FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Umeaminishwa ujinga na jinsi ulivyo poyoyo, sikushangai.ndugu zetu tulio waamini sana, tukawakaribisha chumbani leo wamempa Mwarabu kwa vipande vichache tu vya fedha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Uzuri ni kuwa Tanzania ni nchi uhuru na una haki na mawazo yako.