mama D
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 19,981
- 35,581
59Miaka mingapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
59Miaka mingapi?
Wewe lumumba buku7 isije ukaniuliza tena kuwa baada ya kumuoa je jamaa anampa mpiriti kisawa sawa?Ameoa lini?
KwaniniD
Daaah, Sio kweli
Atajenga tu muda upoHana msaada wowote huyu waziri,kipande cha Nyamwage-Utete(Makao ya wilaya) barabara ya vumbi ameshindwa kuweka hata kokoto.Tunapigwa vumbi,Dar tunafika tumejaa vumbi(ngonja).
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Ameoa lini?
Ameoa muda hata kabla huyo mama hajawa Rais tena ameoa ni mke wa piliAmeo lini? Labda tuanzie hapo
Kumbe, Sasa mbona hakuna shida au wanataka waachane kisa mama kawa Rais?Siku nyingi sana tena huyo ni mke wa pili msihangaike sana
Ndugu yangu, watu wenye umasikini wa fikra ndio wanaokaa kufikiria hela huwa inaletwa kwa kukaa kupiga majungu vijiweni, na itawakosti sana maana badala ya kufikiria namna ya kujikwamua na hali zao wao wanatumia huo muda kulalamika na kulaumu mtu aliyeoa kwa mapenzi yake .Kumbe, Sasa mbona hakuna shida au wanataka waachane kisa mama kawa Rais?
Kumbe dogo dogo
Wewe bado sana
Umeona eeeh
mama D upo?Umeona eeeh
Happy belated birthdaymama D upo?
Nawasalimu kwa Jina la JMT,
Waziri huyu kwa mara ya kwanza nilimfahamu pale alipoleta hoja Bungeni akitaka kujua kwanini mradi wa Umeme wa Mwl Nyerere Rufiji (JNHPP) utakaotoa ajira ya zaidi 7,000 na serikali kuwekeza zaidi ya TZS 6.55trilioni unafanyika katika Wilaya ambayo haina hata benki ya Serikali au hata benki binafsi,
Hoja ile imepelekea Serikali kupeleka benki ya Maendeleo katika wilaya hiyo Kongwe na hata leo ukipita hapo njiani utaiona banki hiyo,hapa ndio nilianza kuona kitu kilichopo ndani ya Waziri huyu,
Hebu Msikilize hapa anachowaambia watumishi wenzake, Hongera Rais Samia Suluhu Hassan kutuletea viongozi wa aina hii,
Watumishi chapeni kazi kwa bidii na maarifa kama ni mtetezi wa stahiki zenu zote hakika mnae,