"ballot box" si sipo? Fta sheria umchaguwe kiongozi umtakae. Au nd)enda mahakamamni kaipinge katiba iliyomweka mama Samia kuwa kiongozi.
Sisi tunamuona anachapa kjazi sana tena sana.
Mkataba wa kuendesha bandari vipi, umeshatangazwa na waziri wetu mpya wa uwekezaji?