Waziri Mchengerwa na maamuzi ya ovyo ovyo!

Waziri Mchengerwa na maamuzi ya ovyo ovyo!

Hapa ndio unashangaa Katiba ya Tanzania inavyowapendelea waZanzibar.
Katiba ya Tanzania ni 5% ajira 100 za wanzanzibar ni ajira 5. Na ni kwa wizara za muungano tu. Lakini leo hii wanzanzibar wanahudumu wizara zote. Viongozi wanaovunja katiba tukisema tunagewa kesi za uhaini. Idadi ya watu Dar es salaam kubwa kuliko Zanzibar, sasa sijui ajira zinatoka kwa uwiano gani. Wanzanzibar wakitishia kidogo tu, serikali haizibi masikio ila watanganyika wakisema ukweli na kesi za uhaini wanagewa. Hongera muungano wetu 💪💪💪🇹🇿🇹🇿🇹🇿
 
Ahsante
 
Mfumo ndio unaruhusu hayo.

US mtu anateuliwa na rais ila lazima apite kwenye senate hearings kwanza na akivuka kwa kura ndio anachukua nafasi.

Mfano secretary of treasury huyu mtu lazima awe na background iliyoshiba .

Pia mtu huyu hawezi kuwa member wa congress kwa wakati mmoja akiserve kama secretary of treasury.

Ila utashanga kwa Tanzania mtu anashika kofia mbili kwa wakati mmoja na hata kila anachoshika kinamshinda wanaishia kuhamishana tu mtu akipwaya wakati anatakiwa awekwe kando, kwa akili tu ya kawaida mtu anahama wizara zaidi ya mbili tofauti kwa miaka miwili huoni ni tatizo hilo maana anayepanga mtu awe waziri ni rais na haulizwi na huyo mtu hathibitishi kwa kura kama wenzetu maana yake ni kuwa bongo rais anaweza teua hata washkaji zake baraza zima na akawa anawahamisha tu akijisikia.

Ndio maana naona hata Bambo na Kingwendu wanaweza kuwa marais kwa nchi ilipofikia
Mbona wanaoenda kuthibitishwa wote huwa wanapita? Hii nchi lazima tuache unafiki, watu wameishi unafiki mpaka imekuwa tabia
 
Kumbe mteuaji ni mama mkwe, lazima msaada mkubwa utapelekwa ukweni......
 
Heshima sana wanajamvi,

Mbunge wa Rufiji Mohamed Omary Mchengerwa amehudumu katika Wizara kadhaa za JMT.Katika Wizara zote alizohudumu kaacha kilio kikubwa na simanzi zisizo na kipimo kwa WATANGANYIKA wote.

Akiwa Waziri wa Utawala Bora na Utumishi alihakikisha WaZanzibar wanatengewa 21% ya ajira katika taasisi zote za muungano.Ninapo zungumzia Taasisi za Muungano ni pamoja na TRA,POSTA,BOT,BANDARI .........
Fikiria TRA wametangaza nafasi za ajira 200,Zanzibar watatengewa nafasi 42 huku Tanganyika wakiambulia nafasi 158 tu.Katika nafasi hizi 158 iwapo kuna Mzanzibar yupo huku Tanganyika anaweza kuomba bila kikwazo cha aina ypyote.

Ifahamike wazi Tanganyika ina idadi ya watu million 60 huku Zanzibar ikiwa na idadi ya watu wanaokaribia million 1 tu.Waziri Mchengerwa alipokuwa akkifanya maamuzi haya ya hovyo alitumia vigezo gani ?.Aliamua kuwapendelea WaZanzibar kwakuwa mke wake ni MZANZIBAR !.

Mchengerwa alipopelekwa Wizara ya Maliasili na Utalii kaamua kuwamilikisha WAARABU ekta million 8 za misitu bila kufikisha makataba Bungeni.Ni wazi kabisa tena pasipo shaka yoyote Mchengerwa hakustahili kurejeshwa katika baraza la mawaziri kwa kuliingiza taifa katika janga kubwa la kuuza misitu yetu kwa wageni pasipo kufuata utaratibu wa sheria za nchi.

Waziri Mchengerwa kapelekwa TAMISEMI sijui huko anakwenda kufanya kituko gani !.Labda atapigania Wazanzibar wajazwe huko ili kupata uzoefu.
Tena ilitakiwa iwe nusu kwaa nusu, kwani Muungano ni wa nchi mbili tofauti au idadi ya watu na ukubwa wa nchi uliainishwa?
 
Mchengerwa mwenyewe ana uzanzibar ndani yake.

Baba yake ni mpemba alikuwa bosi wa kampuni ya mafuta BP miaka ya zamani.. mama yake mchengerwa ndie mtanganyika.. mama yake mchengerwa alikuwa air hostes wa Air Tanzania miaka ya 80s na 90s

Mchengerwa baba yake ni Mzanzibari kikatiba

Mchengerwa kwao ni Yombo vituka kwa limboa.. miaka ya 80s mpaka 90s nyumba yao ndio ilikuwa inaonekana nyumba ya kitajiri huko yombo
Kumbe wa kishua toka kitambo sana!
 
Kumbe wa kishua toka kitambo sana!

Mama yake alikuwa mzuri kweli kweli.. wahudumu wa ndege Air Tanzania wa enzi za mwanzoni Air Tanzania shirika kweli linatisha .. walikuwa visu kweli kweli..

Baba yake mzee mchengerwa alikuwa Bp ndio maana akadaka mke mrembo kwenye ndege
 
Pale mamlaka ya uteuzi inapokomaa na watu wabovu basi ujue hata yenyewe pia ina tatizo.

Katiba na sheria alipaswa kumwacha Kabudi.

Ardhi alipaswa kumwacha Lukuvi.

Nishati alipaswa kumwacha Kalemani.

Huko kote amefanya mabadiliko na matokeo yake ni majanga matupu.
Hao Sukuma Gang wakafie mbele huko. Zama zao zilishapita
 
Jamani hamfahamu vizuri history za viongozi wenu,WAZAZIBAR ni wabinafsi sana Mtanganyika kuoa ni Mzanzibar Sio rahisi kama watu wanavyodhania.
Nachomanisha ni kuwa Mchengerwa ni Mzanzibar kwa asili maana Baba yake ni Mpemba Ila ni Mtanganyika kwa kuzaliwa.
 
Mjinga kabisa kitukinacho kusumbua wewe niudini unatataka kujificha kwenyeutanganyika hata haounasema wazanzibari walioko bara hunalolote unamanisha waislam hivi ulemsemotumezoea kuusikia kuwa mtuhuchaguliwa kwa vigezo auteseme uwezo haunamaana tena?Au watu hawa hawakusoma wamesoma madrasa tu haufai tena? Misemo hii ilituchelewesha sana angalia ufanisi tu achamambo yakizamani usiishi kwa mazoea Tanzania nimoja hatatukibaki wenyewe utasema huyu waarusha
Ufanisi unatafasiliwa katika standard maalumu zilizowekwa.huwezi ukafeli darasanai halafu eti kazini uje uwe na ufanisi-hakuna kitu kama hicho.
Darasani masomo tunayoyasomo yanatupima katika uwezo wa kufikiria huko kazini napo ni hivyo hivyo.
 
Jamani hamfahamu vizuri history za viongozi wenu,WAZAZIBAR ni wabinafsi sana Mtanganyika kuoa ni Mzanzibar Sio rahisi kama watu wanavyodhania.
Nachomanisha ni kuwa Mchengerwa ni Mzanzibar kwa asili maana Baba yake ni Mpemba Ila ni Mtanganyika kwa kuzaliwa.

Kumbee?!

Ndiyo maana anataka ajira 21% iwe ya Wazanzibar ?

Yaani population ya Zanzibar si ni sawa na population ya Wilaya moja kwa Tanganyika?

Inashangaza mno.

Mmeshamstukia [emoji3][emoji28]

Mimi nilizani ni Mndengeleko wa Nyamwage au Kiparang’anda huko !
 
Heshima sana wanajamvi,

Mbunge wa Rufiji Mohamed Omary Mchengerwa amehudumu katika Wizara kadhaa za JMT.Katika Wizara zote alizohudumu kaacha kilio kikubwa na simanzi zisizo na kipimo kwa WATANGANYIKA wote.

Akiwa Waziri wa Utawala Bora na Utumishi alihakikisha WaZanzibar wanatengewa 21% ya ajira katika taasisi zote za muungano.Ninapo zungumzia Taasisi za Muungano ni pamoja na TRA,POSTA,BOT,BANDARI .........
Fikiria TRA wametangaza nafasi za ajira 200,Zanzibar watatengewa nafasi 42 huku Tanganyika wakiambulia nafasi 158 tu.Katika nafasi hizi 158 iwapo kuna Mzanzibar yupo huku Tanganyika anaweza kuomba bila kikwazo cha aina ypyote.

Ifahamike wazi Tanganyika ina idadi ya watu million 60 huku Zanzibar ikiwa na idadi ya watu wanaokaribia million 1 tu.Waziri Mchengerwa alipokuwa akkifanya maamuzi haya ya hovyo alitumia vigezo gani ?.Aliamua kuwapendelea WaZanzibar kwakuwa mke wake ni MZANZIBAR !.

Mchengerwa alipopelekwa Wizara ya Maliasili na Utalii kaamua kuwamilikisha WAARABU ekta million 8 za misitu bila kufikisha makataba Bungeni.Ni wazi kabisa tena pasipo shaka yoyote Mchengerwa hakustahili kurejeshwa katika baraza la mawaziri kwa kuliingiza taifa katika janga kubwa la kuuza misitu yetu kwa wageni pasipo kufuata utaratibu wa sheria za nchi.

Waziri Mchengerwa kapelekwa TAMISEMI sijui huko anakwenda kufanya kituko gani !.Labda atapigania Wazanzibar wajazwe huko ili kupata uzoefu.
Vunja Muungano wazanzibar wachukue nchi yao kisha utaona wanavyogeuka Hong Kong kwa miaka mitano tu?
 
Ufanisi unatafasiliwa katika standard maalumu zilizowekwa.huwezi ukafeli darasanai halafu eti kazini uje uwe na ufanisi-hakuna kitu kama hicho.
Darasani masomo tunayoyasomo yanatupima katika uwezo wa kufikiria huko kazini napo ni hivyo hivyo.
Elimu zao unazijuwa?lalamiko lilipo mezani si elimu lalamiko niwazanzibari naona umeruka hapo
 
Mpuuzi ni mpuuzi tu.

Kwahiyo unataka kusema hakuna 21% ya ajira kwaajili ya Wazanzibari!.

Hatujakabidhi ekta million 8 za misitu !.

Punguza upumbavu.
Acha udini ndugu tz ni 1 muongo mkubwa
 
Alipelekwa wizara ya Mali Utalii kwa kazi maalum kamaliza kupitisha kila lililo la aliyemtuma Sasa kahamishiwa sehemu nyingine ambayo taarifa zake hazipati vizuri mteuzi ila Waarab ni Corrupt sanaa Sasa wameteka Viwanja vya ndege Mali Asili na Sasa Bandari dhumuni kubwa kupitisha MADINI WANYAMA NK BANDARINI NA ANGANI KIULAINIII

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom