Barakoa 001
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 5,436
- 14,927
Asipate shida kujieleza."Na wale wanaohoji wanasema sasa Waziri huyu anazungumziaje masuala ya Amani? Nataka niwaambie mimi ndio Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Wakuu wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya, Mamlaka zote za Serikali za Mitaa ziko chini yangu"
Eti ya NO REFORM NO ELECTION!Kuna vurugu gani?
Muda wao utapita....huyu mkwe ashanogewaWanajiropokea tu sasa
Kwa hiyo watu wa kutoka mikoani ndiyo ameamua kuwabagua waziwazi? Sasa officially wenye nchi (according to Mchengerwa) na wanaojielewa ni wazawa wa Dar probably pamoja na wahamiaji kutoka visiwani(hawa ndiyo wamehodhi kila kitu cha Tanganyika) ila wenzangu wenye asili ya bara(“mikoani” kama alivyosema Mchengerwa) ndiyo waleta vurugu na yule taahira Chalamila kaagizwa awashughulikie.Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa, akizungumza na wananchi wa Dar es Salaam katika hafla ya uzinduzi wa Soko la Nyama Choma la Kumbilamoto lililopo Vingunguti, amesema kuwa wanaleta vurugu jijini humo ni watu wanaotoka mikoani na wengine kutoka nje ya nchi.
Aidha, Mchengerwa amemuagiza Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, kuwashughulikia ipasavyo wote wanaovuruga amani ya jiji hilo.
"Uwepo wetu hapa siku ya leo, ushiriki wa kila mmoja siku ya leo tukiwa tumetulia ni kwasababu Taifa letu lina Amani na utulivu"
"Ndio maana nasema bila kujificha, yako mambo tutayazungumza uwani lakini linapokuja suala la Amani tutalizungumza bayana bila kificho na mimi ndio maana nimekuwa nikimpongeza Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam anafanya kazi nzuri sana."
"Natambua hata wale wachochezi wa Amani si WanaDar es Salaam, Wana Dar es Salaam wanajitambua ni wachapa kazi, wanafanya kazi kwa ajili ya maisha yao. Kwahiyo wale wanaokuja kuvuruga Amani, Mkuu wa Mkoa washghulikie bila kuwaachia. Ni lazima tuilinde Amani ya nchi yetu"
"Na wale wanaohoji wanasema sasa Waziri huyu anazungumziaje masuala ya Amani? Nataka niwaambie mimi ndio Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Wakuu wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya, Mamlaka zote za Serikali za Mitaa ziko chini yangu"
"Wakuu wa Mikoa wakiwa chini ya Mamlaka hizi ni wasaidizi wangu, wasaidizi wa Rais na hawa ndio Wenyeviti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama za Mikoa na Wilaya kwenye maeneo yao na mimi ni Waziri wao, sasa unaniwekaje pembeni hapo"
"Mkuu wa Mkoa wathibiti na si kwa Dar es Salaam tu, Mikoa yote iliyobaki endeleeni kuthibiti mipaka ya maeneo yenu kuhakikisha kwamba Watanzania wanakuwa na Amani katika maeneo yao"
Hamna namna, Ulitaka afanyaje sasa,jamaa na ukweni utazani kaolewa yeye
Pay keen interest.Wanajiropokea tu sasa
EEEeeeeenHEEEEEEn HEEEE!Nchi kaigawa, Wanadaresalaam na wa kuja
Duuuuuuuuu
Bingo!
Katafute hotuba ya Mchengerwa Mbeya, tarehe 27 April, na tarehe 2 Mei mpiganaji katoweshwa. Inasikitisha sana.Kwenye list ya ICC Mchengerwa hawezi kukosa maana huyu ndo anayeongoza kutoa maelekezo kwa niaba ya Samia
Ndiyo maana mkuu wa mkoa wa Mbeya alihusika kumpiga, kumteka na kumpoteza Mdude.Kwenye list ya ICC Mchengerwa hawezi kukosa maana huyu ndo anayeongoza kutoa maelekezo kwa niaba ya Samia
Waeleze ukweli! Mbona hawawakamati Hawa wahuni wanaoteka, kutesa, kubaka, kulawiti, kupoteza na kuua watu? Waache ngonjera na mipasho!Kuna vurugu gani?
Wenzako wametishika sana na NRNE, hujui? Ndiyo maana tayari wamo kwenye maandalizi ya mapambano.Swali zuri sana.
Na gadafi?Ndiyo maana mkuu wa mkoa wa Mbeya alihusika kumpiga, kumteka na kumpoteza Mdude.
Ndo maana ya amri kutoka juu. Huyu naamini ICC inamuhusu kabisa.
Wamekuwa kama ile familia ya Saddam Hussein.
Kasema kila mkoa mkuu.Nchi kaigawa, Wanadaresalaam na wa kuja
Duuuuuuuuu
Bingo!
Exactly same. Wanafamilia, marafiki wa karibu business partners wao ndo wamegeuka waendesha nchi na wakatili.Na gadafi?
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa, akizungumza na wananchi wa Dar es Salaam katika hafla ya uzinduzi wa Soko la Nyama Choma la Kumbilamoto lililopo Vingunguti, amesema kuwa wanaleta vurugu jijini humo ni watu wanaotoka mikoani na wengine kutoka nje ya nchi.