Waziri Mchengerwa na maamuzi ya ovyo ovyo!

Kifupi tuu Mchengerwa ni Pandikizi na msaliti kwa taifa la Tanganyika. Anastahili kunyongwa na sio kulaumiwa tuu kwa uhaini alio ufanya yeye na mama mkwe wake.
 
Kifupi tuu Mchengerwa ni Pandikizi na msaliti kwa taifa la Tanganyika. Anastahili kunyongwa na sio kulaumiwa tuu kwa uhaini alio ufanya yeye na mama mkwe wake.
🇹🇿
 
mwarabu ambaye hajui hata mimea inaotaje anakuja kuchukua misitu kirahisi namna hiyo, na tunajua wao ni jangwa hawana miti na wanahitaji mbao/miti.
 
Ameendaje sasa kugombea ubunge pwani, wakati ni mtu wa dar na zenji?
Kuna ujinga mwingi sana ndani ya huu muungano wa mchongo,Hussein Mwinyi aliwahi kuwa mbunge wa Mkuranga na leo hii ni Rais wa Zanzibar.
 
Mkuu umeruka alipokuwa wizara ya Sanaa, Utamaduni na Michezo alichokifanya ni kuanzisha mfuko wa Utamaduni ambao unapokea fedha za umma bila ya kuwa na sheria inayousimamia. Kupitia mradi wa kumbukumbu ya Ukombozi Afrika yeye na Katibu wake wamepiga mpunga mrefu.sana na hakuna kinachoeleweka. Ndiye aliyesimamia uundwaji wa kanuni mpya za BASATA zinazominya uhuru wa maoni kupitia sanaa na kugawa vyeo hovyo wizarani kwa maelekezo ya Msoga

Kimsingi amewaacha wasanii ktk simanzi nzito....
 
Huyu ni mkwe ma MAMA
 
Bei ya kukomboa hayo maeneo ni shs ngapi
 
Duh 🥱
Labda anapewa maelekezo kutoka juu!
Na siyo yeye tu, kuna yule aliyefuta deni la mabilioni ya umeme wa Tanesco kwa Zanzibar.
Na pia mikopo inayokopwa nje na Tanganyika kwa ajili ya Zanzibar, lkn mlipaji ni Tanganyika pekee!
Awamu ya 6 Tanganyika inanyonywa damu, Haina mtetezi
 
Mpuuzi ni mpuuzi tu.

Kwahiyo unataka kusema hakuna 21% ya ajira kwaajili ya Wazanzibari!.

Hatujakabidhi ekta million 8 za misitu !.

Punguza upumbavu.
lete huo ushahidi wa unayoyasema.

Hivi hekta milioni nane ni sawa na kilometa ngapi?
 
Hii ishu ya kutengewa ajira wanzanzibar ilileta songombingo pale tra, Kuna kameneja kajitu ka bara kalikuwa kanapigia chapuo ili kujioendekeza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…