Waziri Mchengerwa na maamuzi ya ovyo ovyo!

Mchengerwa ni bumunda.
 
Sasa naelewa sababu

Sent from my Infinix X689F using JamiiForums mobile app
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] muhimu tupiganie khs intergrity za wana kabla ya Mapendekezo yenu hapa….
 
Kuna watu hawapaswi kuwa mawaziri. Sema ni upendeleo tu. Na pengine aliwekwa huko maliaslli kimkakati kashamaliza kazi yake.

Hata ridhiwani aridhi, makamba nishati nafikiri wamishamaliza deals zao ndo wakahamishwa
Liz 1 morogoro kuna eneo linalingana na wilaya alijimilikisha . Na kuna mgogoro mkubwa eneo moja la kijiji linadaiwa ni la wawekezaji nahsi yeye ndo aliacha Hilo deal
 
Ameendaje sasa kugombea ubunge pwani, wakati ni mtu wa dar na zenji?
 
Namwonea huruma mamako kuzaa pumbavu km wewe
 
Mjinga kabisa kitukinacho kusumbua wewe niudini unatataka kujificha kwenyeutanganyika hata haounasema wazanzibari walioko bara hunalolote unamanisha waislam hivi ulemsemotumezoea kuusikia kuwa mtuhuchaguliwa kwa vigezo auteseme uwezo haunamaana tena?Au watu hawa hawakusoma wamesoma madrasa tu haufai tena? Misemo hii ilituchelewesha sana angalia ufanisi tu achamambo yakizamani usiishi kwa mazoea Tanzania nimoja hatatukibaki wenyewe utasema huyu waarusha
 
Mpuuzi ni mpuuzi tu.

Kwahiyo unataka kusema hakuna 21% ya ajira kwaajili ya Wazanzibari!.

Hatujakabidhi ekta million 8 za misitu !.

Punguza upumbavu.
 
Mchengerwa kama mchengerwa!
 
Hahahahahahaaaaa!
Huwa nacheka sana kila ninapoona mipumbavu imekusanyana na kulishanalishana upumbavu wao kama hivi.......inasikitisha na kukera tu kuona wengine ni watu wazima lakini hamna kitu. Ujinga, ujinga ujinga!
 
Anafuata maelekezo ya mamamkwe wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…