Waziri Masauni ameonya watu au vikundi vya watu ambavyo vinatumia uhuru wa kutoa maoni kutoa kauli za uchochezi

Kutokuelewa majukumu yako ni Utumwa tu.

Hii tishatisha sasa...."Tusije kulaumiana" na sasa "Ninalielekeza jeshi la polisi" ni Utumwa tu.

Wasome mkataba, wasijiondoe ufahamu.
 
View attachment 2682723
Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi, Mhandisi Hamad Masauni ametoa onyo kali kwa watu wanaotumia uhuru wa kutoa maoni vibaya kwa lengo la kuhatarisha usalama na kuleta mpasuko kwa taifa.

Kauli hiyo imekuja baada ya kuibuka baadhi ya watu hususani wanasiasa kutumia majukwaa yao kutoa kauli zenye viashiria vya uvunjifu wa amani vyenye kuleta mgawanyiko nchini.

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masaun ameyasema hayo wakati akizungumza na Wananchama cha Mapinduzi (CCM) Kata ya Kindondoni Shamba iliyopo Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam katika uzinduzi wa tawi katika kata hiyo lililopo Chuo Kikuu Huria.

"Ninalielekeza jeshi la polisi na vyombo vingine vya usalama kuhakikisha havimfumbii macho mtu yeyote au kikundi chochote kitakachopelekea kwa vitendo au kwa kauli katika kuvunja sheria za nchi yetu na kuhatarisha usalama wa nchi hii"_ Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi, Mhandisi Hamad Masauni

"Katika nchi hii kama kuna chama kinachosifika katika ujenzi na misingi ya umoja na mshikamano na amani ni Chama Cha Mapinduzi (CCM) na ndiyo kina dhamana ya kuiongoza Serikali, na Serikali hii inayo jukumu la kuhakikisha nchi inabaki kuwa salama na kuwa moja kwa kudumisha umoja na mshikamano, vyama vingine havina jukumu hilo"_Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi, Mhandisi Hamad Masauni

JAMBO TV

`Haya ndiyo matatizo ya viongozi wa serikali kutotofautisha mambo ya vyama na maboya serikali.
HAPO YEYE KAZUNGUMZA NA WANA CHAMA CHA MAJIZI na si wanchi/watanganyika.

Kama hicho chama ndicho chenye dhamana ya kuongoza serikali, na nchi ikabaki salama, basi ni wakati wa kujipanga vyema kujikomba na hiki chama.

Hakuna usalama wa nchi wakati rasilimali zake zinaliwa na wachache.
Kuna huu usemi: when a rat cornered, it fights back, check

View attachment 2682723
Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi, Mhandisi Hamad Masauni ametoa onyo kali kwa watu wanaotumia uhuru wa kutoa maoni vibaya kwa lengo la kuhatarisha usalama na kuleta mpasuko kwa taifa.

Kauli hiyo imekuja baada ya kuibuka baadhi ya watu hususani wanasiasa kutumia majukwaa yao kutoa kauli zenye viashiria vya uvunjifu wa amani vyenye kuleta mgawanyiko nchini.

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masaun ameyasema hayo wakati akizungumza na Wananchama cha Mapinduzi (CCM) Kata ya Kindondoni Shamba iliyopo Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam katika uzinduzi wa tawi katika kata hiyo lililopo Chuo Kikuu Huria.

"Ninalielekeza jeshi la polisi na vyombo vingine vya usalama kuhakikisha havimfumbii macho mtu yeyote au kikundi chochote kitakachopelekea kwa vitendo au kwa kauli katika kuvunja sheria za nchi yetu na kuhatarisha usalama wa nchi hii"_ Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi, Mhandisi Hamad Masauni

"Katika nchi hii kama kuna chama kinachosifika katika ujenzi na misingi ya umoja na mshikamano na amani ni Chama Cha Mapinduzi (CCM) na ndiyo kina dhamana ya kuiongoza Serikali, na Serikali hii inayo jukumu la kuhakikisha nchi inabaki kuwa salama na kuwa moja kwa kudumisha umoja na mshikamano, vyama vingine havina jukumu hilo"_Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi, Mhandisi Hamad Masauni

JAMBO TV
Ccm msije kukubali Nchi isambaratike Kwa kuchekea watu wachache wanaoeneza chuki ,tulionya mara nyingi tuu..

Uhuru uwe wenye mipaka na unaolinda tunu za Taifa,wanaoeneza upuuzi wao familia zao ziko Ulaya hakuna kuwachekea.
 
...
"Ninalielekeza jeshi la polisi na vyombo vingine vya usalama kuhakikisha havimfumbii macho mtu yeyote au kikundi chochote kitakachopelekea kwa vitendo au kwa kauli katika kuvunja sheria za nchi yetu na kuhatarisha usalama wa nchi hii"_ Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi, Mhandisi Hamad Masauni ...
Kwa hali ya kisiasa inavyoendelea sasa hivi mchini, ikihusu hasa suala la uwekezaji bandari za Tanzania bara, kwa mkataba wa IGA wenye vifungu tatanishi, na kulalamikiwa na baadhi ya watu wa kawaida, wasomi na viongozi wa vyama vya siasa, agizo hilo la Waziri linaweza kusababisha uvunjifu wa amani.

Nguvu ya hoja yangu inatokana na matukio ya kukamatwa watu wanaopinga huo mkataba na baadhi ya vikundi vya watu kufanya maandamano.

Isitoshe Muungano nao unaanza kutikishwa, hasa pale uamuzi wa uwekezaji bandari za Tanzania bara unahusishwa na Viongozi wa Serikali ya JMT kutoka Tanzania visiwani na anayetoa agizo kwa Polisi naye ni wa upande huo wa muungano.

Nawaza tu kwa sauti kwamba KUNA DALILI ZA KUVUNJIKA MUUNGANO WAKATI WA UTAWALA WA SASA.

USHAURI
Halmaashauri kuu ya CCM ikutane haraka kuandaa Mkutano Mkuu wa chama, agenda ikiwa "hali ya kisiasa kwa sasa", kuepusha lakutokea lisitokee.
 
View attachment 2682723
Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi, Mhandisi Hamad Masauni ametoa onyo kali kwa watu wanaotumia uhuru wa kutoa maoni vibaya kwa lengo la kuhatarisha usalama na kuleta mpasuko kwa taifa.

Kauli hiyo imekuja baada ya kuibuka baadhi ya watu hususani wanasiasa kutumia majukwaa yao kutoa kauli zenye viashiria vya uvunjifu wa amani vyenye kuleta mgawanyiko nchini.

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masaun ameyasema hayo wakati akizungumza na Wananchama cha Mapinduzi (CCM) Kata ya Kindondoni Shamba iliyopo Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam katika uzinduzi wa tawi katika kata hiyo lililopo Chuo Kikuu Huria.

"Ninalielekeza jeshi la polisi na vyombo vingine vya usalama kuhakikisha havimfumbii macho mtu yeyote au kikundi chochote kitakachopelekea kwa vitendo au kwa kauli katika kuvunja sheria za nchi yetu na kuhatarisha usalama wa nchi hii"_ Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi, Mhandisi Hamad Masauni

"Katika nchi hii kama kuna chama kinachosifika katika ujenzi na misingi ya umoja na mshikamano na amani ni Chama Cha Mapinduzi (CCM) na ndiyo kina dhamana ya kuiongoza Serikali, na Serikali hii inayo jukumu la kuhakikisha nchi inabaki kuwa salama na kuwa moja kwa kudumisha umoja na mshikamano, vyama vingine havina jukumu hilo"_Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi, Mhandisi Hamad Masauni

JAMBO TV

Anaongea kama kada wa ccm au waziri ?

Ifike mahali cheo cha uwaziri kitengwe na siasa, ikiwezekana watoke nje ya siasa kwa ku apply job kabisa.
 
View attachment 2682723
Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi, Mhandisi Hamad Masauni ametoa onyo kali kwa watu wanaotumia uhuru wa kutoa maoni vibaya kwa lengo la kuhatarisha usalama na kuleta mpasuko kwa taifa.

Kauli hiyo imekuja baada ya kuibuka baadhi ya watu hususani wanasiasa kutumia majukwaa yao kutoa kauli zenye viashiria vya uvunjifu wa amani vyenye kuleta mgawanyiko nchini.

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masaun ameyasema hayo wakati akizungumza na Wananchama cha Mapinduzi (CCM) Kata ya Kindondoni Shamba iliyopo Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam katika uzinduzi wa tawi katika kata hiyo lililopo Chuo Kikuu Huria.

"Ninalielekeza jeshi la polisi na vyombo vingine vya usalama kuhakikisha havimfumbii macho mtu yeyote au kikundi chochote kitakachopelekea kwa vitendo au kwa kauli katika kuvunja sheria za nchi yetu na kuhatarisha usalama wa nchi hii"_ Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi, Mhandisi Hamad Masauni

"Katika nchi hii kama kuna chama kinachosifika katika ujenzi na misingi ya umoja na mshikamano na amani ni Chama Cha Mapinduzi (CCM) na ndiyo kina dhamana ya kuiongoza Serikali, na Serikali hii inayo jukumu la kuhakikisha nchi inabaki kuwa salama na kuwa moja kwa kudumisha umoja na mshikamano, vyama vingine havina jukumu hilo"_Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi, Mhandisi Hamad Masauni

JAMBO TV
Tutalianzisha na utakimbilia kwenu Unguja.
 
Awanyamazishe Wazanzibari kwanza...
 
Chama kinachopora kwenye kila uchaguzi kinapojisifia kutunza amani!
 
Ccm msije kukubali Nchi isambaratike Kwa kuchekea watu wachache wanaoeneza chuki ,tulionya mara nyingi tuu..

Uhuru uwe wenye mipaka na unaolinda tunu za Taifa,wanaoeneza upuuzi wao familia zao ziko Ulaya hakuna kuwachekea.
Ccm ikipora chaguzi za nchi hii nchi haisambaratiki, ila watu wakigoma raslimali zao kuuzwa kinyemela ndio nchi itavunjika?! Makondoo wa Tanganyika wamegoma bandari yao kuuzwa.
 
View attachment 2682723
Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi, Mhandisi Hamad Masauni ametoa onyo kali kwa watu wanaotumia uhuru wa kutoa maoni vibaya kwa lengo la kuhatarisha usalama na kuleta mpasuko kwa taifa.

Kauli hiyo imekuja baada ya kuibuka baadhi ya watu hususani wanasiasa kutumia majukwaa yao kutoa kauli zenye viashiria vya uvunjifu wa amani vyenye kuleta mgawanyiko nchini.

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masaun ameyasema hayo wakati akizungumza na Wananchama cha Mapinduzi (CCM) Kata ya Kindondoni Shamba iliyopo Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam katika uzinduzi wa tawi katika kata hiyo lililopo Chuo Kikuu Huria.

"Ninalielekeza jeshi la polisi na vyombo vingine vya usalama kuhakikisha havimfumbii macho mtu yeyote au kikundi chochote kitakachopelekea kwa vitendo au kwa kauli katika kuvunja sheria za nchi yetu na kuhatarisha usalama wa nchi hii"_ Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi, Mhandisi Hamad Masauni

"Katika nchi hii kama kuna chama kinachosifika katika ujenzi na misingi ya umoja na mshikamano na amani ni Chama Cha Mapinduzi (CCM) na ndiyo kina dhamana ya kuiongoza Serikali, na Serikali hii inayo jukumu la kuhakikisha nchi inabaki kuwa salama na kuwa moja kwa kudumisha umoja na mshikamano, vyama vingine havina jukumu hilo"_Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi, Mhandisi Hamad Masauni

JAMBO TV
VIFUTENI KAMA MNAUBAVU
 
CCM ndio yenye dhamana ya kuongoza Nchi,​

Je hii imo katika katiba? Labda ile katiba ya chama kimoja
 
"Ninalielekeza jeshi la polisi na vyombo vingine vya usalama" Sijui nini kitatokea siku Mwenye Enzi naye akiwaelekeza polisi na vyombo vingine vya usalama tofauti na maelekezo ya wanadamu wenzao. Oh, sorry nimewaza kipuuzi ila na wao wana nyongo hivyo wanahisi raha na maumivu pia. Maumivu yakiwazidi haya maelekezo tusijeshangaa yakatokea ya Malawi.
 
Kwanza arekebishe kauli wao hawajatupa uhuru .... uhuru tulisha upata mika 50 iliyo pita kwahiyo hili ni taifa huru asitutishe
 
Na hapa wanajikuta wanazidi kumwaga petrol kwenye moto.
Kwa viongozi wenye Jukumu la kuhakikisha Usalama wa Nchi; Upatikanaji wa habari za uhakika, zisizo na utata na mwingine dhamana ya vyombo vingine, nyeti na vya kiintelijensia-inaudhi.

Kuachia usambazaji huo wa habari na taarifa za upotoshaji, bila ya kunyoosha vidole hivi wanavyo vinyoosha sasa inaashiria utumwa, utumwa uliokuja na, au unaokuja na mkataba! [They are responsible to some extent.]

Wacha walimwagie peteroli.
 
Back
Top Bottom