Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Matumizi ya dini ndiyo kazi yenu ikitokea Rais katoka kinyume na nyie basi mnakutana kuanzia kwenye vigango tumeiona tangu kwa Mzee wa ruksa Mkwere na sasa kwa Mama hamkomi tu wadini nyieWote hawa ni dini moja lakini Ijumaa utawakuta sehemu fulani wanajifanya watu wa Mungu
Huna haya mangula miaka 87 bado aendelee kuhudumu unataka afie ofisini?Mzee wa Msoga ana share zakutosha + mamvi unategemea nini? Ndiyo maana Kinana amerudishwa kwenye chama nako mzee Mangula alikuwa anawasumbua sn wakaona wamtoe chap
Utaelewa nini dada angu mambo ya wanaume? wewe endelea kuangali maigizo kwenye tvHuna haya mangula miaka 87 bado aendelee kuhudumu unataka afie ofisini?
Uzuri Msigwa alishasema ule uongo wenu wa kumchafua Kinana ilikua fix tu mmeanza nyingine hii hovyo kabisa nyie [emoji847]
Kuna vurumai hadi sioni vizuri zaidi ya vumbi tu. Ila kwasisi watu wazima tunajiongeza tu!Daaaa mambo yaenda mbio sana acha tupate yajayo...
Ukiona hivyo ujue ni vita vya ulaji tu.View attachment 2213471
Nakubaliana na mleta mada. Mbona nguvu kubwa ni MSD tu. Soma hapo wizi mdhibiti aliibua kwenye projects za barabara
Umenipa RahaHuyu mzee mwaka 2017 nilikutana naye live kwenye mambo fulani kumwangalia kichwani amepaka dawa nyeusi ilikuonekana nywele nyeusi mademu wasijue kama anamvi, kuanzia hapo nilimdharau sn, nikajiuliza nchi inamatatizo mengi hivi anapata wapi muda wa kwenda salon kila siku? ni mtu wa ajabu sn na muongo
Sawa mkuu
kuna mtu humu alisema Ummy alizibiwa deal lako,labda atakuwa anasagia kunguniUkiona hivyo ujue ni vita vya ulaji tu.
Mzee hakupata mgaoUkiona hivyo ujue ni vita vya ulaji tu.
Hatari snkuna mtu humu alisema Ummy alizibiwa deal lako,labda atakuwa anasagia kunguni
Hii sasa hatrage. mambo binafsi ya mtu yanakuhusu niniHuyu mzee mwaka 2017 nilikutana naye live kwenye mambo fulani kumwangalia kichwani amepaka dawa nyeusi ilikuonekana nywele nyeusi mademu wasijue kama anamvi, kuanzia hapo nilimdharau sn, nikajiuliza nchi inamatatizo mengi hivi anapata wapi muda wa kwenda salon kila siku? ni mtu wa ajabu sn na muongo
Kwahiyo hata akienda na pensi ofisini ni sawa sababu ni mambo binafsi?Hii sasa hatrage. mambo binafsi ya mtu yanakuhusu nini
Ahahah huyu jamaa mbona watu wanamkataa...Kule kwao huwa anapita bila kupingwaHuyu hua simuamini.
Alituambia August 2019 SGR itaanza kazi ! ikapita.
Mara tena April 2022 napo kimya.
Magufuli yuko fit anachapa kazi , ghafla kafariki.
Akasema tena mazishi ya Magufuli yametazamwa na watu billion 3 duniani kwenye TV.
Huwa sijui hata anafanya niniAhahah huyu jamaa mbona watu wanamkataa...Kule kwao huwa anapita bila kupingwa
Kila mahali pameoza na sababu kubwa ni haohao wakubwa, ataishia kuunda tume na hatatoa mrejeshoView attachment 2213471
Nakubaliana na mleta mada. Mbona nguvu kubwa ni MSD tu. Soma hapo wizi mdhibiti aliibua kwenye projects za barabara
kuna dress code,zimekataza hiyo. Nakushauri zungumzia issues zenye tija achana na mambo binafisi. Najua unakichafua kwa hasira za hayati. Vipi upo tayari tushindanishe hayo na uchafu wa jiwe?Kwahiyo hata akienda na pensi ofisini ni sawa sababu ni mambo binafsi?
Kiongozi ni kioo cha jamii kama yupo serious anapata wapi muda wa kukaa salon? shidanisha hata na mumeo mm sihusikikuna dress code,zimekataza hiyo. Nakushauri zungumzia issues zenye tija achana na mambo binafisi. Najua unakichafua kwa hasira za hayati. Vipi upo tayari tushindanishe hayo na uchafu wa jiwe?
Wewe jamaa una akili sana. Kiukweli Intelligence organ sijui hata inafanyaje kazi. Kazi yao kubwa ni kubaini , kushauri na kuzuia madhara yasitokee lakini hapa naona matukio mengi yanayoripotia ni ya Madhara yaliyotokea. HATA SIKU MOJA SIJAWAHI KUSIKIA TAARIFA KUWA KUNA WIZI ULITAKA KUFANYIKA UKAZUILIWA NA WAHUSIKA KUWAJIBISHWA. otherwise watu wataamini kuwa wote hushirikiana kufanya wizi then baadae kuchomeana tuSasa mh. Waziri mkuu hapo msd hakuna tiss Wala mwana inteligensia wa kuwainform takukuru na tiss headquarter juu ya wizi unaotarajiwa kutoka ili uthibitiwe?
Au ndio madhara ya kuwaajiri watoto wenu wasio na weledi au uvccm chawa kwenye idara nyeti?
Waziri wa afya anasemaje kwani Hadi wewe uingilie kati? Basi sawa, mfagilie mbali na yeye Kwa kushindwa kuisimamia idara yake!
Mnajichora Kwa wananchi chukueni hatua bila kumuonea yeyote!