PreGE2025 Waziri Mchengerwa: Wanaoleta Vurugu Dar wanatoka nje ya Nchi, Chalamila washughulikie

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Ndio ujiulize sasa huyu Mchengerwa Macca alienda fanya nini, kama hayuko tayari kwenda kwa njia za mungu.
Siyo yeye peke yake.
Huenda huko peponi kuna mungu ambaye hufurahishwa sana na komedi za hawa watu.

Sasa wamo njiani wakijipanga kuondoa roho za watu; kwa sababu moja tu, Samia abaki madarakani kwa nguvu!
Huyo mungu watakuwa wamemuumba wao na siyo vinginevyo.
 
Maneno "Amani na Utulivu" ni kichaka cha kuficha uovu, ufisadi na dhambi za serikali ya CCM.. watanzania wanawavumilia tu!
Watanzania hawavumilii bali wanawachana makavu. Kupewa makavu ndio wao hawataki wanaita uvunjifu wa amani😂! Yani ukisema wazi wasichokipenda wana mbogamboga jua your days are numbered.
 
Afadhali mwenzake Tulia amekiri hadharani, hajamaliza kutenda dhambi mbele ya mungu wake.

Kuliko huyu Mchengerwa, na utani wake kwa bwana godi.

Ukiamua kwenda Hijja ukirudu ni swala tano tu. Ndio maana wenye akili zao timamu uenda huko wakiona washamaliza kila kitu.

Uendi huko kwa sababu una hela tu za kukupeleka.
 

..this guy is CRAZY!
 
Mchengelwa alitoa maagizo kama haya huku mbeya na baada ya hapo Mdude akapotea . Vip baada ya maagizo haya DSM nani anafuata?
Aliyetoa Press jana nae anatafutiwa timming😁! Pona yake iwe kama walimtuma ila kama alijiamulia tu kutoa makavu live basi akae karibu zaidi na mabausa wake.

Maana anaweza kushughulikiwa hata muda wa kwenda chooni😂.
 
Waziri ametimiza wajibu wake, hongera zake. Wabanwe mbavu kila kona mambwa hao. Magufuli alikuwa cmwanaume hayo mazombie yalikimbia nchi yalikuwa hayakohoi. Samia alikosea sana kuyarudisha nchini nyoka ni nyoka tu. Mbn mzee Mwinyi hamkurudisha Oscar Kambona? Lissu siyo kiumbe cha kuichekea, Heche ni jitu lisilo na ustaarabu ht ulifanyie nini
 
Jamaa power imemuingia kwenye damu, He was so humble kipindi kile cha Magu
Power imekuja baada ya kuona mama mkwe anamzingatia zaidi na amekuwa kama mtoto wake mkubwa. Anategemea sana support kutoka kwake kwa maana nyingine amekuwa kama bega lake la pili ukiachana na dula. Ni vijana wake.
 
Kuna wakati 'term' Al Haj ilitumika sana kama title ya heshima; siku hizi siwasikii wakiitumia kwa njia hiyo.
Kwa hiyo Mchengerwa sasa ni 'Al Haj Mchengerwa'!

Siku hizi watu wameangukia sana kwenye u-Doctor , au-Profesa!
 
Power imekuja baada ya kuona mama mkwe anamzingatia zaidi na amekuwa kama mtoto wake mkubwa. Anategemea sana support kutoka kwake kwa maana nyingine amekuwa kama bega lake la pili ukiachana na dula. Ni vijana wake.
We zombie kila waziri ana power ktk jurisdiction yake
 
Ni kinyume chake, wapo radhi kumaliza raia ili kulinda madaraka (mlo) yao.
 
Wewe mbwa Mcherengwa, Malaya zako wewe Samia na Mwanu. UTULIVU GANI WAKATI WATU WANAUAWA NA HUYO MAMA MKWE WAKO SAMIA.
Hao unao watukana,wamekufanya nini hadi povuu lote hilo likutoke!!?? Jaribu kufikiria kabla ya kuandika mtandaoni!!
 
Kuna wakati 'term' Al Haj ilitumika sana kama title ya heshima; siku hizi siwasikii wakiitumia kwa njia hiyo.
Kwa hiyo Mchengerwa sasa ni 'Al Haj Mchengerwa'!
Huko kwenye depth sasa simo labda

Ritz na FaizaFoxy wanaweza elezea merit.

Mimi nipo kutwanga tu wanasiasa wanafiki hata kwa uelewa wangu mdogo wa maswala ya dini.
 
Kuna wakati 'term' Al Haj ilitumika sana kama title ya heshima; siku hizi siwasikii wakiitumia kwa njia hiyo.
Kwa hiyo Mchengerwa sasa ni 'Al Haj Mchengerwa'!
Wengi hawafanyi ibada kwa YAKINI ndio maana unamkuta mtu anaswali lakini mchawi, anaswali mzinifu, anaswali huku anauza unga.. wengine ibada ni kama maonesho kuwa ni watu safi.. ndio maana wenye kufanya ibada na wakawa watu poa ni wachache mnooo...

Jihadi kubwa ni baina ya mtu na nafsi yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…