Jemima Mrembo
JF-Expert Member
- Jul 19, 2021
- 2,864
- 8,328
Watanganyika tumedhulumiwa ardhi yetu, tumedhulumiwa maji yetu ya maziwani na ya baharini, ndugu zetu tulio waamini sana, tukawakaribisha chumbani leo wamempa Mwarabu kwa vipande vichache tu vya fedha.
Leo Watanganyika tunalia machozi ya damu, Mzanzibari mmoja anatuzuia tusilie. Mara tukae kimya tusiongelee mkataba dhalimu wa DP WORLD.
Mara anasema viongozi wa dini wasiuongelee huu mkataba dhalimu, kwani viongozi wa dini sio Watanganyika? Kwani wao hawana uchungu na rasilimali tulizo rithishwa na vizazi vyetu vilivyotangulia?
Masauni nakuasa tu, jifunźe kuomboleza na wanaoomboleza. Sio katikati ya majonzi ulete maneno yako ya shombo