Waziri Mchengerwa ukimsikiliza anaonesha utofauti mkubwa na wengine kimtazamo wa 'kifenotipia' ila hatujui kuhusu 'Jenotipia' yake

Wewe lumumba buku7 isije ukaniuliza tena kuwa baada ya kumuoa je jamaa anampa mpiriti kisawa sawa?
Sasa mambo yakuona wewe unahangaika nayo ya nini?
 
Hana msaada wowote huyu waziri,kipande cha Nyamwage-Utete(Makao ya wilaya) barabara ya vumbi ameshindwa kuweka hata kokoto.Tunapigwa vumbi,Dar tunafika tumejaa vumbi(ngonja).


Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Kumbe, Sasa mbona hakuna shida au wanataka waachane kisa mama kawa Rais?
Ndugu yangu, watu wenye umasikini wa fikra ndio wanaokaa kufikiria hela huwa inaletwa kwa kukaa kupiga majungu vijiweni, na itawakosti sana maana badala ya kufikiria namna ya kujikwamua na hali zao wao wanatumia huo muda kulalamika na kulaumu mtu aliyeoa kwa mapenzi yake .

Majungu sio mtaji .
 
Tunakupongeza Waziri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…