This is shallow reasoning. Kwahiyo kama nyumbani wanaangalia ina maana shuleni wasitimize wajibu wao wa kuzuia nyimbo za zenye forbiden /unpleasant contents?1. Maadili ya mtoto yaanzia nyumbani, Hawa watoto huu wimbo wamjifunza makwao kupitia redio na TV.