Waziri Mchengerwa na maamuzi ya ovyo ovyo!

Hapa ndio unashangaa Katiba ya Tanzania inavyowapendelea waZanzibar.
Katiba ya Tanzania ni 5% ajira 100 za wanzanzibar ni ajira 5. Na ni kwa wizara za muungano tu. Lakini leo hii wanzanzibar wanahudumu wizara zote. Viongozi wanaovunja katiba tukisema tunagewa kesi za uhaini. Idadi ya watu Dar es salaam kubwa kuliko Zanzibar, sasa sijui ajira zinatoka kwa uwiano gani. Wanzanzibar wakitishia kidogo tu, serikali haizibi masikio ila watanganyika wakisema ukweli na kesi za uhaini wanagewa. Hongera muungano wetu 💪💪💪🇹🇿🇹🇿🇹🇿
 
Ahsante
 
Mbona wanaoenda kuthibitishwa wote huwa wanapita? Hii nchi lazima tuache unafiki, watu wameishi unafiki mpaka imekuwa tabia
 
Kumbe mteuaji ni mama mkwe, lazima msaada mkubwa utapelekwa ukweni......
 
Tena ilitakiwa iwe nusu kwaa nusu, kwani Muungano ni wa nchi mbili tofauti au idadi ya watu na ukubwa wa nchi uliainishwa?
 
Kumbe wa kishua toka kitambo sana!
 
Kumbe wa kishua toka kitambo sana!

Mama yake alikuwa mzuri kweli kweli.. wahudumu wa ndege Air Tanzania wa enzi za mwanzoni Air Tanzania shirika kweli linatisha .. walikuwa visu kweli kweli..

Baba yake mzee mchengerwa alikuwa Bp ndio maana akadaka mke mrembo kwenye ndege
 
Hao Sukuma Gang wakafie mbele huko. Zama zao zilishapita
 
Jamani hamfahamu vizuri history za viongozi wenu,WAZAZIBAR ni wabinafsi sana Mtanganyika kuoa ni Mzanzibar Sio rahisi kama watu wanavyodhania.
Nachomanisha ni kuwa Mchengerwa ni Mzanzibar kwa asili maana Baba yake ni Mpemba Ila ni Mtanganyika kwa kuzaliwa.
 
Ufanisi unatafasiliwa katika standard maalumu zilizowekwa.huwezi ukafeli darasanai halafu eti kazini uje uwe na ufanisi-hakuna kitu kama hicho.
Darasani masomo tunayoyasomo yanatupima katika uwezo wa kufikiria huko kazini napo ni hivyo hivyo.
 



Kumbee?!

Ndiyo maana anataka ajira 21% iwe ya Wazanzibar ?

Yaani population ya Zanzibar si ni sawa na population ya Wilaya moja kwa Tanganyika?

Inashangaza mno.

Mmeshamstukia [emoji3][emoji28]

Mimi nilizani ni Mndengeleko wa Nyamwage au Kiparang’anda huko !
 
Vunja Muungano wazanzibar wachukue nchi yao kisha utaona wanavyogeuka Hong Kong kwa miaka mitano tu?
 
Ufanisi unatafasiliwa katika standard maalumu zilizowekwa.huwezi ukafeli darasanai halafu eti kazini uje uwe na ufanisi-hakuna kitu kama hicho.
Darasani masomo tunayoyasomo yanatupima katika uwezo wa kufikiria huko kazini napo ni hivyo hivyo.
Elimu zao unazijuwa?lalamiko lilipo mezani si elimu lalamiko niwazanzibari naona umeruka hapo
 
Mpuuzi ni mpuuzi tu.

Kwahiyo unataka kusema hakuna 21% ya ajira kwaajili ya Wazanzibari!.

Hatujakabidhi ekta million 8 za misitu !.

Punguza upumbavu.
Acha udini ndugu tz ni 1 muongo mkubwa
 
Alipelekwa wizara ya Mali Utalii kwa kazi maalum kamaliza kupitisha kila lililo la aliyemtuma Sasa kahamishiwa sehemu nyingine ambayo taarifa zake hazipati vizuri mteuzi ila Waarab ni Corrupt sanaa Sasa wameteka Viwanja vya ndege Mali Asili na Sasa Bandari dhumuni kubwa kupitisha MADINI WANYAMA NK BANDARINI NA ANGANI KIULAINIII

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…