hiyo imekuja baada ya kuibuka baadhi ya watu hususani wanasiasa kutumia majukwaa yao kutoa kauli zenye viashiria vya uvunjifu wa amani vyenye kuleta mgawanyiko nchini.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masaun ameyasema hayo wakati akizungumza na Wananchama cha Mapinduzi (CCM) Kata ya Kindondoni Shamba iliyopo Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam katika uzinduzi wa tawi katika kata hiyo lililopo Chuo Kikuu Huria.
"Ninalielekeza jeshi la polisi na vyombo vingine vya usalama kuhakikisha havimfumbii macho mtu yeyote au kikundi chochote kitakachopelekea kwa vitendo au kwa kauli katika kuvunja sheria za nchi yetu na kuhatarisha usalama wa nchi hii"_ Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi, Mhandisi Hamad Masauni
"Katika nchi hii kama kuna chama kinachosifika katika ujenzi na misingi ya umoja na mshikamano na amani ni Chama Cha Mapinduzi (CCM) na ndiyo kina dhamana ya kuiongoza Serikali, na Serikali hii inayo jukumu la kuhakikisha nchi inabaki kuwa salama na kuwa moja kwa kudumisha umoja na mshikamano, vyama vingine havina jukumu hilo"_Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi, Mhandisi Hamad Masauni
JAMBO TV
View attachment 2682723
Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi, Mhandisi Hamad Masauni ametoa onyo kali kwa watu wanaotumia uhuru wa kutoa maoni vibaya kwa lengo la kuhatarisha usalama na kuleta mpasuko kwa taifa.
Kauli hiyo imekuja baada ya kuibuka baadhi ya watu hususani wanasiasa kutumia majukwaa yao kutoa kauli zenye viashiria vya uvunjifu wa amani vyenye kuleta mgawanyiko nchini.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masaun ameyasema hayo wakati akizungumza na Wananchama cha Mapinduzi (CCM) Kata ya Kindondoni Shamba iliyopo Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam katika uzinduzi wa tawi katika kata hiyo lililopo Chuo Kikuu Huria.
"Ninalielekeza jeshi la polisi na vyombo vingine vya usalama kuhakikisha havimfumbii macho mtu yeyote au kikundi chochote kitakachopelekea kwa vitendo au kwa kauli katika kuvunja sheria za nchi yetu na kuhatarisha usalama wa nchi hii"_ Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi, Mhandisi Hamad Masauni
"Katika nchi hii kama kuna chama kinachosifika katika ujenzi na misingi ya umoja na mshikamano na amani ni Chama Cha Mapinduzi (CCM) na ndiyo kina dhamana ya kuiongoza Serikali, na Serikali hii inayo jukumu la kuhakikisha nchi inabaki kuwa salama na kuwa moja kwa kudumisha umoja na mshikamano, vyama vingine havina jukumu hilo"_Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi, Mhandisi Hamad Masauni
JAMBO TV
"Ninalielekeza jeshi la polisi na vyombo vingine vya usalama" Sijui nini kitatokea siku Mwenye Enzi naye akiwaelekeza polisi na vyombo vingine vya usalama tofauti na maelekezo ya wanadamu wenzao. Oh, sorry nimewaza kipuuzi ila na wao wana nyongo hivyo wanahisi raha na maumivu pia. Maumivu yakiwazidi haya maelekezo tusijeshangaa yakatokea ya Malawi.View attachment 2682723
Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi, Mhandisi Hamad Masauni ametoa onyo kali kwa watu wanaotumia uhuru wa kutoa maoni vibaya kwa lengo la kuhatarisha usalama na kuleta mpasuko kwa taifa.
Kauli hiyo imekuja baada ya kuibuka baadhi ya watu hususani wanasiasa kutumia majukwaa yao kutoa kauli zenye viashiria vya uvunjifu wa amani vyenye kuleta mgawanyiko nchini.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masaun ameyasema hayo wakati akizungumza na Wananchama cha Mapinduzi (CCM) Kata ya Kindondoni Shamba iliyopo Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam katika uzinduzi wa tawi katika kata hiyo lililopo Chuo Kikuu Huria.
"Ninalielekeza jeshi la polisi na vyombo vingine vya usalama kuhakikisha havimfumbii macho mtu yeyote au kikundi chochote kitakachopelekea kwa vitendo au kwa kauli katika kuvunja sheria za nchi yetu na kuhatarisha usalama wa nchi hii"_ Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi, Mhandisi Hamad Masauni
"Katika nchi hii kama kuna chama kinachosifika katika ujenzi na misingi ya umoja na mshikamano na amani ni Chama Cha Mapinduzi (CCM) na ndiyo kina dhamana ya kuiongoza Serikali, na Serikali hii inayo jukumu la kuhakikisha nchi inabaki kuwa salama na kuwa moja kwa kudumisha umoja na mshikamano, vyama vingine havina jukumu hilo"_Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi, Mhandisi Hamad Masauni
JAMBO TV
Maendeleo hayana Chama au unasemaje bwashee?Ukweli mchungu!
ngoja mtaalam washeria na bingwa wa siasa afrika ,mh. TALUkweli mchungu!
Kwa viongozi wenye Jukumu la kuhakikisha Usalama wa Nchi; Upatikanaji wa habari za uhakika, zisizo na utata na mwingine dhamana ya vyombo vingine, nyeti na vya kiintelijensia-inaudhi.Na hapa wanajikuta wanazidi kumwaga petrol kwenye moto.