Waziri Mkenda: Ajira ya Chuo Kikuu isiwe kuangalia GPA pekee lazima wapimwe, wafanye na usaili

Kukalili-kukariri
Umemuelewa lakini Prof amepropose Nini au umekurupuka na ukute na wewé ni graduate kabisaaa! Safari bado ni ndefu
Nadhani hapa wewe ndiye mkurupukaji unaye jifanya TAKILUKI na ninadhani hata wewe ni jamii ya kinamkenda wanao jiona wao wana akili sana, acha ushamba ungetulia kwanza ili ujiridhishe hoja yangu hapo hapo juu nime mquote nani ?
 
Katika mambo yanayoishusha elimu yetu ni hili suala la gpa.

1. Mtu anaishi Morogoro amesoma mzumbe sekondari Morogoro kakariri past paper kapata dv 1.

2. Ameenda Chuo Mzumbe morogoro kakariri wee kapata gpa ya juu. Anachukua na master kabisa ila hana exposure yoyote. Ulimwengu wake umejaa vitini, pastpapers na madesa.

Unampa ualimu afundishe, hana exposure, hana experience, anaijua morogoro tu. Matokeo yake anachokifanya ni kuambukiza wanafunzi kukariri kama alivyofanya yeye.

Kutunga mitihani migumu na kuwa na fixed marking scheme anayotumia kusahihisha, mwanafunzi akijiongeza kidogo nje ya marking scheme anapata sifuri. Mitoto ikija kazini watu wanaanza upya kuelekeza hata vitu vidogo vidogo.

Hivi haiwezekani vyuo vikatoa pesa nzuri kisha zikawa zinaenda kwenye mashirika makubwa na kuchukua wataalam waje kufundisha vijana wetu? Hawa malectures wawafundishe mwaka wa kwanza tu kwenye theory.
 
Siku hizi binti akiwa pisi kali anaruka na lecturers tu analamba GPA kali, kijana akiwa yupo kwenye circle ya huyo binti (wanafanya discussion pamoja ya mapepa anayovujishiwa) nae anakula GPA kali...
Nimechekaaa had machoziiiii, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kaongezea kuwa
Kuna vyuo vinatoa GPA ili hela ziendelee kwenda chuoni
Hii ipo wazi kabisa. Kuna wakati chuo flani cha afya walikua wanakaza sana wanatandaza makarai kibao, darasa zima unakuta kipanga anaondoka na GPA ya 3.0.

Kuja kutahamaki, wanaokwenda kusoma post-graduates pale pale wengi wanakua wametokea vyuo vingine kwasababu ya vigezo vya GPA na ufaulu wa somo husika, huku uwezo wao ukiwa chini ya hata wale waliokua wanawaona vilaza pale undergraduate wakiwa wamelimwa GPA za chini.

Sasa unakuta chuo kinasifika kufaulisha na kutoa GPA nzuri ambayo kwa huko mbele inamsaidia mwanafunzi atimize malengo yake ya kujiendeleza kitaaluma, kwann mzazi asipambane mtoto akasome hapo!
 
Mnataka kupeleka vilaza wakafundishe vyuo vikuu. Hii nchi imekosa dira kabisa
 
Huyu waziri chizi sana ajira za vyuo wainaita watu wanawapitsha kwenye written, presentation ya kufundisha na Oral interview ya Jamhuri, Cha muhimu hizi ajira zisimamiwe na watu wa utumishi mwanzo mwisho ili apitikane mshindi wa haki, kuna kamchezo kana chezwa huko utumishi hawajui, Utumishi wabebe dhamana nzima ya ajira vyuoni
 
Huyu Waziri pia ajue Warombo na Wachaga wenzake ndio wanaongoza Kwa kupendeleana ajira za vyuo vikuu, wamejazana kila mahali, Dean, principal, wakuu wa idara akiwepo mrombo tu ajira Kwa Warombo njia nyeupe peee!! Sasa hivi Vyuo vikuu viko chini ya wachaga by 60% Kwa utafiti wangu
 
elimu hii😂😂, lecture wa chuo kikuku ukisema awe amesoma shule za kata na awe tangu ameanza shule final say yake ni first class tu. huyu mtu lazima atakuwana uwezo wakielimu mkubwa ataweza fundisha wenzie, semachangamoto za vilaza hato zijua nayp haifai
 
H
Nimechekaaa had machoziiiii, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hiyo kitaalamu inaitwa," Ungaunga Mwana Tusonge na kwa kizalamo tunasema Academic Networking"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…