BALENSIAGA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2019
- 3,353
- 5,800
Duh, kumbe na wewe ni LL.B UDSM na LL.M UDSM!, ndio maana you are so good!.
Naunga mkono hoja
Nasimama na msimamo wa UDSM wa wahadhiri lazima wapate GPA ya 3.8 and above, no retreat, no surrender!, hii ndio heshima ya UDSM!, unataka sasa na wao waanze ku recruit wahadhiri vilaza?.
Mimi nilipanga kujoiin UDSM kusoma LL.B direct from school. Nilipokosa 1st Class, I had to forget LL.B, ndipo nikaenda journalism.
Milango ya private candidates ilipofunguliwa UDSM FoL, nikajoin. Hivyo kwa Tanzania kusoma UDSM ni heshima, hivyo kamwe wasiruhusu vilaza wa less than GPA ya 3.8 kuajiriwa. Kwa vile sasa Tanzania tuna vyuo vikuu vingi, hao Watanzania wengine wenye uwezo mkubwa ila hawana GPA ya 3.8, wakawafundishe Watanzania wenzetu huko kwenye vyuo vingine, UDSM maintains GPA ya 3.8 and above ila iboreshe maslahi ili kuatract GPA above 3.8 kutoka dunia nzima!.
Wawalipe vizuri sana hao wachache na kuongeza mishahara kuvutia GPA za 3.8
I'd like to differ
Naunga mkono hoja, ila it's muhimu UDSM kumaintain it's superior standards!. Au unataka mwanao afundishwe na vilaza?.
Hiyo superior standards ndio zinatufanya tuwe very proud of waalimu wetu kama hapa Hongera Spika Dkt. Tulia Ackson. You've Become So Good! B'Cause you're Smart, Bright & Brilliant! Kuna haja MaSpika wetu iwe lazima kuwa Wanasheria?
P
-3.8 sio Kwa udsm tu, ni Kwa Vyuo vikuu vyote, except Institutes kama ifm,iaa,tia,nit nk
- Kwa Sasa udsm is no longer chuo chenye wasomi Waziri kwenye sheria,Wenye uwezo mkubwa hiyo ilikuwa zamani enzi za kina Lissu, Shivji,Migiro,Ringo tenga, majamba, Kwa Sasa Udsm wako vizuri sana kule CoET ndiyo kweli Kuna Vichwa wale wa asili.
- salary scale ya udsm na other universities ni ndogo sana imagine tutorial assistant analipwa 1.6m, wakati Kuna Mashirika ya Umma LLB analipwa 2.6m so sad