peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Professor Ndalichako njoo Jf kuna Mtu anakusema vibaya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nadhani hapa wewe ndiye mkurupukaji unaye jifanya TAKILUKI na ninadhani hata wewe ni jamii ya kinamkenda wanao jiona wao wana akili sana, acha ushamba ungetulia kwanza ili ujiridhishe hoja yangu hapo hapo juu nime mquote nani ?Kukalili-kukariri
Umemuelewa lakini Prof amepropose Nini au umekurupuka na ukute na wewé ni graduate kabisaaa! Safari bado ni ndefu
Nimechekaaa had machoziiiii, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Siku hizi binti akiwa pisi kali anaruka na lecturers tu analamba GPA kali, kijana akiwa yupo kwenye circle ya huyo binti (wanafanya discussion pamoja ya mapepa anayovujishiwa) nae anakula GPA kali...
Hili nalo neno hata madaktari wafanyiwe usailiWalimu wa shule nao waanze fanyiwa usaili
Hii ipo wazi kabisa. Kuna wakati chuo flani cha afya walikua wanakaza sana wanatandaza makarai kibao, darasa zima unakuta kipanga anaondoka na GPA ya 3.0.Kaongezea kuwa
Kuna vyuo vinatoa GPA ili hela ziendelee kwenda chuoni
Mnataka kupeleka vilaza wakafundishe vyuo vikuu. Hii nchi imekosa dira kabisaKuanzia sasa Serikali itaanza kuzitazama ajira za vyuo vikuu badala ya kuangalia ubora wa ufaulu yaani GPA pekee sasa waajiriwe kwa kupimwa uwezo wao kwa kufanya usaili.
Kuangalia ufaulu pekee wa wanafunzi haitoshi kuboresha elimu badala yake ni muhimu kuongeza vigezo hivyo katika mapitio ya sera na mabadili ya mitaala jambo hilo litatazamwa kwa weledi mkubwa.
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe Prof ADOLF MKENDA ameyasema hayo leo tarehe 12 Disemba 2022 mbele ya mgeni rasmi Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt PHILIP MPANGO wakati wa mahafali ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania iliyofanyika Kinondoni Jijini Dar es salam.
Amesema wakati serikali inaongeza udahili wa wanafunzi haitakuwa tayari kuona ubora unapungua hivyo serikali inaendelea na mkakati wake wa kuhakikisha ubora wa elimu hususani katika vyuo vikuu unaimarika.
"Zamani ilikuwa rahisi kuwa Profesa ukiandika tu kwenye magazeti unakuwa Profesa lakini kwa sasa vigezo vya kuwa Profesa vimezidi kuwa vigumu kwa sababu tunataka maprofesa wetu wawe sawa na wale wa nchi zingine" Amekaririwa Prof Mkenda
Amesema katika mageuzi ya elimu yanayokuja ambapo wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia ipo katika mapitio ya sera na mitaala miongoni mwa mambo yatakayofanyiwa kazi itakuwa ni pamoja na kuhakikisha wanaoajiriwa ni wanafunzi wenye sifa zinazotakiwa.
Pia, Waziri Mkenda amesema kuwa serikali kwa sasa inaendelea na Ujenzi wa Kampasi mpya za Vyuo Vikuu katika mikoa 14 Tanzania pamoja na upande wa Zanzibar (Unguja na Pemba) katika maeneo ambayo hayana vyuo vikuu ukiacha vyuo huria.
Mikoa hiyo ambayo inatarajiwa kuwa na kampasi za vyuo vikuu mbalimbali hapa nchini ni pamoja na Tabora, Katavi, Kigoma, Kagera, Singida, Manyara, Lindi, Rukwa, Mwanza, Simiyu, Tanga, Ruvuma, Shinyanga na Dodoma.
Umedandia treni kwa mbele, soma uelewe alichosemaMnataka kupeleka vilaza wakafundishe vyuo vikuu. Hii nchi imekosa dira kabisa
Huyu waziri chizi sana ajira za vyuo wainaita watu wanawapitsha kwenye written, presentation ya kufundisha na Oral interview ya Jamhuri, Cha muhimu hizi ajira zisimamiwe na watu wa utumishi mwanzo mwisho ili apitikane mshindi wa haki, kuna kamchezo kana chezwa huko utumishi hawajui, Utumishi wabebe dhamana nzima ya ajira vyuoniKuanzia sasa Serikali itaanza kuzitazama ajira za vyuo vikuu badala ya kuangalia ubora wa ufaulu yaani GPA pekee sasa waajiriwe kwa kupimwa uwezo wao kwa kufanya usaili.
Kuangalia ufaulu pekee wa wanafunzi haitoshi kuboresha elimu badala yake ni muhimu kuongeza vigezo hivyo katika mapitio ya sera na mabadili ya mitaala jambo hilo litatazamwa kwa weledi mkubwa.
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe Prof ADOLF MKENDA ameyasema hayo leo tarehe 12 Disemba 2022 mbele ya mgeni rasmi Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt PHILIP MPANGO wakati wa mahafali ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania iliyofanyika Kinondoni Jijini Dar es salam.
Amesema wakati serikali inaongeza udahili wa wanafunzi haitakuwa tayari kuona ubora unapungua hivyo serikali inaendelea na mkakati wake wa kuhakikisha ubora wa elimu hususani katika vyuo vikuu unaimarika.
"Zamani ilikuwa rahisi kuwa Profesa ukiandika tu kwenye magazeti unakuwa Profesa lakini kwa sasa vigezo vya kuwa Profesa vimezidi kuwa vigumu kwa sababu tunataka maprofesa wetu wawe sawa na wale wa nchi zingine" Amekaririwa Prof Mkenda
Amesema katika mageuzi ya elimu yanayokuja ambapo wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia ipo katika mapitio ya sera na mitaala miongoni mwa mambo yatakayofanyiwa kazi itakuwa ni pamoja na kuhakikisha wanaoajiriwa ni wanafunzi wenye sifa zinazotakiwa.
Pia, Waziri Mkenda amesema kuwa serikali kwa sasa inaendelea na Ujenzi wa Kampasi mpya za Vyuo Vikuu katika mikoa 14 Tanzania pamoja na upande wa Zanzibar (Unguja na Pemba) katika maeneo ambayo hayana vyuo vikuu ukiacha vyuo huria.
Mikoa hiyo ambayo inatarajiwa kuwa na kampasi za vyuo vikuu mbalimbali hapa nchini ni pamoja na Tabora, Katavi, Kigoma, Kagera, Singida, Manyara, Lindi, Rukwa, Mwanza, Simiyu, Tanga, Ruvuma, Shinyanga na Dodoma.
Cheka tu lkn kuna wakati hiyo ndio inakuaga hali halisi vyuoni [emoji3][emoji3]Nimechekaaa had machoziiiii, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huyu Waziri pia ajue Warombo na Wachaga wenzake ndio wanaongoza Kwa kupendeleana ajira za vyuo vikuu, wamejazana kila mahali, Dean, principal, wakuu wa idara akiwepo mrombo tu ajira Kwa Warombo njia nyeupe peee!! Sasa hivi Vyuo vikuu viko chini ya wachaga by 60% Kwa utafiti wanguKuanzia sasa Serikali itaanza kuzitazama ajira za vyuo vikuu badala ya kuangalia ubora wa ufaulu yaani GPA pekee sasa waajiriwe kwa kupimwa uwezo wao kwa kufanya usaili.
Kuangalia ufaulu pekee wa wanafunzi haitoshi kuboresha elimu badala yake ni muhimu kuongeza vigezo hivyo katika mapitio ya sera na mabadili ya mitaala jambo hilo litatazamwa kwa weledi mkubwa.
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe Prof ADOLF MKENDA ameyasema hayo leo tarehe 12 Disemba 2022 mbele ya mgeni rasmi Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt PHILIP MPANGO wakati wa mahafali ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania iliyofanyika Kinondoni Jijini Dar es salam.
Amesema wakati serikali inaongeza udahili wa wanafunzi haitakuwa tayari kuona ubora unapungua hivyo serikali inaendelea na mkakati wake wa kuhakikisha ubora wa elimu hususani katika vyuo vikuu unaimarika.
"Zamani ilikuwa rahisi kuwa Profesa ukiandika tu kwenye magazeti unakuwa Profesa lakini kwa sasa vigezo vya kuwa Profesa vimezidi kuwa vigumu kwa sababu tunataka maprofesa wetu wawe sawa na wale wa nchi zingine" Amekaririwa Prof Mkenda
Amesema katika mageuzi ya elimu yanayokuja ambapo wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia ipo katika mapitio ya sera na mitaala miongoni mwa mambo yatakayofanyiwa kazi itakuwa ni pamoja na kuhakikisha wanaoajiriwa ni wanafunzi wenye sifa zinazotakiwa.
Pia, Waziri Mkenda amesema kuwa serikali kwa sasa inaendelea na Ujenzi wa Kampasi mpya za Vyuo Vikuu katika mikoa 14 Tanzania pamoja na upande wa Zanzibar (Unguja na Pemba) katika maeneo ambayo hayana vyuo vikuu ukiacha vyuo huria.
Mikoa hiyo ambayo inatarajiwa kuwa na kampasi za vyuo vikuu mbalimbali hapa nchini ni pamoja na Tabora, Katavi, Kigoma, Kagera, Singida, Manyara, Lindi, Rukwa, Mwanza, Simiyu, Tanga, Ruvuma, Shinyanga na Dodoma.
Mbna ndo nakutana nayooo eti, sio ajabu. Ila vyuoni bhana.Cheka tu lkn kuna wakati hiyo ndio inakuaga hali halisi vyuoni [emoji3][emoji3]
Hilo neno maana yeye na VP wote wameajiriwa kwa GPA UDSM sasa anawageuka vipanga wa sasa.Tatizo la mkenda huwa anajiona yeye anaakili sana
Ukitoa cheti hicho cha uprofesor kichwani anabaki emptyTatizo la mkenda huwa anajiona yeye anaakili sana
Hii ya Mgogoro wa Burundi atakuwa kazi kubwa amefanya Baba yake!View attachment 2444629Professor soma hii
Hiyo kitaalamu inaitwa," Ungaunga Mwana Tusonge na kwa kizalamo tunasema Academic Networking"Nimechekaaa had machoziiiii, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]