Jemima Mrembo
JF-Expert Member
- Jul 19, 2021
- 2,864
- 8,328
- Thread starter
- #81
Mungu afungue fahamu zaoBaadhi wanaamini kiarabu ndio Lugha ya Peponi, wanajitahidi kuipigania hadi kieleweke 😆 😆 😆 😆 😆
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mungu afungue fahamu zaoBaadhi wanaamini kiarabu ndio Lugha ya Peponi, wanajitahidi kuipigania hadi kieleweke 😆 😆 😆 😆 😆
InasikitishaHilo bichwa tofali dawa yake inachemka
Na ndie anayetuma polisi kuzuia maandamano, mikutano na itaita ya kutoa maelezo
Tena ni useless materialkaka hata mm nilikuwa najua ni mtu kumbe just a trush
wewe umepata stroke ya ubongo siku hiziBagamoyo tu? Tanganyika nzima hii ilikuwa ni Zanzibar kabla Wazungu wahajakaa juu ya meza na kugawana. Kafanye homework yako vizuri.
hafai kabisa hata kwa kulumangia na unaweza kuta ni mkubwa tuu nchini hapaTena ni useless material
Faida kuu ni kuvaa kanzu na kubong'oka ?Wawekezaji Wiaarabu washachukuwa eka 1000 pembeni ya SGR Kwala huko.
Kinachofatia huko ni kupima na kuwalipa waliopo ndani ya eneo wasepe.
Wanalipa mara 10 zaidi ya waliolipwa na serikali ilipopita SGR.
Cha kwanza wameuliza kama serikali inaweza kuwapa kibali cha kuvuta maji kutokea mto ruvu ili waanze ujenzi wa msikiti kabla ya chochote.
Faida zinaanz akuonekana kabla hata DP World hawajaanza kazi.
Hapo watu wameshapata pesa za maana, wengine watapata kazi, msikiti utajengwa, kazi hizo kwa mafundi, kazi kwa maimamu, kazi kwa waadhini, kazi kwa watunza usafi, watu wanapata sehemu ya kwenda kuabudu. Wakipewa kibali cha kuvuta maji, kazi zingine hizo na maji kwa wote litapopita bomba.
Ni faida juu ya faida juu ya faida.
Hizo ndiyo "bashraf za DP World, nyimbo kamili hazijaanza bado.
Faida kuu ni kuvaa kanzu na kubong'oka ?
DP WORLD wanakuja kumsulubisha Yesu kwa mara ya pili huko kwala ili wajenge msikiti vizuri?Yohane 19:23-37 BHN
Askari walipokwisha msulubisha Yesu, walizichukua nguo zake, wakazigawa mafungu manne, fungu moja kwa kila askari. Walichukua pia na kanzu yake; kanzu hiyo ilikuwa imefumwa kwa kipande kimoja tu, bila mshono.
8 Yesu akajibu akamwambia, Imeandikwa, Msujudie Bwana Mungu wako, umwabudu yeye peke yake.
Kama mkataba huu wa Kimangungo una faida, kwa Nini bandari za Zanzibar zisiwemo? Halafu Ibara 4 (2) inasema iwapo Tanzania inapotaka kuweka mwekezaji mwingine maeneo mengine ya bandari, inatakiwa iende Dubai kuomba ridhaa, Dubai wakikataa kutoa idhini, ndio basi. Je, tuombe idhini Dubai kwa Mali zetu? Ni kichaa peke yake anayeweza kuushabikia mkataba huu toIkiwa hata maana ya maliasili huijuwi, utaendelea kuweweseka sana kuwa unadhulumiwa.
Leo kuna Waarabu wa Dubai wamekwenda kwala kuona kama kuna maeneo makubwa wajenge kiwanda kikubwa cha makontena mapya.
Wamesema wanataka eneo lililo karibu kabisa na inapopita SGR.
Waarabu hawataki tabu, wanataka kuitumia fursa kupiga pesa.
Mkataba upi unaouongelea? IGA au?Kama mkataba huu wa Kimangungo una faida, kwa Nini bandari za Zanzibar zisiwemo? Halafu Ibara 4 (2) inasema iwapo Tanzania inapotaka kuweka mwekezaji mwingine maeneo mengine ya bandari, inatakiwa iende Dubai kuomba ridhaa, Dubai wakikataa kutoa idhini, ndio basi. Je, tuombe idhini Dubai kwa Mali zetu? Ni kichaa peke yake anayeweza kuushabikia mkataba huu to
Nchi imeyimba kwa kukosa watu sahihi kushika uongoziwewe umepata stroke ya ubongo siku hizi
hafai kabisa hata kwa kulumangia na unaweza kuta ni mkubwa tuu nchini hapa
Jemima Mrembo acha kujibizana na watu wasio jielewa. Kisa tu waarabu Ni waislamu na wanawasaidia futari moja Kati ya 29 Basi kila Cha muarabu Ni kuzuri.Hatukatai, lakini sisi kama Taifa tunapata nini?
Aaah manidanya akili mwenu tu.Nchi imeyimba kwa kukosa watu sahihi kushika uongozi
Serikli = Serikali.Aaah manidanya akili mwenu tu.
Sikioni cha maana hata kimoja, mama anawaweza kweli kweli, nyie wqakati mnapiga kelele za kijinga mitandaoni, mama yupo Kenya, mara yupo malawi, mara yupo Dubai, anachapa kazi tu.
Hivi kwa ujinga wenu kuna kuyumba kupi?
Serikli ya mama siyo ya kukurupuka, na kishasema semeni yeye anachapa kazi tu.
Sasa huyo ni kiongozi au ni mzururaji?Aaah manidanya akili mwenu tu.
Sikioni cha maana hata kimoja, mama anawaweza kweli kweli, nyie wqakati mnapiga kelele za kijinga mitandaoni, mama yupo Kenya, mara yupo malawi, mara yupo Dubai, anachapa kazi tu.
Hivi kwa ujinga wenu kuna kuyumba kupi?
Serikli ya mama siyo ya kukurupuka, na kishasema semeni yeye anachapa kazi tu.
Ulifikiri ni nini maana ya dunia ni kijiji?Sasa huyo ni kiongozi au ni mzururaji?
Matatizo makubwa ya nçhi hii ni CCM na katiba ya mwKa 1977Ulifikiri ni nini maana ya dunia ni kijiji?
Mlipokosa hoja kwa Kikwete mliyasema hayohayo. Kiongozi ambae hakuwa mzururaji si mnaona alivyotutia mkenge? Sasa tunalipa madeni ya bure, watu wanakula pesa bila kuzifanyia kazi, mpaka tujambe.
ndugu zetu tulio waamini sana, tukawakaribisha chumbani leo wamempa Mwarabu kwa vipande vichache tu vya fedha.Watanganyika tumedhulumiwa ardhi yetu, tumedhulumiwa maji yetu ya maziwani na ya baharini, ndugu zetu tulio waamini sana, tukawakaribisha chumbani leo wamempa Mwarabu kwa vipande vichache tu vya fedha.
Leo Watanganyika tunalia machozi ya damu, Mzanzibari mmoja anatuzuia tusilie. Mara tukae kimya tusiongelee mkataba dhalimu wa DP WORLD.
Mara anasema viongozi wa dini wasiuongelee huu mkataba dhalimu, kwani viongozi wa dini sio Watanganyika? Kwani wao hawana uchungu na rasilimali tulizo rithishwa na vizazi vyetu vilivyotangulia?
Masauni nakuasa tu, jifunźe kuomboleza na wanaoomboleza. Sio katikati ya majonzi ulete maneno yako ya shombo
Masauni nakuasa tu, jifunźe kuomboleza na wanaoomboleza. Sio katikati ya majonzi ulete maneno yako ya shombo[emoji419][emoji375]Watanganyika tumedhulumiwa ardhi yetu, tumedhulumiwa maji yetu ya maziwani na ya baharini, ndugu zetu tulio waamini sana, tukawakaribisha chumbani leo wamempa Mwarabu kwa vipande vichache tu vya fedha.
Leo Watanganyika tunalia machozi ya damu, Mzanzibari mmoja anatuzuia tusilie. Mara tukae kimya tusiongelee mkataba dhalimu wa DP WORLD.
Mara anasema viongozi wa dini wasiuongelee huu mkataba dhalimu, kwani viongozi wa dini sio Watanganyika? Kwani wao hawana uchungu na rasilimali tulizo rithishwa na vizazi vyetu vilivyotangulia?
Masauni nakuasa tu, jifunźe kuomboleza na wanaoomboleza. Sio katikati ya majonzi ulete maneno yako ya shombo
Bujibuji wew emtu wa zamani sana kwenye siasa zetu za JF, hakuna tatizo CCM wala kwenye katiba. Tatizo ni ujinga wa Mtanzania.Matatizo makubwa ya nçhi hii ni CCM na katiba ya mwKa 1977