Waziri Mchengerwa na maamuzi ya ovyo ovyo!

Kumbuka kuwa Mchengerwa ni Mkwe wa Maza. Hata leo amesifiwa kuwa ana kifua.... Hivyo ksoelrkwa Tamiseni kwa kazi maalumu ya kuiba kura 2024. Nilitegemea kati ya mawaziri wote angemsifia Biteko kwa utendaji na ndiyo sababu kapewa Naibu Waziri Mkuu. Cha ajabu kamdingle out Mkwewe. Kuoa Pwani kuna raha zake.
 
Dawa yao ipo jikoni
 
Ni mpiga kazi mzuri......hilo halina shaka. Mengine ni chuki binafsi za watu
 
Ndgu yangu na kuambia ukweli hamna mtanganyika muislamu anae weza kuchukia Zanzibar hilo usimlaumu huyu, udungu wa dini kwa muislamu unanguvu kuliko udungu wa taifa.
 
Sababu ya Mchengererwa kupelekwa TAMISEMI ni kufunga goli la mkono Bila shaka..
 
Naibu waziri mkuu na waziri wa nishati.....
 
Heshima sana wanajamvi.

Waziri Mchengerwa kila Wizara anayoisimamia kuanzia Utumishi & Utawala bora,Utalii na Maliasili na sasa TAMISEMI amekuwa akiacha maamuzi ya hovyo.

Mchengerwa akiwa Maliasili na Utalii alihusika pakubwa kuuza misitu yetu kwa waarabu.

Mchengerwa akiwa Utumishi aliandaa utaratibu wa hovyo wa kutenga ajira 21% kwa Wazanzibar katika taasisi zote za Muungano kama TRA,BOT............

Mchengerwa akiwa TAMISEMI kafuta vijiji, Kata huko Ngorongoro.

Ngongo kwasasa Kizimkazi.
 
Mchengerwa hana tofauti na Count Gian Galeazzo Ciano, waziri wa mambo ya nje wa Italy na mkwe wa dikteta Benito Mussolini. Alikuwa na mishe hizihizi za kumfurahisha baba mkwe kwenye upumbavu, ila mwishone wakasnitchiana.​
Duh 😇
 
Let’s be realistic, hata hao waaarabu wanaelewa hawawezi ichukukua Ngorongoro yote.

Huyo Samia pia anaelewa hawezi gawa Ngorongoro yote.

Shida ya Ngorongoro imeanza toka zama Mkapa, JK, (ikatulia kidogo kwa Magufuli) imeibuka tena kipindi hiki.

Unless waarabu wanaleta wahamiaji wao ndio kungekuwa na hoja ya Samia kuuza Ngorongoro..

Issue ni kuzuia expansion of human activities into nature reserves na hakuna sehemu duniani

You can’t protect the Ngorongoro ‘fauna’ by tolerating Masai expansion into the animal ecology. That’s how it works when it comes to protecting the eco-system. Yiu can only control human activities and limit their expansion into the wild life but not that of animals.

Tusitake kujiaminisha Ngororo ndio nature reserves Tanzania, wakati 1/3 of Tanzania is protected na hakuna malalamiko kwengine.

Ngorongoro lazima iwe protected, wamasai hawawezi jiamkia tu na kuachwa wajianzishie vijiji vipya.
 
So Madam Tippu Tippu should displace the Maassai from the Ngorongoro in the name of Project Ecology, but in the same light grant mining licences to foreign conglomerates within the same national park. How ironic​
 
So Madam Tippu Tippu should displace the Maassai from the Ngorongoro in the name of Project Ecology, but in the same light grant mining licences to foreign conglomerates within the same national park. How ironic​
Mimi kwa hiyo attachment naweza kwenda UN na ku-argue namtaalamu yoyote kwanini wamasai waame.

Hiyo attachment ndio mambo utakayofundishwa kama unasoma degree ya environmental conservation kuanzia mwaka wa kwanza mpaka, masters (na diploma ya miaka miwili).

Sasa kama kuna watu wana akili wizara ya elimu nimewapa nyenzo ya kuandaa shahada, kama kuna watu wana akili TANAPA nimewapa nyenzo ya kutengeneza hoja maafisa habari kwanini wamasai lazima watoke Ngorongoro na kama kuna watu wana akili serikali nimewapa nyenzo ya kutengeneza propaganda na means of building justified arguments kwanini Masai lazima adhibitiwe Ngorongoro.

Shida zenyewe hizo akili wenyewe wanazo za kuelewa madini (nyenzo niliyowapa), hata watu wenye vyuo kwamba hizo ndio module zenyewe.

After that sina kingine cha kuongeza akili zetu watanzania zinatutosha wenyewe.
 

Attachments

Bambo na Kingwendu!

Mzee elewa usanii ni fani halali ya mtu.

Usanii haumuondolei mtu sifa ya kuchagua ama kuchaguliwa.

Rais wa Ukrain ni mtu wa fani hiyo, huo ni mfano tu.
 
Danganyika imekuwa monarchy sasa.

Ni mwendo wa utawala wa kifalme.
 
Let's make life simple, relocate the Maassai only after you've paid them prompt and adequate compensation as provided by the Constitution and the Land Acquisition Act.

Secondly, don't covet the mineral riches within any reserved areas especially national parks.

What difference would there be, if we Kick the Maassai out, and grant mining licences to foreign conglomerates ?

Don't you see the double standards of Madam Tippu Tippu?​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…