Waziri Mkuu aelezea ubadhirifu wa mamilioni uliofanywa Bohari ya Dawa (MSD), asema ataenda akiongozana na Polisi na TAKUKURU

Waziri Mkuu aelezea ubadhirifu wa mamilioni uliofanywa Bohari ya Dawa (MSD), asema ataenda akiongozana na Polisi na TAKUKURU

Sawa tu....ni wakati wa kila Mtu kula Kwa ulefu wa kamba yake.
Walibanwa Sana na mtetetezi wa wanyonge .Sasa ni wakati wao wa kuwala masikini
 
Wote hawa ni dini moja lakini Ijumaa utawakuta sehemu fulani wanajifanya watu wa Mungu
Matumizi ya dini ndiyo kazi yenu ikitokea Rais katoka kinyume na nyie basi mnakutana kuanzia kwenye vigango tumeiona tangu kwa Mzee wa ruksa Mkwere na sasa kwa Mama hamkomi tu wadini nyie
Mlifungwa midomo watu wanaokotwa kwenye viroba kutekwa kusikoisha bado tu hamshukuru kupata nafasi ya kupumua?
 
Mzee wa Msoga ana share zakutosha + mamvi unategemea nini? Ndiyo maana Kinana amerudishwa kwenye chama nako mzee Mangula alikuwa anawasumbua sn wakaona wamtoe chap
Huna haya mangula miaka 87 bado aendelee kuhudumu unataka afie ofisini?
Uzuri Msigwa alishasema ule uongo wenu wa kumchafua Kinana ilikua fix tu mmeanza nyingine hii hovyo kabisa nyie [emoji847]
 
Screenshot_20220506-075809_Drive.jpg

Nakubaliana na mleta mada. Mbona nguvu kubwa ni MSD tu. Soma hapo wizi mdhibiti aliibua kwenye projects za barabara
 
Huyu mzee mwaka 2017 nilikutana naye live kwenye mambo fulani kumwangalia kichwani amepaka dawa nyeusi ilikuonekana nywele nyeusi mademu wasijue kama anamvi, kuanzia hapo nilimdharau sn, nikajiuliza nchi inamatatizo mengi hivi anapata wapi muda wa kwenda salon kila siku? ni mtu wa ajabu sn na muongo
Umenipa Raha

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Huyu mzee mwaka 2017 nilikutana naye live kwenye mambo fulani kumwangalia kichwani amepaka dawa nyeusi ilikuonekana nywele nyeusi mademu wasijue kama anamvi, kuanzia hapo nilimdharau sn, nikajiuliza nchi inamatatizo mengi hivi anapata wapi muda wa kwenda salon kila siku? ni mtu wa ajabu sn na muongo
Hii sasa hatrage. mambo binafsi ya mtu yanakuhusu nini
 
Huyu hua simuamini.

Alituambia August 2019 SGR itaanza kazi ! ikapita.

Mara tena April 2022 napo kimya.

Magufuli yuko fit anachapa kazi , ghafla kafariki.

Akasema tena mazishi ya Magufuli yametazamwa na watu billion 3 duniani kwenye TV.
Ahahah huyu jamaa mbona watu wanamkataa...Kule kwao huwa anapita bila kupingwa
 
kuna dress code,zimekataza hiyo. Nakushauri zungumzia issues zenye tija achana na mambo binafisi. Najua unakichafua kwa hasira za hayati. Vipi upo tayari tushindanishe hayo na uchafu wa jiwe?
Kiongozi ni kioo cha jamii kama yupo serious anapata wapi muda wa kukaa salon? shidanisha hata na mumeo mm sihusiki
 
Sasa mh. Waziri mkuu hapo msd hakuna tiss Wala mwana inteligensia wa kuwainform takukuru na tiss headquarter juu ya wizi unaotarajiwa kutoka ili uthibitiwe?
Au ndio madhara ya kuwaajiri watoto wenu wasio na weledi au uvccm chawa kwenye idara nyeti?
Waziri wa afya anasemaje kwani Hadi wewe uingilie kati? Basi sawa, mfagilie mbali na yeye Kwa kushindwa kuisimamia idara yake!
Mnajichora Kwa wananchi chukueni hatua bila kumuonea yeyote!
Wewe jamaa una akili sana. Kiukweli Intelligence organ sijui hata inafanyaje kazi. Kazi yao kubwa ni kubaini , kushauri na kuzuia madhara yasitokee lakini hapa naona matukio mengi yanayoripotia ni ya Madhara yaliyotokea. HATA SIKU MOJA SIJAWAHI KUSIKIA TAARIFA KUWA KUNA WIZI ULITAKA KUFANYIKA UKAZUILIWA NA WAHUSIKA KUWAJIBISHWA. otherwise watu wataamini kuwa wote hushirikiana kufanya wizi then baadae kuchomeana tu
 
Back
Top Bottom