Waziri Masauni, kaa kimya Watanganyika tunapolia juu ya urithi wa rasimali zetu

Waziri Masauni, kaa kimya Watanganyika tunapolia juu ya urithi wa rasimali zetu

Bagamoyo tu? Tanganyika nzima hii ilikuwa ni Zanzibar kabla Wazungu wahajakaa juu ya meza na kugawana. Kafanye homework yako vizuri.
Tupo mwaka gani nikurudishe Skuli? Kama ni 1836 ndio Waingereza walimleta mfanyakazi wao kutoka Mumbai (Employee of British IndiaCompany) halafu, kwanza wakamrudisha kwao Oman, na kumleta kwa kuchonga kinyago na kumuita Chief ili awape mikataba ya legitimacy ya kuichukua pwani ya East Africa kwa nia ya kuwazuia Wafaransa waliokuwa wameshafika Ushelisheli, Morishas na Comoro.
Sultani Seyyid Said aliletwa awe chief feki Waingereza wawe na mkataba wa kukalia pwani. Na ndio Sultani wa kwanza Zanzibar tangu kuondoka Masista wa Kireno waliokuwa wenye visiwa tangu 1400, na ndio ule urithi wa mchezo wa Ng'ombe Pemba kama Ureno na Spain.
 
Bagamoyo tu? Tanganyika nzima hii ilikuwa ni Zanzibar kabla Wazungu wahajakaa juu ya meza na kugawana. Kafanye homework yako vizuri.
Kwa hio Tanganyika tudai pwani ya Kenya, Zanzibar, Somalia, Mozambique kwa sababu miaka 1000 iliopita ilikuwa sehemu ya utawala wa Kilwa?
Basi zenji ni ya Tanganyika tangu miaka 1000
 
Attachments

  • Screenshot_20230724_133316_Gallery.jpg
    Screenshot_20230724_133316_Gallery.jpg
    104.6 KB · Views: 3
Bagamoyo tu? Tanganyika nzima hii ilikuwa ni Zanzibar kabla Wazungu wahajakaa juu ya meza na kugawana. Kafanye homework yako vizuri.
TATIZO NI CONTENTS ZA HUO UCHAFU ,

HIV WEEEEE FaizaFoxy ULISOMA DARASA LA SABA KWELI ??????

Dah ama kweli. Yalinenwa HUKO ZANZIBAR , MWARABU ANATUKUZWA ZAIDI YA KITU CHOCHOTEEEEEEE**
 
Kwa hio Tanganyika tudai Pwani ya Kenya, Zanzibar, Somalia, Mozambique kwa sababu miaka 1000 iliopita ilikuwa sehemu ya utawala wa Kilwa?
Basi zenji ni ya Tanganyika tangu miaka 1000
Daini chochte kilicho haki yenu.

Kwanza wewe ni "Mnyamwezi" au siyo? Wanyamwezi ni wasukuma, kihistoria nyinyi siyo watu wa Afrika Mashariki, mlitokea Afrika Magharibi, mkadai huko kwenu.
 
TATIZO NI CONTENTS ZA HUO UCHAFU ,

HIV WEEEEE FaizaFoxy ULISOMA DARASA LA SABA KWELI ??????

Dah ama kweli. Yalinenwa HUKO ZANZIBAR , MWARABU ANATUKUZWA ZAIDI YA KITU CHOCHOTEEEEEEE**
Mie ndiyo kwanza mwanafunzi wa chekechea.

Wacha kupiga kelele kama mwehu.
 
Mie ndiyo kwanza mwanafunzi wa chekechea.

Wacha kupiga kelele kama mwehu.
Miaka 26 ya TICTS iliyosainiwa pindi upo ki-portable wajuba wana ku-portalize kama kawa now ni ki-bibi flan hiv nati zimelegea kichwani shida ya TICTS nayo ilikuwa vipengele ndani ndani huko......(NITAJIE FAIDA ZA TICTS KWA MIAKA HIYO 26).......

Haya. Poster , 29 , nimesoma nikasoma na nikasoma hizo za DP. nikaona. Vipengele vingi ni NGOZI ya miaka na miaka ,, sasa wee bibi nati zimelegea , chukulia. , Poster , 29 , add hata 60 years then unambie nini kitakuwapo in terms of faida..............

TATIZO CONTENTS ZA MIKATABA NDO ZINAIMALIZA AFRICA
 
Hawa waarabu wakiruhusiwa kuja ,tutapata taabu,bora hata wachina , hawa waarabu tutafirwa wananchi wote .bora wachina wanahofu ya Mungu .lakini hawa waarabu tujiandae wote kuwa wanawake
Waarabu ni bora kuliko Wachina kwa sababu wizi kwa mwarabu ni kosa lakini Mchina wizi ni jambo la kawaida.Kuhusu kufira kwa dunia ya leo sidhani kama kuna mtu anaweza kubali kuinamishwa na Mwarabu kisa yeye ni mwafrika hilo haliwezakani kabisa.Dunia ya leo ni kijiji kwa hio Mwarabu hawezi fanya jambo hilo maana anamulikwa kila kona.
 
Acha kua mjinga uliyepitiliza,nani kakuambia kua Uarabu ndio uislamu? hivi unafikiri waarabu wote ni waislamu? na hiyo comment uliyoiquote ni wapi imeongelea udini? hii inathibitisha kua kumbe wewe unalalama hapa kisa udini,

Sio kila mwarabu ni muislamu,wapo waarabu ambao ni wakristo,Lebanon,Misri,Syria,Iraq....huko kote wakristo wamejaa,tumia simu yako kujifundisha mambo kuliko kujifanya unajua kumbe ni empty set,

Kumiliki hako kasmart phone na ukaweza kuingia JF basi ndio unajiongopea kua unajua kila kitu? hapo basi akili yako inakuongopea na kujiona wewe ni bonge la mchambuzi umeshusha thd JF!
Una lingine?
 
Watanganyika tumedhulumiwa ardhi yetu, tumedhulumiwa maji yetu ya maziwani na ya baharini, ndugu zetu tulio waamini sana, tukawakaribisha chumbani leo wamempa Mwarabu kwa vipande vichache tu vya fedha.

Leo Watanganyika tunalia machozi ya damu, Mzanzibari mmoja anatuzuia tusilie. Mara tukae kimya tusiongelee mkataba dhalimu wa DP WORLD.

Mara anasema viongozi wa dini wasiuongelee huu mkataba dhalimu, kwani viongozi wa dini sio Watanganyika? Kwani wao hawana uchungu na rasilimali tulizo rithishwa na vizazi vyetu vilivyotangulia?

Masauni nakuasa tu, jifunźe kuomboleza na wanaoomboleza. Sio katikati ya majonzi ulete maneno yako ya shombo
Hilo bichwa tofali dawa yake inachemka

Na ndie anayetuma polisi kuzuia maandamano, mikutano na itaita ya kutoa maelezo
 
Hali ni tete!!
 
Attachments

  • 9BFD9130-032D-4682-BE88-B6B4D7A2BD07.jpeg
    9BFD9130-032D-4682-BE88-B6B4D7A2BD07.jpeg
    47.7 KB · Views: 1
Ikiwa hata maana ya maliasili huijuwi, utaendelea kuweweseka sana kuwa unadhulumiwa.

Leo kuna Waarabu wa Dubai wamekwenda kwala kuona kama kuna maeneo makubwa wajenge kiwanda kikubwa cha makontena mapya.

Wamesema wanataka eneo lililo karibu kabisa na inapopita SGR.

Waarabu hawataki tabu, wanataka kuitumia fursa kupiga pesa.
Vipi Leo walikutoa nje uotee jua?
 
Acha kua mjinga uliyepitiliza,nani kakuambia kua Uarabu ndio uislamu? hivi unafikiri waarabu wote ni waislamu? na hiyo comment uliyoiquote ni wapi imeongelea udini? hii inathibitisha kua kumbe wewe unalalama hapa kisa udini,

Sio kila mwarabu ni muislamu,wapo waarabu ambao ni wakristo,Lebanon,Misri,Syria,Iraq....huko kote wakristo wamejaa,tumia simu yako kujifundisha mambo kuliko kujifanya unajua kumbe ni empty set,

Kumiliki hako kasmart phone na ukaweza kuingia JF basi ndio unajiongopea kua unajua kila kitu? hapo basi akili yako inakuongopea na kujiona wewe ni bonge la mchambuzi umeshusha thd JF!
Sasa kwani uongo, unaweza kuwa Muislamu bila kujua lugha ya kiarabu?
 
DP World wanatupenda sana.
Simtaji mama.
Mimi ni Mkristo lialia na nimeenda D.P.Word kwa pesa Yangu.
Wako vizuri sana ila wanaipenda Simba Sport Club sana.
Kwanini tusiwakaribishe kama ndugu zetu.
Kuna shida gani kwanza?
 
Back
Top Bottom