jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
Wawekezaji Wiaarabu washachukuwa eka 1000 pembeni ya SGR Kwala huko.
Kinachofatia huko ni kupima na kuwalipa waliopo ndani ya eneo wasepe.
Wanalipa mara 10 zaidi ya waliolipwa na serikali ilipopita SGR.
Cha kwanza wameuliza kama serikali inaweza kuwapa kibali cha kuvuta maji kutokea mto ruvu ili waanze ujenzi wa msikiti kabla ya chochote.
Faida zinaanz akuonekana kabla hata DP World hawajaanza kazi.
Hapo watu wameshapata pesa za maana, wengine watapata kazi, msikiti utajengwa, kazi hizo kwa mafundi, kazi kwa maimamu, kazi kwa waadhini, kazi kwa watunza usafi, watu wanapata sehemu ya kwenda kuabudu. Wakipewa kibali cha kuvuta maji, kazi zingine hizo na maji kwa wote litapopita bomba.
Ni faida juu ya faida juu ya faida.
Hizo ndiyo "bashraf za DP World, nyimbo kamili hazijaanza bado.
Upo katika siku zako za mwisho za uhai wako.