Waziri Masauni, kaa kimya Watanganyika tunapolia juu ya urithi wa rasimali zetu

Huyu faiza foxiy sio udini ila niroho ya unyani inamsumbua na imemkaa haswa yaani anajiona yeye mweusi ni sokwe na mwarabu ndio mtu si aende huko uarabuni
Faizafox, Uarabuni hawezi kwenda kwa sababu anaamini yeye Faizafox ni mbwa, na mwarabu ni binadamu. Binadamu mwarabu, hawezi kukaa pamoja na mbwa. Yeye mbwa ni lazima akae mbali akitikisa mkia kusubiria makombo ya mwanadamu mwarabu.
 
Mbona wapo kibao, mpaka bungeni wamejaa.

Huna shemeji wa Kiarabu wewe?
Ndugu yangu ana mke mwarabu, tena mwarabu msomi hasa, waliyekutana naye masomoni Ulaya. Wakaishi huko miaka 15.

Tena ni mshika dini hasa, asiyepungukiwa na upendo, na ambaye mara kadhaa amechukizwa sana na tabia za baadhi ya ndugu zake ambao ni waarabu, kuwadharau na kuwabagua watu weusi. Mara kadhaa akialikwa kwenye kamati maalum za kushughulikia hija huko Saudia, lakini iwe hapa Tanzania au nje ya hapa, hakuwahi kuvaa sijui ushungi au baibui au ninja, akisema kuwa imani ya mtu ipo moyoni na siyo kwenye mavazi. Akisema pia kuwa wapo akina dada wa kiislam ambao huvaa nguo hizo wanapoenda kwenye uovu ili wasijulikane.

Hakuwahi kuwa mnafiki au mdomo mchafu uliojaa maneno ya ibilisi, kama unavyofanya wewe.
 
Hayo kamweleze nileyemjibu. Naona umerukia treni kwa mbele.
 
Ma Shaa Allah, kumbe ulikuwa huelewi? Ulitaka nipiganie vilabu vya pombe? Unanchekesha.
Hamna tofaut na mafarisayo wanafiki ambao hupinga vitu ambavyo haviwez waokoa na ghadhabu ya cku ya hukumu!! Wee laani pombe au kirimoro, halaf endelea na unajis wa chuki, kejeli, dhihaka ambavyo vyote hivi ndivyo vinatia unajis nafsi yako!!
 
Hujaiona chuki ya Maaskofu, au hulioni banzi jichoni mwako?

Wewe ni kama nyani asiyeona kundule.
 
Watanganyika tumedhulumiwa ardhi yetu, tumedhulumiwa maji yetu ya maziwani na ya baharini, ndugu zetu tulio waamini sana, tukawakaribisha chumbani leo wamempa Mwarabu kwa vipande vichache tu vya fedha.

Leo Watanganyika tunalia machozi ya damu, Mzanzibari mmoja anatuzuia tusilie. Mara tukae kimya tusiongelee mkataba dhalimu wa DP WORLD.

Mara anasema viongozi wa dini wasiuongelee huu mkataba dhalimu, kwani viongozi wa dini sio Watanganyika? Kwani wao hawana uchungu na rasilimali tulizo rithishwa na vizazi vyetu vilivyotangulia?

Masauni nakuasa tu, jifunźe kuomboleza na wanaoomboleza. Sio katikati ya majonzi ulete maneno yako ya shombo
Yaani hii ngoma haitapoa,na ndiyo inayoenda kuchora upya mstari wa ramani ya Tanganyika na zanzibar
 
Ramani ipi tena? Wameshabadilisha ramani, kuna visiwa viko kusini mashariki mwa Daressalaam eti sasa vimepitishwa na kusainiwa kuwa ni sehemu ya Zanzibar, hivyo Dar haina bahari.
Halafu Zanzibar wakadai Ardhi Bagamoyo.
 
Hujaiona chuki ya Maaskofu, au hulioni banzi jichoni mwako?

Wewe ni kama nyani asiyeona kundule.
Ziweke hizo chuki hapa, btw hao maaskofu na wengine hawawez lipiza visasi hata wakidhuriwa!! Kisasi ni cha MUNGU pekee ila kwako wew jihadist hulipiza kisasi!!
 
Ramani ipi tena? Wameshabadilisha ramani, kuna visiwa viko kusini mashariki mwa Daressalaam eti sasa vimepitishwa na kusainiwa kuwa ni sehemu ya Zanzibar, hivyo Dar haina bahari.
Halafu Zanzibar wakadai Ardhi Bagamoyo.
Bagamoyo tu? Tanganyika nzima hii ilikuwa ni Zanzibar kabla Wazungu wahajakaa juu ya meza na kugawana. Kafanye homework yako vizuri.
 
Back
Top Bottom