Jemima Mrembo
JF-Expert Member
- Jul 19, 2021
- 2,864
- 8,328
Uchangiaji huu yawezekana Ulinyweshwa gongo ulipokuwa kitoto kichanga. Nakushauri ukapate matibabu.Ikiwa hata maana ya maliasili huijuwi, utaendelea kuweweseka sana kuwa unadhulumiwa.
Leo kuna Waarabu wa Dubai wamekwenda kwala kuona kama kuna maeneo makubwa wajenge kiwanda kikubwa cha makontena mapya.
Wamesema wanataka eneo lililo karibu kabisa na inapopita SGR.
Waarabu hawataki tabu, wanataka kuitumia fursa kupiga pesa.
Hatukatai, lakini sisi kama Taifa tunapata nini?Ikiwa hata maana ya maliasili huijuwi, utaendelea kuweweseka sana kuwa unadhulumiwa.
Leo kuna Waarabu wa Dubai wamekwenda kwala kuona kama kuna maeneo makubwa wajenge kiwanda kikubwa cha makontena mapya.
Wamesema wanataka eneo lililo karibu kabisa na inapopita SGR.
Waarabu hawataki tabu, wanataka kuitumia fursa kupiga pesa.
Udini hupofusha macho, kaambiwa mtu bora ni Mwarabu, na lugha ya peponi ni Kiarabu, basi imekuwa shida. Yupo tayari hata kutukana asili yake ili atukuze WaarabuUchangiaji huu yawezekana Ulinyweshwa gongo ulipokuwa kitoto kichanga. Nakushauri ukapate matibabu.
Ikiwa hata maana ya maliasili huijuwi, utaendelea kuweweseka sana kuwa unadhulumiwa.
Leo kuna Waarabu wa Dubai wamekwenda kwala kuona kama kuna maeneo makubwa wajenge kiwanda kikubwa cha makontena mapya.
Wamesema wanataka eneo lililo karibu kabisa na inapopita SGR.
Waarabu hawataki tabu, wanataka kuitumia fursa kupiga pesa.
Siku hizi umèishiwa kabisa content. Uchawa una gharama kubwa sana aiseeIkiwa hata maana ya maliasili huijuwi, utaendelea kuweweseka sana kuwa unadhulumiwa.
Leo kuna Waarabu wa Dubai wamekwenda kwala kuona kama kuna maeneo makubwa wajenge kiwanda kikubwa cha makontena mapya.
Wamesema wanataka eneo lililo karibu kabisa na inapopita SGR.
Waarabu hawataki tabu, wanataka kuitumia fursa kupiga pesa.
Wawekezaji Wiaarabu washachukuwa eka 1000 pembeni ya SGR Kwala huko.Uchangiaji huu yawezekana Ulinyweshwa gongo ulipokuwa kitoto kichanga. Nakushauri ukapate matibabu.
Ana kera sanahuijuwi[emoji777][emoji777][emoji777]
Hujui[emoji736][emoji736][emoji736]
Kweli wewe ni Jinga linalokurupuka na mihemko mpaka kuandika ni shida kidogo kwako.
Hovyooo
Uchawa ni shida...Ikiwa hata maana ya maliasili huijuwi, utaendelea kuweweseka sana kuwa unadhulumiwa.
Leo kuna Waarabu wa Dubai wamekwenda kwala kuona kama kuna maeneo makubwa wajenge kiwanda kikubwa cha makontena mapya.
Wamesema wanataka eneo lililo karibu kabisa na inapopita SGR.
Waarabu hawataki tabu, wanataka kuitumia fursa kupiga pesa.
Waafrika mna laana watumwa ninyi una roho ya utwanaIkiwa hata maana ya maliasili huijuwi, utaendelea kuweweseka sana kuwa unadhulumiwa.
Leo kuna Waarabu wa Dubai wamekwenda kwala kuona kama kuna maeneo makubwa wajenge kiwanda kikubwa cha makontena mapya.
Wamesema wanataka eneo lililo karibu kabisa na inapopita SGR.
Waarabu hawataki tabu, wanataka kuitumia fursa kupiga pesa.
Heka 1000 umezichukua peke yako, unajenga msikiti aje kuswali nani?Cha kwanza wameuliza kama serikali inaweza kuwapa kibali cha kuvuta maji kutokea mto ruvu ili waanze ujenzi wa msikiti kabla ya chochote.
Huyu faiza foxiy sio udini ila niroho ya unyani inamsumbua na imemkaa haswa yaani anajiona yeye mweusi ni sokwe na mwarabu ndio mtu si aende huko uarabuniUdini hupofusha macho, kaambiwa mtu bora ni Mwarabu, na lugha ya peponi ni Kiarabu, basi imekuwa shida. Yupo tayari hata kutukana asili yake ili atukuze Waarabu
Zamani nilikuwa nadhani ni mtu, ila hili la DP limemwacha utupuHuyu faiza foxiy sio udini ila niroho ya unyani inamsumbua na imemkaa haswa yaani anajiona yeye mweusi ni sokwe na mwarabu ndio mtu si aende huko uarabuni
Nashangaa sana Mzanzibar habari za Tanganyika zinamuhusu nini? hana hata uchungu, au katumwa na dalali mkuu?Watanganyika tumedhulumiwa ardhi yetu, tumedhulumiwa maji yetu ya maziwani na ya baharini, ndugu zetu tulio waamini sana, tukawakaribisha chumbani leo wamempa Mwarabu kwa vipande vichache tu vya fedha.
Leo Watanganyika tunalia machozi ya damu, Mzanzibari mmoja anatuzuia tusilie. Mara tukae kimya tusiongelee mkataba dhalimu wa DP WORLD.
Mara anasema viongozi wa dini wasiuongelee huu mkataba dhalimu, kwani viongozi wa dini sio Watanganyika? Kwani wao hawana uchungu na rasilimali tulizo rithishwa na vizazi vyetu vilivyotangulia?
Masauni nakuasa tu, jifunźe kuomboleza na wanaoomboleza. Sio katikati ya majonzi ulete maneno yako ya shombo
Yani huyu na The Boss wamekuwa viumbe wa ajabu sana.Ana kera sana
Hivi unawapataje watu wanaoitwa Watanzania bila kuwa na wazanzibari?Nashangaa sana Mzanzibar habari za Tanganyika zinamuhusu nini? hana hata uchungu, au katumwa na dalali mkuu?
Makanisa watajenga?Wawekezaji Wiaarabu washachukuwa eka 1000 pembeni ya SGR Kwala huko.
Kinachofatia huko ni kupima na kuwalipa waliopo ndani ya eneo wasepe.
Wanalipa mara 10 zaidi ya waliolipwa na serikali ilipopita SGR.
Cha kwanza wameuliza kama serikali inaweza kuwapa kibali cha kuvuta maji kutokea mto ruvu ili waanze ujenzi wa msikiti kabla ya chochote.
Faida zinaanz akuonekana kabla hata DP World hawajaanza kazi.
Hapo watu wameshapata pesa za maana, wengine watapata kazi, msikiti utajengwa, kazi hizo kwa mafundi, kazi kwa maimamu, kazi kwa waadhini, kazi kwa watunza usafi, watu wanapata sehemu ya kwenda kuabudu. Wakipewa kibali cha kuvuta maji, kazi zingine hizo na maji kwa wote litapopita bomba.
Ni faida juu ya faida juu ya faida.
Hizo ndiyo "bashraf za DP World, nyimbo kamili hazijaanza bado.
Nina wasiwasi kama kweli wewe ni Mtanganyika. Na kama wewe siyo Mtanganyika, wewe ni adui wa Watanganyika. Usifanye mzaha kwenye jambo gumu hili. TUNAMAANISHA.Ikiwa hata maana ya maliasili huijuwi, utaendelea kuweweseka sana kuwa unadhulumiwa.